Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wa chama cha mapinduzi CCM wamewafaliji wafiwa kwa kutoa salamu za rambirambi kutoka kwa mwenyikiti wao wa UWT taifa Ndg. Mary Chatanda huku wakisistiza mtuhumiwa kuchukuliwa hatua za kisheria.
#uwt #samia #chatanda #ustawi #maendeleo #tanzania
16 сен 2024