Тёмный

UZURI WA TOYOTA CROWN ULIYOFICHWA. 

THE CAR LOVERS TZ
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@athumanichamzuri3844
@athumanichamzuri3844 21 день назад
Jifunze sana kati Ya year of manufacture na year of registration hiyo sio crown ya 2008
@EvordPallangyo-fm7id
@EvordPallangyo-fm7id 6 месяцев назад
You kill it as always 🙌🙌
@selemanabasy2532
@selemanabasy2532 6 месяцев назад
UMETISHAAA SANAA
@Charosilas
@Charosilas 6 месяцев назад
Volkswagen Tourage 2016 unaionaje
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 6 месяцев назад
Unaijua camry
@macdonaldx3641
@macdonaldx3641 6 месяцев назад
Broo nikusahihishe mm nina crown maximum gear ya crown sio 6 ni gear 7 broo
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Mwaka gani hiyo?
@eliasmbowe2967
@eliasmbowe2967 6 месяцев назад
Hakuna crown ya ivo mzee
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Labda anahesabia na Reverse gear, so anaweza akawa Sawa...
@dennisnjiro7922
@dennisnjiro7922 5 месяцев назад
Yupo sawa pamoja na Reverse
@imranulotu8768
@imranulotu8768 6 месяцев назад
Hyo crown 2004 bhana sio 2008
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Vizuri
@FahadAli-ni5eu
@FahadAli-ni5eu 6 месяцев назад
Kweli broo body kit tu inaongea
@obriengreggsen8747
@obriengreggsen8747 2 месяца назад
Kaka Watson habari za muda huu Kuna hili swali kati ya hizi gari mbili zote crown 2004 Toyota Crown Athlete Engine:4gr-fse 2.5L N/A Transmission:5speed Auto Curb weight:1630kg Vs 2006 Toyota Crown Athlete Engine:4gr-fse 2.5L N/A Transmission:6speed Auto Curb weight:1670kg Zote zina service nzuri, Ukipiga safari same destination,same driving style na uwe peke yako dereva tu. Je utofauti wa fuel consumption utakuwa mkubwa kati ya hizo gari mbili ukizingatia moja ina 5speed na nyingine 6speed?
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 2 месяца назад
Gari yenye mwaka wa mbele mara zote inakuwa nzuri katika kila kitu kuliko ya mwaka wa nyuma...na ulaji wa mafuta yenye gear nyingi inafanya vizuri zaidi kuliko, ya nyuma.
@Hamy1109
@Hamy1109 6 месяцев назад
Mkuu naomba usifananishe E Class na vitu vya ajabu ajabu. Labda kama hujawahi kupata experience ya E class. Hata E class ya nyuma W112 ni kali kuliko hiyo Crown.
@syntaxsaintezzer5547
@syntaxsaintezzer5547 6 месяцев назад
Hajui magari uyo mshamba
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Unalinganisha nini?
@macdonaldx3641
@macdonaldx3641 6 месяцев назад
Broo unajua magari au unafatilia magari, maana inaonekana historia ya gari ungeijua usingebishana
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Unapoleta hoja hapa, itetee maana watu tunataka kujifunza, hata mimi mwenyewe sijui kitu, nataka kujifunza hivyo hakikisha unajenga hoja inayojenga, mtu mwingine akija kusoma comment yako apate kitu, mimi nimeeleza sababu zangu nawewe weka zako .
@Hamy1109
@Hamy1109 6 месяцев назад
@@thecar_lovers_tz Mercedes Benz ni gari za status symbol. Hivyo zinatengenezwa zikiwa na kila kitu kuanzia luxury, comfort, safety, style na everything. Hizo Crown kama zilivyo Toyota zingine, zinabebwa na reliability tu lakini nothing about comfort utaipata kwenye Toyota Crown. Hivyo sio sawa kufananisha Crown na chuma za German. Mercedes inaweza ku compete na BMW, Audi and the likes.
@selemanabasy2532
@selemanabasy2532 6 месяцев назад
Unamshauri nini mtu anae taka nunua NISSAN FUGA kama option badala ya kununua crown
@mpinaclassic4073
@mpinaclassic4073 6 месяцев назад
Nataman ajibu hapa
@thecar_lovers_tz
@thecar_lovers_tz 6 месяцев назад
Kwa mimi naona NISSAN FUGA tuiweke kwenye kundi la CROWN MEJESTA, ambayo ni superluxury brand ya Crown na faida ya NISSAN FUGA ukiachilia mbali V6 injini lakini pia inakuja V8... Kwa hiyo FUGA ipo juu ya CROWN pasipo ushabiki.
@EvordPallangyo-fm7id
@EvordPallangyo-fm7id 6 месяцев назад
Jibu limeshiba ......
@calebmasaba5815
@calebmasaba5815 3 месяца назад
Tunaomba review ya Nissan Fuga Boss​@@thecar_lovers_tz
Далее
KWANINI TOYOTA HARRIER NI GARI YA OVYO...
8:59
Просмотров 38 тыс.
2009 Toyota Crown Athlete winter wash SCJDM ep6ish
20:21
UCHAMBUZI WA GARI LA AINA YA  HONDA | DR. MECHANICS
25:00
The Problem With These Headlights
17:55
Просмотров 942 тыс.