Тёмный

Vaileth Mwaisumo - Baba (Official Video) 

Vaileth Mwaisumo
Подписаться 134 тыс.
Просмотров 247 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 442   
@victordeekenya3539
@victordeekenya3539 Год назад
Wow, wow, pongezi sana Mama Vaileth Mwaisumo.. Nyimbo ya baraka na upendo 🇰🇪🇰🇪
@jasminemurgi4687
@jasminemurgi4687 Год назад
Dada umebarikiwa sana nyimbo zako ziko more powerful hua zina nitia nguvu kila wakati be blessed
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Thanks much
@shikoirush3264
@shikoirush3264 Год назад
Hakika ni Mungu kila wakati 🙏🙏
@hellenbarasa3261
@hellenbarasa3261 Год назад
Ameeen dada MUNGU aendelee kukupa kubali huku Cha uimbaji maana nyimbo zako zina tuliza mioyo za waliokosa matumaini🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@lonaaviosi6027
@lonaaviosi6027 2 года назад
Nitakwita Baba tuu Amen 🙏🙏🙏 nyimbo zako zina upako sana huwa zinapea mtu yule amekata tamaa tumaini barikiwa na tap hiyo mafuta mara saba 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@kefahmachuki1241
@kefahmachuki1241 Год назад
Amen mum l don't go to church but song zako UWA zinanijengea siku ubalikiwe mama🙏🙏🙏🙏
@dollanbosire-du1sx
@dollanbosire-du1sx Год назад
I cant get enough of these song ,unanitia moyo mamangu mungu abariki kazi ya mikono yako,you worshp him from the bottom of your heart
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Thanks much
@eliyaKalago
@eliyaKalago 7 месяцев назад
Barikiwa
@TUMAINIMBEMBELA7
@TUMAINIMBEMBELA7 3 года назад
Wimbo unenihudumia Sana huu dada yangu hakika Mungu azidi kukutumia mamangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina mpenzi wangu 🥰
@enktraudernyamle3360
@enktraudernyamle3360 Год назад
Ameen Ameen kila nikisikiliza wimbo huu nafsi yangu inapona .....Ahsante yesu nakuita baba tuuu🤗🤗
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@ezekielmapesa8811
@ezekielmapesa8811 Год назад
😭😭🙏🙏 be blessed mum much love from Kenya 🇰🇪 asante kwa kututia moyo huu wimbo unagusa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Shukrani
@mutukumuthike8717
@mutukumuthike8717 3 года назад
I remember playing this song continually In a matatu from kiambu road to Umoja, after an interview, it was competitive, after 2 weeks I was called for the second interview,. Who is like God, I was offered the Job opportunity. Ni baba tu.one week into my new job. 🙌🙌🙌🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Hakika Utukufu kwa MUNGU
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Hakika Utukufu kwa MUNGU
@denmascyber6713
@denmascyber6713 2 года назад
Ni baba tu
@davidsakwa8752
@davidsakwa8752 2 года назад
amen and amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kashindisijaona3342
@kashindisijaona3342 Год назад
Tutakuita baba tu bless mammy ❤❤
@magrethevarist4378
@magrethevarist4378 3 года назад
Nice Song my dear Yaan Nakupenda Sana kwa Jinsi unavyougusa Moyo Wangu Kupitia Huduma Mungu Ameweka Ndani Yako.❤️❤️❤️ Kila ninaposkiliza Jumbe Za Nyimbo zako Naskia Kuvushwa na Mungu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpenzi wangu barikiwa sana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 года назад
Amen
@elizabethkabura8294
@elizabethkabura8294 2 года назад
This woman worships God in truth, ❤️I personal love your songs , each time I listen to her song there is that grace that hushuka kutoka kwa mbinguni
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@biancashillah
@biancashillah 3 года назад
You're the only father and mother in my life God whenever I cry upon you 😭😭😭 you have never disappointed me since am orphan you have been there for me God 🙏🙏🙏God bless you sister 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@amanikiwale5213
@amanikiwale5213 3 года назад
Wimbo mzuri Sana video nzuri na Mwimbaji upo vizuri Sana . Hongera my beautiful wife Mungu kawekeza kitu kikubwa ndani yako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much my husband. For the great support.
@evangelistrobinsongospel
@evangelistrobinsongospel 3 года назад
Hakika sifa na Utukufu arudishiwe YESU KRISTO...Na kiyu yangu Azidi chochea chemichemi ya huduma kwako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@janethcharles7594
@janethcharles7594 3 года назад
Amen,, nakupenda napenda nyimbo zako zinaniinua Sana,,napenda uimbaji wako Mungu akuzidishie ulipotoa ili tuzidi kusonga mbele kwaajili ya nyimbo zako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpendwa
@safari2976
@safari2976 2 года назад
I’m truly blessed by your songs 🙏🏾🙏🏾. Wakati niko chini nyimbo zako zaniinua. Baba azidi kukulinda na kukuinua.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@ipajam9
@ipajam9 2 года назад
Amen na amen
@cuhgds4320
@cuhgds4320 3 года назад
Wow, i want to know you sister, yr songs are different coming from a place of surrender amen
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@Dodo-jn4sp
@Dodo-jn4sp 3 года назад
I'm from Kenya I love this music is so touching 😍🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks
@liliankathure9691
@liliankathure9691 3 года назад
Amen
@blessingmwakalindile585
@blessingmwakalindile585 3 года назад
Mama wimbo mzuri Sanaa,Tupate mema tuu ,sisi ni akina nani?.Yeye ni baba tuu,it doesn't matter what.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina daughter barikiwa
@RuthNjoki-kl4vs
@RuthNjoki-kl4vs Год назад
Hae, mum am always blessed whenever I hear any of your song.l thank God for you. This words keep the fire burning in me knowing all that I go through its for a while.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@estherlubanga2555
@estherlubanga2555 2 года назад
God remember our country especially this time of elections, remember our families and friends, our enemies and our be loved ones,protect us from evil ooh Lord,,,,,,Bado nitakuita Baba tuuuu🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@geofreypaul163
@geofreypaul163 2 года назад
Mungu ana majembe jamani....seems to be prayerful woman with full of faith and anointing...my God my God...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@blessedjam.3281
@blessedjam.3281 2 года назад
Ahsante mungu Kwa huyu mtumishi wako... Nitamwita baba katika Hali yangu.. 😭😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@chrisantuseuzebbakana7187
@chrisantuseuzebbakana7187 2 года назад
The first time to listen on this song, I made it as my prayer. Really God head on my prayer.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@leocadearzengo4606
@leocadearzengo4606 3 года назад
EE MUNGU BABA NISAMEHE KWA MANUNGUNIKO YANGU YOTE,🙏 WEWE NI MUNGU NA UTABAKI KUWA MUNGU, WEWE NI BABA NA UTAKUWA HIVYO MILELE 🙏 NISAMEHE BABA YANGU 🙏
@leocadearzengo4606
@leocadearzengo4606 3 года назад
Barikiwa sana mtumishi, kunasehem umenigusa, asante MUNGU kwa kusema na mimi kupitia mtumishi wako.🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana
@AnnaBilaly-zc2hm
@AnnaBilaly-zc2hm Год назад
Utabaki kuwa baba tu ata iweje. Barikiwa Sana ujumbe 💪❤
@IkupaMwambenja
@IkupaMwambenja 3 года назад
Nita kuita Baba tu nyakati zote wimbo umenigusa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
@safari2976
@safari2976 2 года назад
Thank you mama.. may the almighty God continue to lift you. Your songs are such a blessing. NitaKuita baba tu! Hallelujah!!
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@Amina-ue1tf
@Amina-ue1tf 2 года назад
Mungu aendelee kukupa Kibari namwaisumo unagusa wengi kwa huduma yako ya uimbaji barikiwa.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Shukrani
@terryjane4212
@terryjane4212 Год назад
I really love your song nimezijaza kwa simu yangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@StephenKasolo
@StephenKasolo 3 года назад
Am blessed 🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much Man of GOD, you're comment really bless me
@pstdanielmuchira5016
@pstdanielmuchira5016 3 года назад
Nice song
@naomipieter4627
@naomipieter4627 Год назад
Hakika katika ujane huu ulinifikia mapema sitakufuru Tena hakika kwa akili ya ubinadamu wangu naona why me😭 nisamehe baba acha nikuite BABA tu...dah acha nikuite baba tu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amina
@goddieoyier9991
@goddieoyier9991 3 года назад
Sio bure utalipwa na mungu,,huduma na kazi hii sio bure utalipwa na mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amen
@roselydahsamba2903
@roselydahsamba2903 2 года назад
Naamini Ukiona mtu anaimba namna hii si bure,ni Mungu amemfuta machozi na kumheshimisha kupitia uimbaji
@delhidarling4285
@delhidarling4285 3 года назад
Finally the doze has arrived ❣️😘🔥🔥🔥🔥🔥yeye ni baba kwà kweli 🥰🌹🥰🌹. Asante kwà ukumbusho huu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Be blessed much
@felistusdavid4994
@felistusdavid4994 2 года назад
Nitakwita baba tu Nitakwita baba tu Nitakwita baba tu Mpaka unibariki na familia 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@samuelmusavi8812
@samuelmusavi8812 2 года назад
listerning this from new york america.......ni bababa tu,,,,groly be un to the most high.....be blessed mada vaileh mwaisumo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Thanks much
@wonderstylish
@wonderstylish 2 года назад
Am here from tiktok..... I swear unaimba poa sana walahi will be your number one fan❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Thanks much dear
@wonderstylish
@wonderstylish 2 года назад
@@vailethmwaisumo welcome ❤️
@christinesimiyu7381
@christinesimiyu7381 5 месяцев назад
Be blessed mum I always get break through with your songs
@sylviasachini5330
@sylviasachini5330 Год назад
Glory to God
@sylviaadestanshazz6649
@sylviaadestanshazz6649 2 года назад
I can't have more of may God give you more to feed our spiritual needs. Amen
@jamesdonard2081
@jamesdonard2081 3 года назад
Nyimbo inanigusa nitakuitwa Baba tu nitakuita Baba tu thanks you my Jesus I love you Dady
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@MonicaWanjiruKuria
@MonicaWanjiruKuria 2 месяца назад
Sure,,, ata mimi apa kenya nitakuita baba tu🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 месяца назад
Amen
@oliverkhana6053
@oliverkhana6053 3 года назад
Hakika nitakuita baba tu hata kwenye magumu niliyonayo ubarikiwe dada
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@blessingmwakalindile585
@blessingmwakalindile585 3 года назад
Director Debro video Kali hongera saana
@JohnPaul-jc8ub
@JohnPaul-jc8ub 3 года назад
Hongera sana mtumishi kwa wimbo na nyimbo nyingine nyingi zinazogusa hisia. Mungu akulinde
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@aleskaminyoghe8935
@aleskaminyoghe8935 Год назад
Katika mapito yangu nitakwita Baba tu.
@herbertlevery13
@herbertlevery13 3 года назад
Napota faraja nna amani ya moyo wangu ninaposikiliza nyimbo zenu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana
@swesschao3095
@swesschao3095 2 года назад
Ooh GOD we love you our FATHER IN HEAVEN!!!!!
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@georginaauma3717
@georginaauma3717 2 года назад
Your songs give me hope in life...God bless you 🙏
@cesiliavictor1043
@cesiliavictor1043 2 года назад
I love u Madam Nabarikiwa Sana Na Nyimbo Zangu Mungu Akubariki Sanaa
@wafuladavis1068
@wafuladavis1068 Год назад
it's fantastic umenikuza roho
@elizabethmuyimba6567
@elizabethmuyimba6567 3 года назад
Amen.am blessed my dear sister ubarikiwe na mungu azidi kukuinua kwa kiwango kikubwa.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina mpendwa
@berinakima5536
@berinakima5536 2 года назад
You never disappointed me,your songs BLESS me ,GOD🙏 B🙏LESS YOU 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@janethjoseph7966
@janethjoseph7966 3 года назад
Haijalishi hali gani niliyonayo lakin Baba unabak kuwa baba tu ,😭😭😭😭Dada uzidi kuinuliwa juu kwenye viwango vingine na Mungu aachilie kibali chake sasa juu yako uzidi kuonekana nahuduma yako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana
@jehumasangawamalwa515
@jehumasangawamalwa515 3 года назад
Nice one WOG.🙏🙏 From Kenya🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@menasmusic9863
@menasmusic9863 2 года назад
Sikuzote ataitwa sikuzote 👏🧎
@lydiakhamadi7438
@lydiakhamadi7438 3 года назад
Your songs bless me every day mum,be blessed
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@moseschamwada4407
@moseschamwada4407 2 года назад
Ni Baba Tu ni Moses ktk Kenya blessing me so much Mum God bless u as u minister thumbs up
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@mamakesamary1209
@mamakesamary1209 2 года назад
Yeye ni Baba halinganishwi 🙏🙏🙏, Amen 🙏🏿🙏🏿
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@beverlynekavaya5085
@beverlynekavaya5085 2 года назад
Ni Mimi song imenileta hapa
@barmwa
@barmwa 3 года назад
Momumo..Jo jujujo Kyala, Tata mpela fyosa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amen
@MaryKapologweMpya
@MaryKapologweMpya 3 года назад
Hongera saana mtumishi wa Mungu kwa Ujumbe mzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana
@pamelamurungapamelamurunga3843
Your songs are always touching and blessings to our souls.,in time of sorrows or happiness we still magnify his might name..😍😍🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@juddiewandera
@juddiewandera 3 года назад
Nangojea Sana maana najua ni wimbo wa Baraka......ubarikiwe Sana Mtumishi Kenya twakupenda.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpendwa wangu
@rebeccaatemo7843
@rebeccaatemo7843 3 года назад
What a wonderful song my sister, "ntakwita baba tuu "it makes me feel like am in heaven with my heavenly father ,be blessed
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much dear
@janechengula6057
@janechengula6057 3 года назад
Hongera sana mama nyimbo nzuri sana Mungu tu aendelee kukutunza
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina mwanangu
@roselydahsamba2903
@roselydahsamba2903 2 года назад
Nimeisikiza Kwa mara ya kwanza jana na nimeipenda sana,ninajipata tu naomba
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Shukrani sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Shukrani sana
@justerkamala3933
@justerkamala3933 3 года назад
Wimbo mzuri sana sichoki kuusikiliza , mtumishi ubarikiwe sana Mungu azidi kukuinua ♨️♨️💪👏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina mpendwa
@aziasamwel6428
@aziasamwel6428 3 года назад
Nimebarikiwa sana kupitia wimbo huu .God bless you
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@lydiahkerubo975
@lydiahkerubo975 2 года назад
Nyimbo zako sinanitia nguvu nitamuita papa tu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@lumosinewton9333
@lumosinewton9333 3 года назад
Mamangu vaileth, unanibarki sana, cjui nisemeje ujue vile unanigusa utambue
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani
@aikamgeni7335
@aikamgeni7335 3 года назад
Mungu azidi kukubalik Sana huduma yako inagusa wengi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amen
@merciewachiraofficial
@merciewachiraofficial 3 года назад
When I listen to your music tears just flow fro my eyes😭😭😭,you are a blessing mama
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@priscillahdaniels5883
@priscillahdaniels5883 2 года назад
KWERI YEYE NI BABA TU.
@asnathjohn2937
@asnathjohn2937 3 года назад
Hongera sana twin
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana Twin
@ayubuleeotieno5155
@ayubuleeotieno5155 3 года назад
May God bless you so much. God is an everlasting Father.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amen
@biancashillah
@biancashillah 3 года назад
Β
@rehemayohanan6776
@rehemayohanan6776 3 года назад
Hakika wewe ni baba tu
@delhidarling4285
@delhidarling4285 3 года назад
Nasubiri kwà upole tu🥰🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
❤️❤️❤️❤️
@rehemamlay8608
@rehemamlay8608 Год назад
Mungu aendelee kukuinua hakika unagusa na unaganga mioyo
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Год назад
Amen
@DatiusDeogratias-n8u
@DatiusDeogratias-n8u 7 месяцев назад
Hongera sana
@sheillahombito7476
@sheillahombito7476 3 года назад
Umenigusa sana na wimbo huu....barikiwa sana dada wa mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpendwa wangu
@hildakageha3622
@hildakageha3622 2 года назад
Nahisi uwepo wa mungu ndani yangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@gladezekiel1
@gladezekiel1 2 года назад
Amen...your songs always make me to have hopes..when ever i feel like my life is upside down i just tune to your chanel coz your chanel is one of the best it uplifts souls🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Thanks much
@mfaumelawibitendelo9925
@mfaumelawibitendelo9925 3 года назад
Ibarikiwe sana Dada yangu,. Yaani hii ngoma Imenibariki saana Mtumishi wa Mungu Inatakiwa awe mvumilivu kama Ayubu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amen
@bettymoraa9766
@bettymoraa9766 3 года назад
Your songs are not only a blessing to us but also inspiring and lifting to me. I feel touched by songs and I believe God is moving me to another step. More mtumishi wa Mungu 🙌🙌🙌🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@nellychitera9065
@nellychitera9065 3 года назад
Ni Baba tu kweli, kwa hali zozote zile yeye ni Baba tu. Wimbo mzuri sana. Uinuliwe zaidi mpendwa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpendwa
@amanikiwale5213
@amanikiwale5213 3 года назад
Ni nzuri Sana inamguso wa kiroho . Kazi nzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana
@Bramfaith
@Bramfaith 2 года назад
Hakika mama ni babatu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@Bramfaith
@Bramfaith 2 года назад
Mama naomba namba ya simu
@augustermselewa6597
@augustermselewa6597 2 года назад
Kweli hakika ni baba tu ndiyo anaweza kila kitu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amina
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Год назад
Haleluyaa.mungu.nimungu⭐👍
@sarahjoseph6072
@sarahjoseph6072 2 года назад
I see this song tiktok touched me I jumped direct RU-vid to watch full, you inspire me alot God bless 🙏🙏🙏🙌
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Thanks much
@hopekaluma6579
@hopekaluma6579 2 года назад
Oooh thank you Jesus 😭😭😭 no matter what am going through iknw He's my Father God 🙏🙏🙏na atabaki kuwa Baba God bless sister
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 года назад
Amen
@stronglady7561
@stronglady7561 3 года назад
In every situations nitabaki nikikuita Baba milele, powerful message unaniguza sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Thanks much
@marthamtisi9423
@marthamtisi9423 3 года назад
Wow hongera mno madam Mungu akubariki mno nimebarikiwa mno Na wimbo huu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Shukrani sana mpendwa
@mildredwekesa3357
@mildredwekesa3357 3 года назад
Ameen,,kwa kila msimu nitamwita baba tu,kwani n baba wa milele.asante sana mam
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 года назад
Amina
@atughanilembogela8773
@atughanilembogela8773 2 года назад
Mwalimu Vai
Далее
Dj George   Best of Vaileth Mwaisumo vol II 2024
50:05
Vaileth Mwaisumo - Siku Mpya (Official Music Video)
5:28
NAKUOMBEA BY BISHOP ERICK-KISINDJA FT MARTHA MWAIPAJA
6:50
Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
41:55
Просмотров 208 тыс.