Тёмный

UWANJA WAJAA KUMTAZAMA MUFTI MKUBWA DUNIANI MENK, AIMWAGIA SIFA TELE ZANZIBAR RAIS MWINYI ASEMA HAYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 1,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 Час назад
Mashalaaa Muft kutufikia kwetu Mungu akupe afya njema na Mwisho mwema
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 57 минут назад
Masha Allah ,upendo wa Kiislam ,Amani itawale Tanzania ,na Duniani Amiin❤❤❤❤😊
@aishahazary4097
@aishahazary4097 56 минут назад
Bismillah Maasha Allah karibu tena Mufti Meck
@bisawaahmed4533
@bisawaahmed4533 Минуту назад
Mashaallah muft anataka afunge rekodi ya kutembea dunia nzima kwaajil ya Allah Allahu akbar
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Час назад
Allahu-akbar
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 18 минут назад
Mashaa Allah Alhamdulillah Rabilalamin
@SalumuKomba
@SalumuKomba 25 минут назад
Proud to be Muslim ❤
@yaredamos7664
@yaredamos7664 Час назад
Namkubali sana huyu Mufti Menk.
@Fatmaahmedi255-p5l
@Fatmaahmedi255-p5l 20 минут назад
Masha allah allah akibar allah akuhifadhi
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Час назад
Love Zanzibar❤❤❤
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Час назад
Masha Allah,,,,
@salimashambi7047
@salimashambi7047 56 минут назад
Home sweet home ❤
@rehemamnatende400
@rehemamnatende400 Час назад
mashaAllah
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 21 минуту назад
Mimi mwenyewe namkubali yaani ningekuwepo uko kwa uwezo wa ALLAH ningeudhulia hakika yaani anaongeaga kizungu japo sijui kizungu lakini naelewaga kabisa yaani naelewaga jamani oooh
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Минуту назад
Halal tourism is the future for Zanzibar. Not the current form of mass tourism, which is damaging to the culture, religion and environment.
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 18 минут назад
Mashaa Allah
@raydanfrenk
@raydanfrenk Час назад
Mm mkrist ila uyu Sheee nakubali sana Allah akupe maisha marefu ikikupendeza njoo kwa Yesu aliye hai akupe uwokovu wa milele, naomba waslam msinitukane mimi mwenyew namkubali ili akija kwa yesu atakuwa vzr zaidi
@aishahazary4097
@aishahazary4097 57 минут назад
Wewe ndio uwe karibu na Yesu mbona waislam wanamkubali yesu na ni mwislam mwenzetu
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 47 минут назад
Kweli unachekesha hata nafsi yako inakusuta kwa unayosema sheikh aje kwa yesu wakati uislamu unamjua na kumlezea yesu kuhusu ukristo
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 42 минуты назад
Karibu kwa uislam umjue vizuri yesu
@Sheba4651
@Sheba4651 19 минут назад
Yaani aje kwa Yesu, aje kuabudu binadam.
@KassimNassor-x5p
@KassimNassor-x5p 18 минут назад
Uyo shehe kuja kweny ukiristo usahau namuomb allh akuzindue katik uwo usingiz mzito ulokua nao akuongoz katik njia iliyonyooka
@MaryamAhmed-qt5ey
@MaryamAhmed-qt5ey 5 минут назад
.alhamdullah nilikuepo
@moddy8744
@moddy8744 29 минут назад
Mashallah
@yusufismail3116
@yusufismail3116 14 минут назад
Millard hiyo Heading siyo sahihi. Hakuna mufti mkubwa duniani katika uislamu. Umepotosha. Kiongozi wa Dunia alikuwa Mtume Muhammad ( S.A.S) katika dini yeti ya kiislamu.
@JumaBakari-ld5rr
@JumaBakari-ld5rr Час назад
Safi sanaa
@SalumuKomba
@SalumuKomba 31 минуту назад
Katika uislaam Hakuna muft mkubwa wala mdogo wote ni sawa tu...
@vibetz9991
@vibetz9991 59 минут назад
Brother eeew 😂😂😂 what's that uwanja?
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 42 минуты назад
Aje na bongo jamani
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 минуты назад
Kauli yake ya kusema ana marafiki mashoga alishataraaja'a?
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Час назад
Baba mtakatifu wa kiislamu au
@salumalriyamy
@salumalriyamy Час назад
Hapana. Ni mufti tu wa Zimbabwe, hauwezi kumfanananisha na baba mtakatifu, kwa sababu vyeo hivi vinatofautiana kabisa.
@Khmediy3241
@Khmediy3241 Час назад
Atuna mtakatifu xx​@@salumalriyamy
@sharifamuhd4554
@sharifamuhd4554 Час назад
Hapana huyo ni Mufti​@@salumalriyamy
@astambaby7719
@astambaby7719 Час назад
Katika uislamu hakuna baba mtakatifu ila hao waliokuja ni mashekhe kutoka nchi nyengine
@salumalriyamy
@salumalriyamy Час назад
@@sharifamuhd4554 ndivyo nilivyosema au nimekosea?
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Час назад
Allahu-akbar
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Час назад
Allahu-akbar
Далее
Day 1 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
7:04:51
Уезжаю в лагерь
17:57
Просмотров 286 тыс.
Day 1 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
7:04:51