Тёмный

MAJALIWA AFICHUA 'MADUDU' KIGAMBONI, ATOA MAAGIZO HAYA 

Daily News Digital
Подписаться 225 тыс.
Просмотров 743
50% 1

KIGAMBONI, Dar es Salaam: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na watumishi wanne wa kitengo cha Akaunti Jumuifu ya Amana (TSA) kilichopo TAMISEMI kwa tuhuma za ubadhirifu wa sh milioni 165.6.
Aidha ameagiza, Annie Nyabugumba Maugo wa Kitengo cha Akaunti Jumuifu ya Amana asimamishwe kazi kutokana na ushiriki wake kwenye muamala uliohamisha fedha kutoka TAMISEMI kwenda katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni.
Ametoa maagizo hayo leo Oktoba 06, 2024 wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi. Waziri Mkuu yupo mkoani Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 2 часа назад
Wahujumu uchumi wauliwe😮😮😮😮😮 mnacheka nao sana 😢😢😢
@abdulkarimharsheems3187
@abdulkarimharsheems3187 Час назад
Shida kubwa mnaishia kujiridhisha tu na wahusika hawapelekwi mahakamani kuhukumiwa dhambi zao
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 2 часа назад
Njoo na kariakoo napo kuna kutakatisha hela za jiji zinazoliwa wazi.wazi
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 Час назад
Wafukuzwe haraka SANA na washitakiwe
Далее
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,6 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн
NUNUA NDEGE KWA DOLA 225,000 TANZANIA
8:53
Просмотров 20 тыс.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 374 тыс.