Тёмный

VIDEO: NIFFER Ajibu kuhusu kuhusika kuivunja Ndoa ya ALIKIBA na AMINA 

Rick Media
Подписаться 892 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 Год назад
Kuwa makini dada ukimsifu sana mume wa mtu na ukaonyesha kuwa karibu sana na yeye ni tatizo, imagine ungekuwa kwenye nafasi ya Amina ungejisikiaje,
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Angejiskia vibaya sana, mm namuonea huruma amina
@AnnKalunda
@AnnKalunda Год назад
Huyo dada n umalaya unamusubua nlikuwa nafikiria akona akili bt akuna kitu n umalaya 2
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Год назад
Atafute wa kwake aache kujipendekeza anajiabisha
@agnesspetro6695
@agnesspetro6695 Год назад
Mmetendwa eeh, amnaga mume wa mwenyewe duniani, wanaume ni wawengii😅😅 poleni
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Год назад
@@agnesspetro6695 una jielewa kweli au nyinyi ndio awo wa kuvizia waume za watu pole dada ndoa utaiskia kwa jirani ww zurura kama mbwa aliekosa makao. Unatumika bure hujielewiiii hakuna mwanaume anaesahau familia yake. Jitambue
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Год назад
Aminah hawakutiii shuhuli juu hapendi mambo ya mitandao dada wa watu na heshma zake. Ila mnaopenda kumchokonoa na maneno. Aminah na Ali ni kufa kuzikanaaa mkae kwa kutulia
@mvitahamad2126
@mvitahamad2126 Год назад
Nampendaga huyu dada ❤❤
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Год назад
Acha kujizuzua na mume wa mtu katu hawatoweza kuachana kumbuka amezaa nae watoto kwa ndoa ya halali. Acha kujidai tafuta wa kwako kwanza umfikii Aminah ata robo😂😂😂. Ebu team aminah tujuane apa Naingea kwa niaba ya Aminah
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Wanamuon chiz Amina kumbe michiz wao, mume anauma sanaa
@aishakinia4957
@aishakinia4957 Год назад
@@nahlahassan-fd6le uyo niffer aache shobo za kijinga na aache kujipendekeza Ana jiabisha
@nasdaq1999
@nasdaq1999 Год назад
2024 .. she's 23 yrs
@thethengomba355
@thethengomba355 Год назад
Good girl and very smart
@BerthaMyale
@BerthaMyale Год назад
Nampenda sana huyu dada
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Год назад
From 🇧🇮kupendw rah 😘
@ashiselosharon6104
@ashiselosharon6104 Год назад
wakenya hatupangwangwi
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Год назад
Sisi kama wakenya tunadai talaka yetu,ama tuifate😜
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 Год назад
Jipatieni wenyewe mbn mnafoc mtu lazm atoe talk c ainunue yye Amina talk km atak kuachwa
@mwasamiramedics2666
@mwasamiramedics2666 Год назад
Kwani Ally alioa nchi nzima?
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Год назад
@@mwasamiramedics2666 ndio
@mwasamiramedics2666
@mwasamiramedics2666 Год назад
@@nihadshighadi4095 poleni kwa kuingilia mapenzi ya watu,shughulika na maisha yako hao walipendana wenyewe watapeana talaka wenyewe.
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Год назад
@@mwasamiramedics2666 asante msemaji wa Tanzania
@bennamush4616
@bennamush4616 Год назад
Katika maisha fanya unachokipenda mmy mtu asikupangie maisha ni mafupi haya
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Sawa lkn so Kwa waume w watu na Ivo anavoshikan nae kutekenyana nae ingekua ww ungekubali?? Adimchukulie pia Amina mumewe vo bado hajasain makaratas alikiba ya talaka bado. Oohooo
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Год назад
Kunakitu kinaendelea hapa inamaan uwanjani ni Alikiba tuu😂😂😂😂
@SaDa-lv4jw
@SaDa-lv4jw Год назад
Wakati mwengn jarbu kuvaa kiatu cha mwenzako alf ndio ufanye kitu
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Mm namuamin gigi money sasa hivi, kuna interview aliwah kusema kwamba nifa anadanga akaonekan mbaya
@angelkirigini
@angelkirigini Год назад
Yatapitaaaa
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Год назад
Kwa hivyo niffer ameachana na patrick kanumba??
@dannyelias382
@dannyelias382 Год назад
Ndo yule kwenye movies za kanumba au??
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
😂😂😂😂namm nilijiuliza
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
​@@dannyelias382ndio
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Год назад
Mapenzi popote kikubwa amani ya moyo
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
@@bahatirobert1009 kweli kbs
@doricedeluxe9486
@doricedeluxe9486 Год назад
Sura ngumu kama umekula mchunga mbichi
@khadija5761
@khadija5761 Год назад
💛💛💛💛💛🧡🧡
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Год назад
Smart
@marrysemainda4235
@marrysemainda4235 Год назад
Mh
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Год назад
Pumbavu zako
Далее
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Просмотров 77 тыс.