Тёмный

UWEZO AWARD 2017 - A COMMUNITY CHANGE PROJECT FROM DAR ES SALAAM SECONDARY SCHOOL 

Great Hope Foundation
Подписаться 936
Просмотров 34
50% 1

UWEZO AWARD PROJECT, ni mashindano ya wanafunzi wa shule za sekondari yanayowapa fursa ya kujifunza kwa kupitia changamoto kwa kubuni na kutekeleza miradi bunifu ya kijasiriamali yenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii inayowazunguka. Lengo kuu ya mradi huu ni kuwasaidia wanafunzi kujifunza ujuzi wa kijasiriamali na ujuzi wa karne ya 21 wakiwa bado wapo shuleni ili uje kuwasaidia hapo baadae kukabailiana na chngamoto za soko la ajira aidha kwa kujiajiri au kuajirika kwa urahisi. DAR ES SALAAM Sec. School ilikua miongoni mwa shule zilizoshiriki miradi hii kwa mwaka 2017.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
HATUNA VYUO VIKUU.
10:53
Просмотров 8 тыс.
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 148 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 607 тыс.