Тёмный
No video :(

UTATA WAIBUKA KIFO CHA DADA HUYU/MUME ADAI MKEWE ALIJIGONGA KWENYE MEZA AKAPASUKA/NDUGU MAJIRANI.... 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 217 тыс.
50% 1

Kutoka Kimara Stop Over jijini Dar es salaam ndipo tukio hili limetokea ambapo utata umeibuka juu ya kifo cha dada anayefahamika kama Mercy Tresphory Mukandala.Mume wake anadai mkewe amejigonga kwenye meza na kupasuka kichwani wakiwa ndani kwao usiku.
Lakini kwa upande wa ndugu wa marehemu hawajaridhishwa na maelezo hayo ya mume kutokana na vitu walivyoviona ndani ya nyumba hiyo baada ya kutokea tukio hilo.
Fwatilia tukio hili kisha utoe maoni yako hapahapa
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 490   
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Mm mwanamke hawez kuniudhi nimnyooshe mkono hata siku moja , namuomba MUNGU aniepushie Sana Hilo inshallah
@walburgajohn9437
@walburgajohn9437 4 года назад
Kweli kabisa !!
@jacklinsholla1497
@jacklinsholla1497 4 года назад
Vizuri, akikushinda bora umuache tu
@nuraabdi1379
@nuraabdi1379 4 года назад
Hawa ndo wanaume nawatafuta mm lkn siwapati nilivomuoga kupigwa hatari☺️
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
@@nuraabdi1379 umempata sasa uyo apo fanya mpango
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 4 года назад
ubarikiwe sana Kaka
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Wanandoa mkichokana achaneni Wakristo acheni kung'ang'ania kama hamuwezi kuishi pamoja , fuateni taratibu za kuvunja ndoa . Wanawake wanauawa sana ...
@04704803
@04704803 4 года назад
Tatizo eti wanaogopa kuachika ..... Kuishi ni mara moja hivyo unatakiwa uishi kwa furaha sio karaha, ujinga kama huu sitaki
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 года назад
@@04704803 😂😂nachek kama maxur yn utadhan wanaume wamezaliwa nao
@janetmaganga8402
@janetmaganga8402 4 года назад
@@naimayusuphu5864 kwan ya mckitini hakuna wanaovumilia had wanapata majanga??acha izo
@abasanjayusufu7266
@abasanjayusufu7266 4 года назад
Mapnz ayaaa/////
@abasanjayusufu7266
@abasanjayusufu7266 4 года назад
@@janetmaganga8402 kakukeraa eeeh////
@04704803
@04704803 4 года назад
Nilishakataa suala la kupigwa kabisaaaa, yani niliwahi kupigwa mara moja baada ya miezi minne ya ndoa kesho yake nilimuweka police hakuamini akaja na kauli ya kuachana na mimi nikajipanga kuondoka alivyoona gari limefika la kuchukua vitu hiyo kesho yake akaanza kuomba msamaha nikamwambia siku yoyote akirudia nitamfunga tu... Mpk leo ni miaka 5 na miezi 8 hajawahi hata kibao.... Hawa watu si wakuwachekea hata kidogo wanawake tujisimamie kupinga ukatili huu
@bonvivant3704
@bonvivant3704 4 года назад
04704803 hongera sana dada, tatizo wanawake wanahisi wakivumilia ndo watapendwa zaidi lol
@04704803
@04704803 4 года назад
@@bonvivant3704 tujisimamie wanawake tuache kusikiliza kauli za kutukandamiza eti mwanamke kupigwa kawaida!!! Mwisho wa siku unauliwa kabla ya siku zako za kuishi duniani.
@lizbethimanuel8139
@lizbethimanuel8139 4 года назад
Safiiii ndio wanavyotaka ukiwa mpole unamueshimu anajisahau MA Kuanza kutugeuza mabucha
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 года назад
Kweli my mimi pia bora uniacha kweipe kuliko kuniletea ujinga ,
@ramadhancharles6517
@ramadhancharles6517 4 года назад
Kupigw we n mhim
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Mama mdgo wa marehemu ana hekima sana
@tunkuh661
@tunkuh661 4 года назад
Mashaka ni mengi😥 1. Tukio limetokea kati ya saa 8 na 9 huu ni usiku mwingi kawaida Tz tunakuwa usingizini. 2. Shoti usiku wa manane nn alikuwa anafanya na umeme? 3. Je kuna sorket na kifaa cha umeme kilichosababisha hiyo shoti chumbani hapo? 4. Au kuna waya wa umeme ulitegesha dirishani kwa ajili ya wezi na labda tuseme alishika dirisha bahati mbaya? 5. Shoti chumbani kujigonga sebuleni huu mserereko mhh...shoti imemtoaje nje ya chumba au ndio mshituko? Mtu anashitushwa na shoti hadi anapata uwezo wa kufungua mlango na kukimbia? Nijuavyo shoti haikupi nafasi ya kukimbia na km haijakupata vzr utaduwaa hapohapo ulipo na ikikupata vzr utakaushwa hapohapo. 6. Preasure ya damu kutoka kuwa kubwa kwa tendo la kujigonga na meza linaleta mashaka.... mbona tunajigonga saanaa tu hasa hawa watoto wetu, but c kwa uvujaji huo wa damu au sbb alikuwa akiweweseka usingizini?😅 7. Ushahidi wa damu kwa eneo alipojigonga na njia aliyotumia kurudi chumbani haujitosherezi. 8. Inaonyesha hakukuwa na msaada wa haraka toka kwa mume ili kuzuia damu isitoke kwa sana mhhm. 9. No kelele zilizosikika au tuseme madirisha yalizuia hizo kelele zisitoke? 10. Kwanini mdada wa kazi afichwe nini kinahofiwa? 11. Msg ktk diary " sijutii maamuzi yangu" nini maana yake? NB. Guys kuachika c dhambi wapendwa km kuna Mbingu jua utaingia kwa juhudi zako tena peke yako na c kwa tiketi ya ndoa au kizazi ulichonacho... Tumepewa muda mfupi kufurahia dunia ishi ukifurahi .... yoyote anayekunyima amani au furaha mdelete yeye faster, maisha mbona yako fairy sana kwa kila mtu, tatizo ni mitazamo yetu tu.... Poleni sana wafiwa Mungu awape faraja yake ya pekee..... Ulale unono Mercy...🙏
@aminakindete9774
@aminakindete9774 4 года назад
Inaumiza sana
@emiliajm3015
@emiliajm3015 4 года назад
kwanza shot ikitokea unakimbilia chumbani hujitaki kawaida shot ikitokea unakimbilia nje
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 4 года назад
Ungekuwa mwanasheria wewe Ni balaa 👏🙏👍
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 года назад
QUBY ACKIM point tupu
@aikamasaoe4886
@aikamasaoe4886 4 года назад
Dah wanawake tufungue macho please . Tusipende kubeba yasiyobebeka kubaki single sio kilema
@elizawilliam2943
@elizawilliam2943 4 года назад
Dah! Eeh Mungu simama mwenyewe Baba haki ya huyu mwanamke ipatikane😭😭😭😭😭😭😭😭
@giftkondo8936
@giftkondo8936 4 года назад
😭😭😭😭
@doramkolo1745
@doramkolo1745 4 года назад
Duhhh....najaribu kuandika nafuta naandika nafuta ila naona had shetan anakaaga chini kujifunza kabisa ukatili binadamu wanaoufanya....ila damu ya mtu halalagi ipo siku tu hata kama zitapita siku na miaka ukweli utajulikana..asante geah kwa taarifa hii utatujuza kinachoendelea...Mungu amlaze mahala pema marehemu...
@kweka14l35
@kweka14l35 4 года назад
Mwanamke ukishindwana na mume ondoka haraka. Ndoa ni siku 1 tuu usihadaike na shela wala gauni la harusi.
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 4 года назад
Exactly
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 4 года назад
Jamila juma kweli ndoa ni cku 1 zilobaki mtihani mtupu
@kweka14l35
@kweka14l35 4 года назад
@@salmaalbarwani2618 wengi hutaka kuvaa tuu magauni meupe na sherehe kubwa... Hawajui shughuli ni siku 1 tuu tena masaa machache. Baada ya hapo ni balaa. Ambao hatujaolewa tuombe Mungu sana maana ndoa za sikuhizj ni mtihan kila kukicha
@subirakapinga2320
@subirakapinga2320 4 года назад
Ww unajua chadho ninani
@kweka14l35
@kweka14l35 4 года назад
@@subirakapinga2320 hata kama chanzo hakijajulikana ila nimesema ukishindwana na mume achana nae ondoka anzisha maisha mapya. Hapo hamna shoti ya umeme wala nini
@estheradriel9829
@estheradriel9829 4 года назад
Yani hii familia ya mke wastarabu sana duh! Familia nyingine kimbunga kingepita, poleni sana Mungu awafanyie Wepesi mumlaze salama.
@verotony147
@verotony147 4 года назад
Daaah Mwenyez Mungu tuokoe ktk ndoa hizi pumzika kwa amani mwanamke mwenzetu
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 4 года назад
Nimesoma na Mercy st Anthonys Secondary school mbagala ECA mwaka 2007-2009. Na tulikaa hostel moja ya masister mbagala Alikuwa mtaratibu na mwenye furaha
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 года назад
pole
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 4 года назад
Pole dada
@barikiwasnmtumishiwamungua8404
@barikiwasnmtumishiwamungua8404 4 года назад
Poleni sn familiya
@mariamufungo9619
@mariamufungo9619 4 года назад
Pole sana maria kwa kufiwa na shoga yko.
@anithamsule5944
@anithamsule5944 4 года назад
Poleee mwaya
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Msizike mpk dada Wa kazi aje, mkomae mpk dada Wa kazi awepo na yy asemi bcz alikuwepo eneo la tukio, yaan kuna vitu vinatia hasir kwel😢😢roho hairud mara mbil why umuuwe mwenzio
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 года назад
Mimi ndoa ilinishinda kwa kweli kila siku kupigwa bila sababu..nilitoka na mimba miezi saba hadi sasa mwanangu yupo darasa la sita..hyo mwanaume sijawai mtafuta toka niondoke kwake na mwanangu namlea na yupo vizuri tu hata sitaki kumwona hyo mwanaume..wanawake mwenzangu mwanaume akianza vituko mwache..mungu atakupa mwenye kheri na wewe ising'ang'anie mahali ety kisha mtoto utamlea VP peke yako..mwisho wa siku ndo ivyo kufanyiwa ukatili..mwanaume sio ndugu yako..aweza akakufanyia chochote
@bonvivant3704
@bonvivant3704 4 года назад
Pole na hongera sana bi mzuri
@totobigi798
@totobigi798 4 года назад
Mimi nilikuwa nikipigwa bila sababu,nikamtishia nitareport polis,akaacha,kunipiga.lakini siku Moja akanitishia Kuniua ilhali niko na Mimba miezi Saba,lila siku alikuwa akiniambia nikijifungua Ataniua.mimi sikungoja nilimfahamisha babangu ,incase anything happened ajue nimeuliwa,hata alikuwa akinitishia nilikuwa namrekodi kisiri naziforward kwa dadangu. Sikumaliza hata wiki, nilibeba wanangu,nikarudi nyumbani na kuanza upya mpaka leo zijamtafuta wala kumpiga simu.wanawake tusikubali kunyanyaswa.mwanamume akikutishia ,akikupiga,ondoka,ata akikuomba msamaha,ni Moda atarudia tena
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 года назад
@@bonvivant3704 asante
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 года назад
@@totobigi798 pole sana wanadhani bila wao hatuwezi ishi ila nashkuru mungu ALHAMDULILLAH YANI SITAMANI MWANAUME KIUKWELI ..alininyanyasa mno na kunipiga kama mbwa hadi sasa nina alama ambayo siku zaliwa nayo
@urbanhyera8779
@urbanhyera8779 4 года назад
Yaaani kumbe hizi picha za harusi zinazowekwa ukutani sebuleni mwa wanandoa ni mapambo tuu 😭😭 inaumiza sana poleni familia.
@Officialreyca
@Officialreyca 4 года назад
Rest in peace mdada uyo mume inabidi apate haki yake anyongwe au afungwe maisha
@asifamwenga5310
@asifamwenga5310 4 года назад
Ukiolewa ndugu wa mume usiwapgie hesabu hamna watu wenye roho mbaya Kama hao ukishaona hamuelewan na alikuunyansha na huo ukoo tembea na gepuuuu
@sarahmwakilasa9346
@sarahmwakilasa9346 4 года назад
Wanaume sio watu wa zuri kabisa poleni wapendwa😭😭😭
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 года назад
Mi sina hamu nao kabisa hawa viumbe, kuna limoja linanisumbua k mamake arobaini zake soon zinafika😡😡🤬
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Njoo uolewe kwetu Burundi atunaga izo tabiya
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Yaan hii ishu hata kama nursery anaona tu hali ikoje... DAMU YA MTU HAPOTEI
@ashamohamad6002
@ashamohamad6002 4 года назад
RIP
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 4 года назад
Kwenye page ya Joyce kiria wanawake live wameonyesha damu nyingy Sana zikiwa kitandani😭😭 daah R.I.P.
@ashorass4431
@ashorass4431 4 года назад
Kweli daa inasikitisha sana
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Hivi hii kujigonga gani jamn Kwenye ukweli uongo hujitenga
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Page ipi? Intagram au!?
@LillyblesdLebanon
@LillyblesdLebanon 4 года назад
Woi bona muongea uongo
@phinakamugisha6074
@phinakamugisha6074 4 года назад
@@teychriss3248 youtub
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 4 года назад
poleni sananawapatakutokaomani uyomwanaume achukuliwe nangaziza shelia iwefundisho kwawengine inajilishakabisa .amemuhua nayeye auliwe
@keifatuke99
@keifatuke99 4 года назад
Damu nilizoziona siyo za kujigonga mwenyewe,ni nguvu ya ziada ,ukipiga mtu pressure ya damu ina speed kali ,kuliko mtu akijigonga mwenyewe.
@ashorass4431
@ashorass4431 4 года назад
Nikweli
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Kweli kabisa
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Kbs usemacho
@ismailsaid6318
@ismailsaid6318 4 года назад
Duuu poreni sana
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 4 года назад
Nikweli kabisaa
@memisaphusseni7190
@memisaphusseni7190 4 года назад
Subhanaallah sina lakusema ila Allah zaidi 😭😭😭
@mariacolman7609
@mariacolman7609 4 года назад
Naogopa Sana ila Mungu ni mwaminifu Sana
@erickcoster5460
@erickcoster5460 4 года назад
Inaniuma mm sana mm mwenyewe dada yangu alipingwa na mumewe mbaka kufa nimelia sana
@nilammagayane7739
@nilammagayane7739 4 года назад
Dada ako ndo yule wa gunia za mkaa?
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
kuna uongo hata ukimdanganya mtoto wa miezi 6 atakukatlia katakata,
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Yaani alafu jinsi wanavyotenda inaonyesha kabisa Wanalo wanalolijua
@josengumbi4029
@josengumbi4029 4 года назад
Wanaume wanzangu tujifunze kuwa na mikono mizito nibora ukaondoka Mara ubapo udhiwa nakurudi baada ya hasira kushuka maana sidhani Kama nayeye alijua ataua ,kuijumla Hy mwanamke kapigwa
@reginalothmollel5011
@reginalothmollel5011 4 года назад
Duuuuuu poleni sanaa wafiwa kiukweliii inaumaa mnooo Ila huyo mwanaume wake afungungwe kifungo cha Maisha na mateso juu
@khadijaabdallah4687
@khadijaabdallah4687 4 года назад
Huyo mume wake alikuwa kisha-changanyikiwa kwa kitendo alichofanya...huwez kuleta bodaboda ety utmpakata...Damu ya Mercy itamtesa sana...R.I.P Mercy
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
. Km walikuwa hawamtaki si ange mpa taraka tuu jmn
@mackrinapeter5849
@mackrinapeter5849 4 года назад
Dah ila hii familia ya marehemu ni Walpole wangekutana na familia tata ndio wangejua kuwa kachumbali aipaswi moto...r.I.p mercy
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 4 года назад
Kamuuwa...wivu wakimapenzi..na mnakimbilia kuowa bila kujuwana vzuri..picha na maskio utAjuwa Tu ni MTU gani..Mungu amlaze pema peponi..
@GEOFREYHASSAN
@GEOFREYHASSAN 4 года назад
Huyu Dada anaitwa Mercy ni mfanyakazi wa ofisini kwetu alikuwa Ana mgogoro kwenye nyumba ndoa yake ilikuwa imefika hatma ya mwisho coz alikuwa anaivunja kwa bahati mbaya na sisi ofisini tunapokea taarifa kwamba ameuawa na hajafia hospital kafika hospitali akiwa tayari ashakufa na mezani damu zimepakwa.
@ashazubere3837
@ashazubere3837 4 года назад
Mwanaume huyo akamatwe wallah daaah 😭😭😭😭😭😭😭
@GEOFREYHASSAN
@GEOFREYHASSAN 4 года назад
Yuko tayai ndani Ila kwasababu kaka yake ni mwanajeshi anataka kutumia cheo chake kufuta kesi
@DeeMagali14
@DeeMagali14 4 года назад
Uwiiiii jaman😭😭😭
@phinakamugisha6074
@phinakamugisha6074 4 года назад
Si kwa Serikali hii anaisi kauliwa panya?Mungu awape nguvu familya ipambane mpka kieleweke
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Jamani wasaidieni ndugu wa marehemu ata iandikwe barua wazi kwa Rais ili uyu kaka akae ndani kama kaka yake anataka kutumia cheo basi akae ndani kwaniaba ya mdogo wake
@fatmamembe8984
@fatmamembe8984 4 года назад
Dear husband ukinichoka nirudishe kwetu,wanaume mnatuogopesha sana Poleni sana wafiwa😭😭😭
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Karibu uolewe Burundi atuna izo tabiya
@mercypatrice191
@mercypatrice191 4 года назад
RIp somo wangu
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 4 года назад
Mungu amtete Mercy na familia yake. Ukweli utawekwa peupe, Mungu yupo Mbinguni.
@neemambega4752
@neemambega4752 4 года назад
huyu dada inaonekana hata familia ya mume ilikuwa haimtaki,chuki kuanzia mume hadi wazazi wake.wabaya sana hiyo familia
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
Innalillahi wainnailaihii rajiun kapumzike kwa aman mdogo wangu
@rehemamagere8602
@rehemamagere8602 4 года назад
Daaaah mbona maumivu makali rohoni mwangu
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 года назад
Mungu wangu jaman mnatupa mtihani ss tunetaka kuingia ndani ya ndoa maaan matukio ni mengi sana km haya
@delistakanjanja534
@delistakanjanja534 4 года назад
Inaumaaa uwiii mama was marehemu pole sana ila damu ya MTU haiendi bure ataijutia milele.
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 4 года назад
Poleni sana hata hivyo Ninavyoiona hii familia ya upande wa Mke ni wastaarabu Kinoma duh asakwe huyo jamaa
@abuibra
@abuibra 4 года назад
Roho mbaya,ukishindwa kukaa na mkeo jitayarishe mlicho chuma mgawane kwa salama,kila mmoja aendelee na maisha (JAMAA KAUWA)
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 года назад
Ndugu wa mwanaume hawana adabu! Wanaongeaje hivyo kibabe!? Mama mdogo ana hekima! Safi! Polisi iingilie kati,huyo msichana wa kazi atafutwe polisi inchukue,manaake na yeye maisha yake yako mashakani!
@davidado9632
@davidado9632 4 года назад
Rest In Peace
@yasminmohamed267
@yasminmohamed267 4 года назад
Huyo dada wa kazi anahitaji ulinzi wa usalama wake kwakweli
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 4 года назад
Wakina mama na mababa ukiwa umezaa nje mara mia moja oa huyo uliezaa nae huko uwendako kunauwezekano mkubwa sana wa migogoro na unyanyasaji wa watoto na mauwaji kama hayo mara nyingi.
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 года назад
wewe mwanaume Mungu akupe pigo zito kama umefanya kwa tamaa za dunia damu ya huyu binti ikusumbue maisha
@marcelinajohn4993
@marcelinajohn4993 4 года назад
Kiukwel imeniuma sn
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Yaani ata akipata mwanamke mwingine ataishi naye maana atakuwa kama kama mwanamke, na sura ya uyo dada ikamfate popote atakapoenda na chochote atakachofanya
@danielmalwisha4161
@danielmalwisha4161 4 года назад
Jamaa anasema alijigonga kwenye meza wakati mwanamke alikuwa ashalala hyo meza ilitoka wap
@saudanyangasa5907
@saudanyangasa5907 4 года назад
Mungu wangu ukouliko shughulika na viumbe wako mlinde huyodada wakazi na mtoto wamarehemu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Mtu anatafutiwaje mwanamke ? Hayo NI makosa ya mwanzo ..... Huwez kumchagulia mtu kwenye mapenzi .... Hilo NI tatzo la uswahili ukizidi ...... Poleni Sana aisee wafiwa
@alphaibrahim8525
@alphaibrahim8525 4 года назад
Hakutafutiwa mwanamke ila alitafutiwa Dada wa kazi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 года назад
@@alphaibrahim8525 naona kasikiliza harakaharaka
@rosekweka9544
@rosekweka9544 4 года назад
Yaani hata ukimuliza kichaa atakwambia ameuliwa na mume wake kweli inauma Sana jamani huyo baba akamatwe ndio amemuuwa msiumize kichwa
@nasrjuma2360
@nasrjuma2360 4 года назад
Sanaa... cjui inakuaje jaman.. c umuache mtu aende zake mtupie vitu nje kuliko kutoa roho yake
@mdomani2404
@mdomani2404 4 года назад
Bado nafikilia bora niendelee kuwa single😭
@missdija4959
@missdija4959 4 года назад
Hata mimi 😭
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
Wanawake ukiona kuna migogoro isiyoisha amani hakuna bora urudi kwenu kuliko kusibiri kifo chako 🙌🏽🙌🏽 mambo ya kusema sijui wataona ndoa imenishinda sijui nini tutaisha oooh😭😭😭 kwa jinsi picha tu nilivyoona kwa Joyce kiria huyu dada kauliwa aiseee huyo mwanaume aseme ukweli😭😭
@04704803
@04704803 4 года назад
Kwa kweli tuache upumbavu kama huu ooh, ndoa uvumilivu , ndoa hujengwa na mwanamke sijui maujingaa gani... Yaani nawaambiga rafiki zangu msikubali kupigwa
@deboradaniel7929
@deboradaniel7929 4 года назад
Kabisa ndugu zangu
@rachealkitawa2153
@rachealkitawa2153 4 года назад
Kweli ukiona ndoa imekushinda ondoka tuu wadada wezangu maisha yataendelea ata mimi nilitoka sikuangalia arusi tulio fanya
@bonvivant3704
@bonvivant3704 4 года назад
racheal kitawa Hongera kwa kutoka dada yangu, wengine wanavumilia ujinga tu
@saniaidrisa8229
@saniaidrisa8229 4 года назад
@@bonvivant3704 Tatizo la wamama hawafundishi mabinti kuijua ndoa Salama na ndoa hatari wanachofundisha ni uvumilivu kusema ukweli haya hayataisha kama wamama hawatabadilisha kauli hi ya ndoa ni uvumilivu binafsi naamini ndoa sio uvumilivu ndoa ni Upendo ukikosa huu Upendo hiyo sio ndoa ni mauti yajayo😭😭😭
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 4 года назад
Matatizo cc wanawake tumekua vinganganizi wa wanaume,mwanaume akishakuambia ondoka ondoka nitakuua na ipo cku atakuua kweli. Matokeo yake ndio hayoook
@nourathymsolwa3640
@nourathymsolwa3640 4 года назад
Daaa yaliwahi nikuta mimi huenda mbaka leo nisingekuwepo nashukuru mungu kwa kunifumbuwa akili ckujali watu kuwa watanicheka au watasema nini nikaamua kulidi kwetu da inauma sana Innah Lilah wa inairah raajun
@jdtmsela986
@jdtmsela986 4 года назад
Jamn mungu akuulaze mahali pema peponi mungu atusaidia kwenye ndoa jamn hawa wanaume jamn
@mariamm2724
@mariamm2724 4 года назад
Ushauri wangu , mwanaume wamkamate yeye ndoo anajuwa zaidi , na msichana wa kazi pia ashukuliwe na police kwa usalama wake , wasije muuwa bure kupoteza ushahidi
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 года назад
jamani wanaume wengine wanyama sema atujui mm naww tusiraumu mungu ndo ata muhukumu kama kausika na kifo cha mkewe pia usikute ni wivu tu wakimapenzi mara nyingi ndo chazo cha ugomvi mungu atujalie waume wema
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 4 года назад
Mmmmmhh.. Jamani Kweli inauma Ila poleni ndg wote majamaa Namarafiki .. Ilakipokito sibure Uyomume anausikakiasikikubwa sana😭😭😭😭..
@rosejames2107
@rosejames2107 4 года назад
Inauma sana tena zaidi ya sana aletwe uyo mfanyakazi ndio shaidi namba moja atakae simama mahakamani
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 4 года назад
Mmmmmh mtafanya tusiolewe jaman wanaume mkituchoka tuachen mkiona tunawang'ang'ania tutoroken jaman msituue maana wakat mwngne tunajifanyaga tunajua kuvumilia sana nanyie mkilijua hilo mnatutumia vbaya
@heriihojo5040
@heriihojo5040 4 года назад
Kabisa mummy huu ni unyama ulopitiliza inauma sana kutuua kama kuku😪😪😪
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
warundi atunaga izo tabiya
@mariej6962
@mariej6962 2 года назад
Alimuua. Alivyo mshenzi akasahau kuwa mtu akiumia damu hutoka hapohapo. Kama alikuwa anavuja damu obviously trail ya damu ingeanzia sebuleni kwenda chumbani.
@naomybenedict5855
@naomybenedict5855 4 года назад
Mungu nakuomba usimamie hili kwan kila lenye mwanzo halikosi mwisho jaman
@peteraloisimallya452
@peteraloisimallya452 4 года назад
Jaman
@sarahrajabu9812
@sarahrajabu9812 4 года назад
Poleni sana familia inasikitisha sana. Rip. Huyu mwanaume anahusika Moja kwa Moja
@viviansimon7610
@viviansimon7610 4 года назад
Jamani maisha haya ukiona mambo huyaelewi bola uondoke mapema tu usisubili mpaka kifo kikukute daah
@fatmalyego2531
@fatmalyego2531 4 года назад
Mtihani walahi
@arafaally2895
@arafaally2895 4 года назад
Dada wa kazi kaenda kufichwa ili afundishwe kusema uongo
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Kiufupi huyo mume wa marehemu ndio alomfanyia huo unyama na nikwaajili alipata mke wa nje vilevile familia ya mume hawakumpenda huyo marehemu.Ni sawa lkn wote hao wakue kua dunia nimatembezi 😏😏😏🇰🇪
@veeJesus
@veeJesus 4 года назад
Mkenya una kiswahili kizur
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 года назад
@@veeJesus haswaaa
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Huyo mwanamke wa nje nimjinga kama ataendelea kuwa na huyo mwanaume....angalie nayeye asije akauliwa ohoooo
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
Inauma Sana ninalia sana
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
Kama huyu mwanaume alipata mwanamke wa nje iweje afanye hivii😭😭
@saumrashid8086
@saumrashid8086 4 года назад
Kisa nn jmn mpk kuuana jmn😭😭😭😭😭😭😭dah inauma sana wallah nmetokwa chozi mtu mmeshindwana muache kuliko kuua jmn😭😭😭😭😭
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 4 года назад
We acha tuu😭😭😭
@humaidalnaamani4183
@humaidalnaamani4183 4 года назад
Kitu cha ajabu meza inayo tajwa ni meza ya urefu wa kufikia chini ya magoti vipi ajipigize kwenye kipaji cha uso hata kipofu atashangaa
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 года назад
Duuu poleni sana wapendwa kwa kumpoteza mpendwa wenu Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.Hakika huyu Dada kauliwa na mumewe kapigwa na kitu kizito kichwani ndio ikampelekea kumwaga damu nyingi na kupoteza maisha.Tumeona kwenye page ya Joyce Kiria tumeonyeshwa chumbani damu imetapakaa kwenye mashuka kwenye mito kama alipigwa na shoti ya umeme sebuleni hizo damu zingekuwa sebuleni na si chumbani.Hilo tukio limefanyika kitandani wakiwa wamelala tunaomba serikali ifatilie maelezo ya huyo baba maana najua damu ni nzito kuliko maji maelezo yake yatabainika tu kama kamuua. Na ikibainika kama kamuua akamatwe apelekwe jela ahukumiwe kifungo cha maisha ikibidi anyongwe na yeye mpaka kufa maana kila auaye kwa upanga naye afe kwa upanga.Inamaana kama ni shoti ya umeme hiyo uck wa manane alikuwa anafanyaje mpaka akapigwa na shoti ya umeme? Huyu baba kamuua kbs.R.I.P
@Boaz22
@Boaz22 4 года назад
Nimesikiliza maelezo kwa makini sana,.huyo mwanaume ndie aliemuua huyo dada,.sababu tukio la sebuleni kudondoka kwa shoti ya umeme ingeonekana,hapo sebuleni pangekua na damu mnoo
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 4 года назад
Usiposema ukweli uwakomoi ira kwa Mungu utapata mtihani haswa
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Sichamna mdogo saaaana wallahi shotigani mtu atiririke dam ivo navitu vipo wazi kbs
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Wakati shoty unakaula jmn
@sweetprincess4771
@sweetprincess4771 4 года назад
Mie mwenzenu nikisikiag hivii naogopa ata ndoa😭
@klietacb496
@klietacb496 4 года назад
Wewe ogopa ,wenzio wanaenda kuroga waolewe.hata km mume kakurudisha kwenu.unang'ang'ana mpk unaolewa
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Sn maana wanaume WA ss ivi wana danganywa na utqjili
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 4 года назад
Lazima uohope maana hao wajamaa wana matatizo sana
@veronicacharles9197
@veronicacharles9197 4 года назад
We n mm kabisa
@angelfedinandi7889
@angelfedinandi7889 4 года назад
Yaan me hat sitaman ndoa jmn .nisije nikauliwa na mim .stk mwanaume kabis .wanawake tunaisha jmn tunauliwa tyu dah😭😭😭
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Burundi atunaga izo tabiya za ukuwa wake zetu
@agnesmanimba8548
@agnesmanimba8548 4 года назад
Mungu ampokeee bint yetu
@zenamshana6852
@zenamshana6852 4 года назад
Inauma Sana
@elizabethcharles8045
@elizabethcharles8045 4 года назад
Wanawak tunamutian ira kk hy damu yabit huy imurani xn anjut naunjiga wak
@teresiamsofe1993
@teresiamsofe1993 4 года назад
Huo mwli huyo dada ufanwe uchunguzi wavkina kwa sababu shoti ya umeme huwa mwathiriwa anakauka hatoki damu huyo nyamela ahojiwe sheria ifate mkondo wake haki ya dada
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 4 года назад
Mtu kafa kimashaka hivyo anaweza kuzikwa bila uchunguzi kweli Tanzania yetu mungu isaidie
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 4 года назад
Poleni sana
@rahmaomar9646
@rahmaomar9646 4 года назад
poleni sana wafiwa😢😢😢😢😢
@barikiwa22
@barikiwa22 4 года назад
Hayo ni mauaji nimeona picha zinatisha wanawakelivetv
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 4 года назад
Hapo kuna kitu na naona mfanyakazi ndo mwenye majibu ndomana wamemkimbiza ili asihojiwe
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 года назад
kabisa
@csato9415
@csato9415 4 года назад
Na hapo watakuwa washamtisha na kumfundisha nini cha kuongea....(uongo).
@04704803
@04704803 4 года назад
Hao wajinga kweli, wameenda kumlisha maneno
@gloryabraham4618
@gloryabraham4618 4 года назад
Rip Dada mzur ila uchunguz ufanyike kuna namna
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Daaahh pole kwa marehem kwa kukatishwa uhai wako ila ndugu poleni mno afu inaonyesha familiar ya mume inajua kila kitu kwann wanamficha binti wa kazi was was wao nn
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 4 года назад
Yani nikiona hatuelewani nashika njia yangu maisha yanaendelea tu. Huyu mwanaume kamuwa mwenzake tu hakuna jingine kiukweli damu ya mtu hapotei KAMWE KAMWE.😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@tausilazaro2989
@tausilazaro2989 4 года назад
Jaman mbona wanaume wamekua magaid tutaolewa kweli mungu turehem
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Lazima uta olewa
@Kibwagizo_tz
@Kibwagizo_tz 4 года назад
Jamani
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 4 года назад
Ushahidi sio kitanda kilichojaa damu hapana coz mtu aweza uwawa kwingine au kupata ajali akalazwa kitandani na damu zikajaa...tuwaachie serikali wafanye uchunguzi zaidi ukweli utajulikana tu..damu y mtu haidhulumiwi...
@qwerastive1427
@qwerastive1427 4 года назад
Du nihatari sana kung'ang'ania ndoa isiyo na amani bora kuondoka na kufanya mambo mengine
@jeaninehatungimana1494
@jeaninehatungimana1494 4 года назад
Innalillah Wainaillah Rajiun poleni
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
Mume lazima kahusikaa hapo akikamatwa lazima anasema ukwelii
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun,
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 года назад
Muombe kumfunua mumuangalie mwili wote kabla hamjamzika na Docter afanye kazi yake ipasavyo
@idrisahasani5153
@idrisahasani5153 4 года назад
Naitwa bambucha kinyozi Dada gea wenomasana
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Doh Innaillah wainaillah rajuun😭
@jesckamalekela867
@jesckamalekela867 4 года назад
Rip damu ya mtu nzito jmn et eehh mungu saidia haki ya marehemu ipatikane
@ziadasalim1459
@ziadasalim1459 4 года назад
Kufa kuzikana mpaka kifo kitutenganishe ndo icho . Mara tumetoka mbali Mara tumechuma mali wote Mara kuachika kwetu noo ni aibu. Ndoa ni uvumilivu ndo wanavyoambiana . Ndoa ni riziki tu, ikiisha unasepa sio kung,ang,ana unakuta mtu ananyanyaswa na mwanaume kang,ang, ania wengine mpaka kuroga waume ili wasiachwe na dawa zikiisha ndo majanga.
@estermayemba7599
@estermayemba7599 4 года назад
Dah imeniuma sana mimi ni mwanamke sijaolewa lakini kupitia tukio hili nimejikuta spendi kuolewa tena dah!2😪😪😪
@faridachumusalum4760
@faridachumusalum4760 4 года назад
Jamani mtihani huu
Далее
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 150 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 103 тыс.
MAMA MERCY ATOA SIRI NZITO - MAUAJI KIMARA
32:59
Просмотров 324 тыс.
Kurasini SDA Choir - Haja ya Moyo
5:27
Просмотров 4 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 118 тыс.
DADA WA KAZI AELEZEA SIKU YA TUKIO! MAUAJI KIMARA
29:46
NDOA NDOANO!! MAUAJI KIMARA
17:07
Просмотров 483 тыс.
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 150 тыс.