Rais Eng.Hersi Said,yuko kazini kutafuta wafadhili wa Yanga,na pia timu ya Yanga kuwa Ambassador wa Serengeti sadaru + Safari balloon wakatangaze nje ya nchi hasa zile watakazokuwa wanaenda kucheza nazo.Tumia pesa upate pesa,hakuna kulalia masikio. Big up sana Eng. Hersi Saidi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉.
Asante president of yanga umenitangazia kampuni yangu ya urushaji balloon hapa serengeti, Tarangire na kogatende ,karibuni sana MIRACLE EXPERIENCE BALLOON 🎈