Baba umenitowa mashozi Sana nimekumbuka shida niliyopitiya . Alakini nilipo mtazamiya Jesu nikabarikiwa nanikaachambi nakila kitu kikakuwa sawa. Tuashe zambia chameni. Baba Mungu akuinuwe zaidi.🙏🙏🙏
Ahsante sana mchungaji kwa mafunzo haya yenye upako wa Mungu. Natamani sana kuwa kama wewe mchungaji Abuidi niombee sana Mungu anipe kibali cha neno lake anitumie kama chombo ili kuihubiri injili kwa watu wote
He is soo used of the Lord!! He reminds me of when the Pharisees heard Jesus Christ in the temple and they said he speaks with authority!! He is so spirit filled! Thank you pastor for the uncompromising full gospel!!! Powerful word of God!
14:12 Dhambi ni kama kiu kikimkamata mtu haikutoshelezi. Mungu anisaidie sana, Nionje maji ya uhau nipate kukata kiu cha damu. Yesu apewe sifa🙏following from Kenya 🥰
kweli mchungaji siku ya mateso hakuna atakaye kuona ,tena zaidi sana, kuna siku nilisikiza wimbo wako nikafarijika sana ilikuwa mwaka 2007 wakati naanza huduma mpya dar es salaam Mungu akubariki sana natamani sana siku moja nikukaribishe kanisani ,