Hakika.unanifariji sana na hizi nlnyimbo zako ....naliq sana naumia sana kuondokewa na mume wa maisha yangu ..😢 ila sasa acha nianze siku mpya mana mapenzi yake yameshatimiza. Na ujane huu acha nianze upya .hakika ni siku mpya🙏
What an amazing song with new message vaileth.. let us support this song because it has a message, flow of words ❤❤😊😊napenda sana tena.. let us feel blessed with this song my fellow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukurasa wa kilio,maangaiko,magonjwa na mabaya yote nafunga:::::nafungua ukurasa mpya Bwana amefanya💗💗💗💗barikiwa sana mpenzi tunafungua ukurasa mpya wote
congrats sister for such an inspiring song. i am so much blessed with your songs kwa jumla.dada baki kama umebarikiwa tu sana. WACHA MUNGU ATUFANYIE HII SIKU MPYA. SUNDAY POA...Aic KIBERA Nairobi.
Oooh yes the Lord has just done it again, yesterday I was on the deathbed but I'm here celebrating this message.guys let's learn to trust God even in our lowest moments.hes gonna do it again... glory to God alone
Since I knew your songs aaah am uplifted each time nikiwa chini nabarikiwa mbaka furaha inajazika moyoni, shukrani Dada enyewe SIKU MPYA AMIFANYA BWANA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Mtumishi pole na majukumu, hakika bwana amefanya na anafanya tena na tena.....kiufupi dadangu nimebahatika kufahamu huduma yako jana trh 13.7.23 kupitia FB, hakika nikalazimika kuingia RU-vid kupitia kwa kina huduma yako ndipo nikakumbana na wimbo wako "ATAFANYA NJIA" hakika umenibariki sana, kazini nimeupiga kutwa kwa pc yangu kwani umegusa maisha yangu katika familia yang, huwezi amini mtumishi tumeishi maisha ya ndoa na mke wangu mwaka wa kumi pasi majariwa ya mtoto, lakini ndani ya mwaka huu wa kumi mwezi JANUARY 2023 tumebarikiwa kupata binti mrembo! Hakika kafuta AIBU na kilio chetu! Dada ubarikiwe sana, na zaidi dada natamani namiw nimjue huyu MUNGU kwa dhati ya moyo wangu hivyo nahitaji msaada sana na hatimaye niponye watu hasa wapitao makazo, magumu, mapitio na kila aina ya karaha ili nifundishe habari njema. Amen!