Itakapo kuja nusra ya Mwenye Enzi Mungu na ushindi.Utawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenye Enzi Mungu makundi kwa makundi.Basi msabihi Mola wako na umuombe msamaha.Hakika YEYE ni mwenye toba
Masha Allah, namjua huyu Husna Allah abaarik kwel ana shime khasa yakuijua dini anajituma sana ktk kutafut ilmu ya deen, masha Allah kawa7bu ya kusilim wanakijij wingi kwao ni jambo kubwa mno Allah amlipe kheri
ماشاءالله ماشاءالله Ewe Allah Mim kabla sijafa yarab nijaalie namim niee nimefanya kitu chochote kwa ajili ya Uislam wangu😭😭😭😭Yarab yakariim Mashallah Allahumma barik mabrookiin Wazaz wa mtoto na kijiji kwa ujumla ni Neema Kubwa mmeipata الحمد لله على نعمة الإسلام 🤲😭
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh...naomba salaam hizi zimfikie sheikh Kishki na sheilh Shariff Al Ahdal kuna msikiti dhoofol hali uko mburahati kwa jongo unaitwa masjid Hudaa muanzilishi al marhum sheikh Mangala kwakweli hali ni mbaya na maimam hali zao ni mbaya pia wanahitahitaji wafadhili waende wakawatembelee waone hali ilivyo mbaya