Тёмный

UZINDUZI WA JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | SABATO | 05.10.2024 

SDA Church Magomeni
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@tumaininestory4037
@tumaininestory4037 День назад
Makanisa yote aliyoyaanzisha Mungu kupitia huyu mtumishi canan Moses Mwasomola hata sasa yanastawi Ikiwemo Muungano SDA Church Geita. ❤❤❤ Mungu akupe maisha marefu Pr wangu.
@ChristopherMkama-ud6ch
@ChristopherMkama-ud6ch 2 дня назад
Nimekumiss sana mzee wangu. Mungu akupe maisha marefu umalize kazi yake vema. Hongereni sana Magomeni SDA church kwa kumpata mtumishi huyo msema ukweli kama ulivyo.
@amoskitiu3541
@amoskitiu3541 6 часов назад
Mungu akubariki mchungaji, kwa kusema ukweli kwa uwazi
@actormtewele2260
@actormtewele2260 День назад
Bwana Yesu Asifiwe sana Mchungaji Mwasomola. Bwana Akupatie Maisha marefu sana yenye afya njema ili tuendelee kupata maelekezo, hekima na busara toka kwako.
@Salisalum
@Salisalum 2 дня назад
Asante sana kaka Odera kwa maandalizi ya week hii nitawatembelea kuelewa mipango yenu ya ujenzi wa kanisa ili nijue nitafanya nini.
@olipasanga7886
@olipasanga7886 День назад
Nimependa wameimb vizuri sana bila vyombo so classy…yaan wameniinua juuu kwa Bwana
@HellenRupia-r9e
@HellenRupia-r9e 14 часов назад
Ni kweli wengi hatujali muda Mungu tusaidie kwa hili.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 10 часов назад
Bila kinanda masikika vizuri zaidi ,amina
@richardsalala9147
@richardsalala9147 День назад
Ila kwenye mapambo dada zetu mnataka kuharibu image ya kanisa hiyo minywele huko juu ni ya nini? Kweli wasabato tumefika huku jamani? Wanawake wanawake mna matatizo gani likija swala la mavazi na mapambo? Mungu awasaidie sana
@Salisalum
@Salisalum 2 дня назад
Powerful message!
@IssackSagaika
@IssackSagaika 2 дня назад
Inasikitisha kwaya nzuri ujumbe mzuri,lakini akina mama mumejitwisha nini kichwani,hamna tofauti na waulimwengu.
@renatusndelage3324
@renatusndelage3324 13 часов назад
Tusiwahukumu tuendelee kuwasaidia
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 День назад
Waimba kwahyo wa mangomeni nitia aibu na hyo minywele yenu! me nimeletwa na hyu Pastor tu siviginevyo.
@vayaulashedrack5994
@vayaulashedrack5994 3 дня назад
Mnaimba lakini. Huko kichwani mmeweka vitu visivyo takiwa kwa waadventista wasabato especially for the women's. Otherwise be blessed
@Joenanda493
@Joenanda493 3 дня назад
Bora kuwa mkweli kabisa kabisa hongera
@benardotuoma59
@benardotuoma59 2 дня назад
Mtumishi anasema ukweli mtupu
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 2 дня назад
Ni vitu gani wameweka?
@isakalyuvale9464
@isakalyuvale9464 День назад
Mngeimba na mdundo tu kuliko hayo manywele kichwani
@actormtewele2260
@actormtewele2260 День назад
Kamwene kaka wanapaswa kuacha vyote midundo ambayo ni ushetani mkubwa sana katika ibada na kuweka madudu vichwani. Ubarikiwe kwa kushauri kuhusu hilo.
@HellenRupia-r9e
@HellenRupia-r9e 14 часов назад
Jamani huyu mchungaji yupo sawa tubadilike kweli kama tunataka kwenda Mbinguni waklisto wenzangu tusaidiane na tuonyane ili sote kwa psmoja tuchuchumilie wokovu amina.
@charlessegere7873
@charlessegere7873 2 дня назад
Hahaa Mzee Mwasomola Hana masihara
@barakajames2030
@barakajames2030 2 дня назад
Now it's our Turn...
Далее
JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | 08.10.2024 | DAY 3
1:55:56
نترس تو برق نبود😅😅
00:17
Просмотров 1,1 млн
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 5 млн
Pastor Mwasomola awakemea waumini wa kanisa la SDA.
9:32
JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | 07.10.2024 | DAY 2
1:40:33
IJUE SAUTI YA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA 26/09/2024
1:38:12
KUMTAFUTA MUNGU WAKATI WA VITISHO-PR.DAVID MMBAGA
1:00:10
KILELE CHA MAKAMBI MTAA WA NJIRO 2024
1:59:10
JUMA LA UWAKILI | PR. KENAN MWASOMOLA | 06.10.2024 | DAY 1
1:47:28