sam umeungia trending mkuu mm nakwambia habari za huyu jamaa lazima uuze keep support our king na tunakutaka wasafi tv sasa hv millard kashazikwa mkuu hana kitu tena ni 00
Zari, wema,Hamisa be ONE AGAINST THE SELFISH MAN. NYIE KUWENI KITU KIMOJA AS WOMEN MSIGOMBANE WALA KUTUKANANA AT THE END OF THE DAY IS A MAN. PLENTY OF THEM OUT THERE.
Kwa kweli kila mtu Amefurahia uepo wenu wa kuwa pamoja hata mm mmoja wao nimefurahi sana Aliekasilika Akafie mbele na wivu wake huko mmetokelezea kinoma
Ukiacha *VANESSA NA JUX* Couple nyingine ninayoipenda ni hii wangefunga ndoa ningefurah zaidi, ila wenye wivu wajinyonge kwa uzi please👌 😂😂😂😂 watuache kidogo
Alafu wakivaa wanavaa same colours siku hizi.. sijui ndio Aroosa mtarajiwa.. ? Atakaeolewa na Msanii awe na subra sana.. Mana hii Hali ya kubadilisha wake kama vichupi ni Exams..! 😀
murekatete rwanda Ailzari diamond alieenda kupromote Wasafi TV na Radio mambo ya Hamisa wameyaingiza kutengeneza vichwa vya habari kuhusu hizi tunzo/ awards ili itrend
hee damu nzito kuliko maji hao niwazazi tukubali tukatae hata wakosane mpaka mwisho wadunia bado mtoto atawaunganisha2 ss tutajiumiza namawivu yetu buree bora tukae pembeni
Bofya ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-0b3XxLE9G2k.html utazame video kali na murua. Subscribe na ubofye kengele usipitwe na video mpya kila wiki.