Ni hotuba ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya Yanga, uliofanyika usiku wa Juni 15 Hyatt Hotel Dar es Salaam.
Huyu ni Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Dotto Biteko ambaye amezungumza mengi ikiwemo kuonya klabu za mpira kuepuka migogoro, mipango ya serikali kuendeleza michezo Tanzania, lakini pia ameitaja timu anayoshabikia Tanzania.
14 окт 2024