Тёмный

VIDEO: SPIKA TULIA NA HALIMA MDEE WAVUTANA VIFUNGU VYA SHERIA ISHU 'MKATABA WA BANDARI' 

Подписаться
Просмотров 234 тыс.
% 1 576

Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee amechangia maelezo ya Serikali kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji kazi wa Bandari Tanzania ambapo amesema manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge litaridhia azimio hilo ni pamoja na kuongezeka kwa Mapato ya Serikali.

Опубликовано:

 

10 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 917   
@rehemaabdallah9370
@rehemaabdallah9370 Год назад
Mungu akuzidishie maarifa Halima mdee uko vizuri sana
@gloryclement6400
@gloryclement6400 Год назад
Natamani upinzani wangekuwepo hata 10 tu hapo bungeni.😢😢hili swala Lingeisha chap Sana!! Halima mdee🔥🔥🔥!! Unajitahidi mama
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo Год назад
Barikiwa sana dada Mungu akuzidishie umeonesha Mwanga ila huwezi kubadili chochote acha tuliwe tulimkosea sana Mungu 😭😭😭
@hussenaaghe2760
@hussenaaghe2760 Год назад
Barikiwa chama gani chadema hamtabi
@ayubusimake
@ayubusimake Год назад
@@hussenaaghe2760 ß
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 Год назад
Mheshimiwa Halima Mdee ishi miaka mingii…unaongea points sana👏👏👏👏
@user-yh3do3pk4y
@user-yh3do3pk4y 10 месяцев назад
Tumia akili
@fatmaayoub8298
@fatmaayoub8298 Год назад
Ishi sana Mheshimiwa Mdee you're a true Hero of Tanzania..your legacy will remain always 💪💪💪🙏
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Год назад
Nakupenda sana dadaangu Halima, Hawa wengine bana!! Mungu tusaidie.
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Год назад
Halifax unaumia sana kwasababu unajaribu kuelewesha hayo mazuzu malarushwa hayaelewi
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Год назад
Mh Halima Mungu akutangulie kwa kila kitu unachofanya na kubariki kazi zako pamoja na tumbo lilolokuzaa Hakika ww ni mfano wa kuigwa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Год назад
Halima ana hoja kali sana ila wamemkatisha katisha ile asiseme ukweli daah bongo nyoso wallah 🙌
@emanuelandronicus2574
@emanuelandronicus2574 Год назад
Prophetess halima mdee🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏Mungu akulinde
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 Год назад
Mdee mmoja ni sawasawa na wabunge wote wanaume wa CCM........ Nakupenda Halima Mdeee
@fatmaayoub8298
@fatmaayoub8298 Год назад
❤️❤️❤️💪💪💪
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 11 месяцев назад
Bravo bravo bravo bravo, Halima Mdee
@IreneFabiani-ug3en
@IreneFabiani-ug3en 10 месяцев назад
Ishi saaaaana halima❤️tunakupenda mungu akupe maisha marefu tunakuombea pia 🙏
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 11 месяцев назад
Tunaangamia kwa ujinga wetu peke yetu,wanaoongea ukweli wanazibwa midomo kisa ulafi wa wachache wenye Dola😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ingilia kati
@andrewpaul6531
@andrewpaul6531 Год назад
Inauma na kusikitisha sana kwa viongozi walopewa dhamana wanakosa uzalendo na nchi yao 😢😢
@dawndawn387
@dawndawn387 Год назад
Inaumiza kuona speaker wetu anakuwa namna hii ! Hili ni jambo kubwa ambalo wanainchi tulitakiwa tuelemishwe kwa muda wa kutosha .Mungu ibariki Tanzania
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Год назад
Spika wakati mwingine hafai kabisa.analinda ufisadi unaotaka kufanywa bandalini.
@mustafahakim-iq7dj
@mustafahakim-iq7dj Год назад
We umesoma wapi mpaka unamuona mwanasheria anakosea au ni fikira zako tu
@scolamwamokye2096
@scolamwamokye2096 Год назад
You're strong my sister that's y,, hukutaka kustaafu bunge!! Live long great woman (lawyer)of Tanzania 😊
@MariaCassian-ys7pt
@MariaCassian-ys7pt 3 месяца назад
Mtuakiongea vitu vizuri utasikia taarifa ilikumpotezea tu mtu point zake HALIMA chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@calistustitus4566
@calistustitus4566 Год назад
Uyu spika ni boya kuwai kutokea na ana wadharilisha watu wa mbeya linafiki sana
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Spika ajampinga ila anahakikisha kilamtu anasema vitu vilivyo kwenye mkataba
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
@@birianination7097 spika gani msenge huyo anamsaidia Samia kuuza nchi
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
@@kefajoseph158 ni wapi nchi imeuzwa, Usikute unafikiri kua huu mkataba unao zungumzwa ndio mkataba wa makubaliano ya kazi.
@user-nn8um3qh6y
@user-nn8um3qh6y Год назад
Huku kwetu tunanufaika na tamasha lake la utamaduni na diamond alimleta tulia wewe
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed 8 дней назад
Wewe unajua nn
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Год назад
Halima mdee nakupenda sana wngu saut yako tu mdee Halima nakupenda sana saut yako
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Halima ni kichwa sana!Inapendeza mno.Spika wa bunge ni kichwa sana yuko makini na ni smart sana.Nimeamini wadada wembamba ni vichwa sana.
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Год назад
Hapo kama mvivu kusoma na kufikiri unabaki unatoa macho.
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 Год назад
Sanaaaa yani
@EditaJoseph-zo9dv
@EditaJoseph-zo9dv Год назад
😂😂😂😂 kwahiyo wanene 🤪
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Tena spika ni kichwa kweli kweli wala sio masihara Tanzania 🇹🇿 tume barikiwa kuwa na wanawake vichwa sana na ndio maana wame aminiwa na wana wajibika
@ndayimanase7123
@ndayimanase7123 Год назад
Spika kapangwa hajadili anatetea mkataba, hajadili chochote but ukwel mkataba n mchongo persee
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 Год назад
Maoni yangu ni kwamba. Mjadala huu umegeuzwa kubwa malumbano ya uchama na siyo uhalisia. Chama tawala ninaona kinajitahidi kuhakikisha kinawavuruga wapinzani ili wananchi wasiwaelewe na kuwa brand kama WAPOTOSHAJI ili kulinda makubaliano yaliyosainiwa chini ya usimamizi wa Mwenyekiti wa chama. Kinachoangaliwa hapo ni maslahi ya chama na siyo nchi. Sisi wananchi tulio makini kufuatilia tunaona majadiliano yamekuwa malumbano na vipengele tata halitashughulikiwa. Mungu ainusuru nchi yetu
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Kweli umeongea
@exavelyjohn346
@exavelyjohn346 Год назад
Kwani siye twasoma ili iweje km kila kitu twategemea kusaidiwa
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Год назад
Kwenye point za maana zinakuja TAARIFA Mwaitara anaongea utumbo wanampa muda aseme tu UJINGA Wana tabia mbaya utadhani Chadema siyo wa Tanzania sijui wabunge gani hawa kwenye majimbo next time tuwapige chini hawafai
@engmwalukasa9764
@engmwalukasa9764 Год назад
Naungana na wewe... Bungeni saizi ni vyama tu... CCM wanajinadi kabisa kuwa hoja inayoamzishwa na mwenyekiti wao haipaswi kupingwa...
@engmwalukasa9764
@engmwalukasa9764 Год назад
@@margarethsaramaki3966 Nakuunga mkono... Mtu akiwa anaunga hoja yao... Wanampa muda wa kutosha... Lkn mtu akiwa anapinga wanaishia kumkosoa...
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Год назад
Halima mdogo wetu, dada yetu Umeeeleza kwa mapana yake ipo siku utakumbukwa
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY Год назад
Daaah ukitumia akili ktk hii speech ya mdee na tulia utagundua kuna mmoja yupo kwa ajili ya maslahi ya chama na mwingine yupo kwa maslahi ya nchi. Ni huruma sanaa😢😢😢😢One day ukweli utasimama
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Год назад
Exactly
@feaonlinetv210
@feaonlinetv210 Год назад
Hayo matumaini ya One day ndiyo yanatumaliza,
@anncharlesombijaombija3056
@anncharlesombijaombija3056 Год назад
Kwanini Zanzibar aiuzwi anajuwa akishatuuza anarudi kwao mungu tusaidie
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
SAFI SANAA BI HALIMA MDEE.
@Fardadihd
@Fardadihd Год назад
Tulimezeshwa ujinga kuhusu bandari nilimsikiliza anaongea pumba mdee sijui km halewi
@epifaniaminja6284
@epifaniaminja6284 Год назад
Hongera sana Halima. Umetuwakilisha vyema waTanzania. Speaker ingependeza zaidi kuwa neutral bila kuegemea upande mmoja.
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Umeona eee
@user-hw3iy8jo3w
@user-hw3iy8jo3w Год назад
Nakuapia huyu spika anacho kitenda kwa wapinzani sio Sawa ila tunamuachia mungu atasimama na ww
@mhinahalfan2694
@mhinahalfan2694 Год назад
Hongera sana Halima, Leo ulikuwa unawekana sawa na mwalimu wako . Kwa pamoja mmefanya mjadala kuwa mzuri sana....
@directorbony185
@directorbony185 Год назад
Kumenoga
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Год назад
Watanzania tuamke miaka60 yauhulu bado hatuwezi kujenga bandali yetu bado tunangangania ccm kwanini tusibadili chama maana hawa watu wameshashindwa kuendesha hii inchi
@ImanMwanji-rd3lu
@ImanMwanji-rd3lu Год назад
Ubarikiwe sana harima mungu akubariki
@malakimollel6044
@malakimollel6044 Год назад
Sio harima ni halima. Asante.
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Год назад
Ila huyu mama anajua kutengeneza hoja sanaa basiii tuu yaan
@jamhuri_imala3976
@jamhuri_imala3976 Год назад
tumshauli tu aunt yetu aweanaenda kwenye points mojakwa moja itamsaidia na kupunguza maswali ili kuokoa muda
@shangwejumanne466
@shangwejumanne466 Год назад
Halima Mdee keep it up kuna siku watakukumbuka huyo sijui naibu waziri Mama hata haoogopi wanatetea kitu kitakachotafina mpk vitukuu bahasha za Kaki zinachanika ila haki ya watanzania itawatafuna Halima siku moja utakuwa kinara just keep it up Si
@VinriPL
@VinriPL Год назад
Ja chcąca znależć piosenkę zespołu Tulia z dziś :) youtub : TRZYMAJ POLITYKĘ TANZANII XD Pozdrawiam Tanzanie z Polski :D Me wanting to find a Tulia band song from today :) youtube : KEEP TANZANIA'S POLICY XD Greetings to Tanzania from Poland :D
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 Год назад
So planned, and decided before hearing. It breaks my heart
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Hatari sana😥😥😥
@IddyRashidi-vf9jm
@IddyRashidi-vf9jm Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5xHGNKfvfFE.html😢😢😢
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Год назад
🤝
@ibrahimtesha2733
@ibrahimtesha2733 Год назад
Naona kama Halima amevurugwa vurugwa asieleze alichotaka tujue, hadi muda wake umeisha kwa taarifa za "hovyo" tu. Sijaelewa, na nadhani waTZ wengi wanachanganywa ili tu kuitetea Serikali. Naona umuhimu wa kuahirisha jambo hilo tupate nafasi ya kukubaliana kama wananchi. Bandari si mali ya kukodishwa ovyo hivyo ninavyoona! Kama tulishakosea, bora tujenge uwezo wa kumiliki wenyewe hata kama tutaendelea polepole.
@jamhuri_imala3976
@jamhuri_imala3976 Год назад
nikweri kaka
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Alima Hana kitu ni muzuka tu anao😅
@evancegidion9155
@evancegidion9155 Год назад
Bandari sio mali ya Tulia,na akina ..... mnaowashabikia mhimu ujumbe ukiacha inaendelea mtu ana uwezo kuchangia chochote tulia acha ubabe
@ANJELACHALE-od3ki
@ANJELACHALE-od3ki Год назад
Uko sahihi,bandari ibaki kusimamia na watanzania wenyewe.
@ANJELACHALE-od3ki
@ANJELACHALE-od3ki Год назад
Tuiboreshe vizuri bandari yetu na tuisimamie vyema.
@sharifalengima5605
@sharifalengima5605 Год назад
Nalia Sana na elimu hurahisisha Sana utendaji kazi Tulia mama Asante
@scopy0428
@scopy0428 Год назад
Kuna Baadhi Ya Wabunge huwa wanapotosha jamii kwa kias kikubwa sana Hongera sana Mh Spika Madam Tulia Akson.
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 Год назад
Uyo Halima mdee kweli yako na Akili nyingi sana kabisa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Год назад
Uko.vizuri harima mdee kuna watu wako nje Wana akili ila nyie Mungu kawachagua muwe mbele
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Год назад
Nashauri mikoa yote yenye bandari ifanya maandamano kupinga huu upuuzi
@ChristerShao
@ChristerShao Год назад
Halima ni jembe tangu sana.Tumekuelewa mwanangu,Tulia amekubana sana,wale wa ndiyo wakikazana kuomba mitaarifa wakumbuke yupo hasiyedanganywa.Halima mungu akulinde saana akuinue umeweka alama ya kuigwa.
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Год назад
Karibu chadema kwetu tena my sister 2025 tena bungeni salute kwako dada
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. Majizi wamerudi tena, hawana huruma wala uzalendo kwa nchi maana sio watanganyika hivyo huuza kila kitu. Tumepata Rais bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe. Ee Mola tuepushe na haya majizi.
@anthonyleonard7273
@anthonyleonard7273 Год назад
Magufuli ndo chanzo cha haya matatizo… kuweka wabunge wote wa ccm
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Kabisa jamaa yule ni SHETANI watanzania
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
@@anthonyleonard7273 umeona eee
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Год назад
@@kefajoseph158 wakubali wakatae Mbuge wa Chadema akisimama Bungeni ni TAARIFA wana uweledi wa kutosha sana mimi siko chama chochote ila ukweli ni huo Halima ni juu juu zaidi🥰🥰
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Год назад
Alichokosea ni kuua upinzani na madhara yake ndiyo haya sasa
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 Год назад
Wabunge wa CCM waovyoo kabisa
@benjaminnungu8428
@benjaminnungu8428 Год назад
Mungu atatupa wate na wao, Amen.
@norahsteven2662
@norahsteven2662 Год назад
Love you so much halima mdee😍😍
@judithgeorge1756
@judithgeorge1756 Год назад
Nakupenda sana halima mdee
@didasmartine7665
@didasmartine7665 Год назад
Nakubali mdee
@nicolausmundi
@nicolausmundi Год назад
Spika umepangwa cha kusema ndiyo maana unajibu hoja Za halima bila kujali zina mantic gani kwa baadaye
@kheirahmad4064
@kheirahmad4064 Год назад
Kwa hakika tuombe salama ya Mungu tofauti na hivo nihatar sana.
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
Halima km halima anajitahid sana huyu mama lkn anabanwa banwa kwa sbb anaongea point
@zenj1986
@zenj1986 Год назад
Spika upo vizuri. Wallahi tungekupata zamani basi Tanzania ingekuwa na mikataba ya uhakika. Mama Tulia chukua fomu ya urais
@SBMEDIA79
@SBMEDIA79 Год назад
Kwendraaaaa
@ndayimanase7123
@ndayimanase7123 Год назад
Uzur wake n upi kutetea ujinga
@zainabuselemani6709
@zainabuselemani6709 Год назад
anapotosha unasema ni mzur anachokiteta ni nn asa apo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
TULIA ANATAKA KILA KITU KIWEKWE WAZI KWA MASLAHI YA NCHI SIO KUROPOKA ROPOKA TU.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
​@@zainabuselemani6709 UTAJUWAJE WAKATI HUNA ELIMU???
@rajabtwahakombo
@rajabtwahakombo Год назад
Da inasikitisha sana Yani taarifa taarifa taarifa inaonekana kama sio haki kuchambua
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Год назад
Wamemchanganya halima wamemto katika reli mungu akulinde
@justinamwirabi5730
@justinamwirabi5730 Год назад
Hongera Halima nimekuelewa Sana.
@raymondstewart228
@raymondstewart228 Год назад
Sina Imani na tulia akson Sina Imani Nae kabisa
@agathaaroni7783
@agathaaroni7783 Год назад
Nilichogundua hawa wabunge wanatetea vitamb tu mana wanaacha kujadili vit tuelewe wanang’ang’ana tu kukubali huo mkataba😢Mungu tukumbuke.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Год назад
Mungu kamwe hatajiingiza kwenye mambo kama haya
@goodwellmutambo7607
@goodwellmutambo7607 Год назад
HALIMA kichwa sana yaani ukitaka kujuwa kwamba CCM hamnazo eti mwana fa ni waziri
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Год назад
Safi sana halima mdei maana ujanja ujanja umezidi inchi hii
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Год назад
Maswali anayoulizwa mdee ni ya mtego mdee yuko sahii
@methuselategemeomanace5213
@methuselategemeomanace5213 Год назад
Hamuwezi kutumia siku Moja kufanya mjadala wa Jambo lililotumia siku nyingi za mchaakato huu. Mind you kwamba muangalie maamzi yaliyoyanyika siyo sahihi. Sanjali na Hilo Madam Sipika najua wewe hujakaa hicho kiti hujakaa hovyo umekaa kiutaratibu, Mdee anachoongea Ni kitu kuntu. Na na cha msingi once more nitalishuhudia as long as Mungu atatupatia uhai.
@eliasjoseph8830
@eliasjoseph8830 11 месяцев назад
Hongera sana halima mdee kwa kutetea maslahi mapana ya nchi yetu
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Год назад
Kwahiyo mbunge miaka yote haikuwa series sio ,,mjadala wa Leo ndio muhimu sana dahh ,,,kwann tunafunywa watoto wadogo kwani watanzania kuwa wapole na nchi yetu ndio mtupeleke mnavyotaka kweli ama tunaonekana hatuna haki ama hatuwezi kupiga na kuandamana ila ee MWENYEZI mungu tusaidie sana ,,wabunge wamekuwa kama watoto wa chekechea ,,ee mwendazake tutakukumbuka daima😢
@shafee9128
@shafee9128 Год назад
Ukweli unapanda kwa miguu Uwongo unapanda kwa lift Mungu atakulipa khalima wajina wa Mamaa yangu
@alexkakwaya4383
@alexkakwaya4383 Год назад
In every law there is a loophole. Halima mdee anaiona hiyo loophole lkn spika haioni au anajifanya haioni.
@ndayimanase7123
@ndayimanase7123 Год назад
Vitu viko planned kuwa ipite tu hakukuwa na majadiano yeyote ndo maana halimaanapingwa
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Huyo malaya tulia anataka tuuzwe
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Anajifanya haoni
@lucykinabo
@lucykinabo Год назад
Hyu spika anajifanya haelew
@lucykinabo
@lucykinabo Год назад
Hyu spika anajifanya haelew
@raysetallent1588
@raysetallent1588 Год назад
QOUTE... KUTOKA KWA WAKILI MSOMI ...MR.. BONIFACE MWABUKUSI KAMA SISI HATUNA AKILI ZA KUONGOZA HI BANDARI WATAKUJA WATOTO WETU WENYE AKILI ZAIDI YETU KUONGOZA ... HONGERA SANA DADA YANGU HALIMA MDEE ELIMU INAKUSAIDIA SANA 💯💯 HUJASOMA BURE .... SISI KAMA WANANCHI TUNAOMBA BARAZA LA MAWAKILI NA MWANASHERIA MKUU WAKAE WALICHABUE KISHERIA ... BILA KUKIUKA KATIBA ...NB.. KATIBA IFUATWE YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YAAN TANGANYIKA NA ZANZIBAR
@user-bj6bs9do2f
@user-bj6bs9do2f 5 месяцев назад
Bando langu Nalitumia Vyema kuwasikiliza Watu kama hawa Yani Mbunge Mmoja Wa Upinzani kama Wabunge Elfu M1 Wamafisiemu🤣🤣Big Up Halima mdee A.k.A Sauti Ya Zege
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 Год назад
Safi cna Halima,hao wengine ni makofi tu
@makungamapalala7982
@makungamapalala7982 Год назад
Halima umeona mbali Sana tatizo hawasemi ukweli
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Год назад
Wanamchanganya tu wakitetea miugali yao sisi wananchi tuko na Halima Mdee.
@abdonesrom5009
@abdonesrom5009 Год назад
Nawaombea muelewane kwaajiri ya ujenzi wa Taifa letu MUNGU Awabariki wabunge wetuu nawapenda
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Год назад
Yani vitu vinaandikwa kwa Kingereza yanakua kama mambo ya Fei na Yanga tusizunguke mbuyu Ili jambo kama nchi hatutaki sababu atuna tunachopoteza , ipo cku kama nchi tunakuja kuzuiliwa mlangoni kwenye Ardhi yetu wenyewe
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Год назад
Spika unalazimisha
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 Год назад
Spika Wetu Tulia Akson Upo Vizuri Sana,Sana,Tena Sana. Hawa Wapotoshaji Ukiwabananisha Namna Hii Wote Watafunga Midomo Yao.
@nangugu1657
@nangugu1657 Год назад
Harima mdee nguvu Yako tumeiona umepambana mama ila waache wapitishe mikataba. Kama neema Itakuwepo tukapata magufuli mwingine huenda atavunja hiyo mikataba tena. Lakini nimeumia sipika Ktk majibizano ya halima na yeye Ameahidi kuulinda Mdaa Kwanini kampa sekunde 30 Amemlindia wapi mda hapo Watanzania Tujifunze sana haya Mambo. Ushauli Mkataba wa miaka 100 kama ni kweli selekali iangalie Kwa umakini kwani Waliopitisha Mkataba hawatakuwa wapo madalakani Kwa miaka yote hiyo apana Bali Watakuwa wamewaachia changamoto Vizazi vijavyo wajuku na vituku zungumzeni Kwa masrahi ya Vizazi vijavyo pia Litazameni Kwa umakini Asanteni
@HuliloDonard-gu9bp
@HuliloDonard-gu9bp Год назад
Harima mdee ww nichuma kweli hunanidhamu yauoga.
@birianination7097
@birianination7097 Год назад
Halima kafeli, anasema lazima wapewe miradi yote ya bandari, ila akiombwa aoneshe wapi kwenye mkataba hawezi, sasa kivipi
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Год назад
Tulia kichwa boga safi sana halima mwakani chukua nchi chadema mwacheni halima wetu apige kazi tuwaburuze hawa ccm wa hovyo kabisa
@Missionary_work
@Missionary_work Год назад
HUYU SPEAKER, HAFAI KABISA.
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Spika: -mwalimu anavyosimamia wanafunzi _mchungaji/padre Kanisani _waziri wa katiba na sheria _chuef whip Kwa ufupi haonekani kama kiongozi wa bunge..maana anavuruga michango ya wabunge.. Bi kidude kavuruga bunge...ovyo
@JacksonMahenge-qx6ev
@JacksonMahenge-qx6ev Год назад
hichi kichwa, mskilizen vzur sana mdee
@zeyzey5439
@zeyzey5439 Год назад
Halima MUNGU WAMBINGIN AKULINDE
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
Halima mdee wamemdistruct kinouma yani ile wamchanganye hasiulize kwa uhuru
@kayunganandelema8688
@kayunganandelema8688 Год назад
Dada halima wanakupoteza Ili ushindwe kuongea na lengo tusijuee wananchii huko hao wabunge wa CCM kazi nikusaport kilakituu mungu tusaidiee
@flavianmashimi6327
@flavianmashimi6327 Год назад
Nashauri Serikali ifanye due diligence kujua hizo kesi alizonazo DP World huko nje ni za kweli na je, hakuna njia nyingine ya kuongeza ufanisi?? Dhana ya PPP si mbaya lakini maslahi ya nchi yazingatiwe na si hofu ya kuona kuwa chama kitaonekana cha hovyo. Bandari ni yetu sote kwa sasa tunaweza kuonekana hatuwezi kufanya lolote kwa vile tuko nje ya Bunge naona wameishapitisha. Hiyo mikataba itakayofanywa tuione, tuione, na Bunge liwe live. Pia Wabunge waheshimiane wanatusikitisha hizo taarifa, zimekuwa nyingine ni uvurugaji. Tunajua Caucasus za vyama zimekaa na kuweka mikakati ya kulindana. Hebu kila mbunge achangie maoni yake na siyo kabla hajaanza kutoa hoja yake ya msingi ananyanyuka mtu " Taarifa" majaribu flow wananchi tunakosa ukweli
@getrudewillson308
@getrudewillson308 Год назад
Japo Mimi sio msomi ,elim yangu ni 0 Kwa elim ya ki MUNGU Yani ekima ya ki MUNGU aliyo nipa , nikwamba amjashindwa kuiendesha bandali na kama ajira zinazo zungumzwa , zinaweza kutolewa ata Sasa akujashindikana ajila kutolewa? naomba bandali isibinafisishwe. Maana atakae chukua bandali ataweza kupangiwa jinsi ya kulipisha ushuru hivyo watanzania ni kama tuna uzwa niaka mia Moja sio mchezo , jamani haki ya watz ntadaiwa nikononi mwenu jamani waeshimiwa wabunge, msaidieni mama atutakiiiii ibinafisiswe.
@SurprisedCamping-ri7nc
@SurprisedCamping-ri7nc 6 месяцев назад
1
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Год назад
Kuna vitu vinafanywa hovyo mno na wafanyakazi wa serikali na njia nzuri ni kubinafsisha: -Uhamiaji -Bandari -Reli,police,TRA n.k kwa manufaa ya watanzania kwani hata nabii gani aje hawa watu wataendelea kula rushwa tu na kutusumbua sisi Raia
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Kweli kufundisha ni wito.halima anatumia nguvu kufundisha.hajui anachofanya.
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Год назад
True
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 Год назад
Mbona kama tuliaa anakandamiza
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
KAULI ZA KAMA KAMA HAZINA MSINGI NI UJINGA.
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 Год назад
Hongra dada alima wanawake mnaweza kweli itabaki kuwa kweli
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 Год назад
Munawza nini munatupeleka tu akuna lolote eshimuni waume zenu
@rosemichael4765
@rosemichael4765 Год назад
Nakupenda sana kamanda naomba uludi kwenye chama lako la ukweli na uhuru miss you
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Год назад
Nimeshuhudiaa ma MP's wengi wa bunge la Tanzania ila huyu mama ni KIBOKO🙌🇹🇿. Samia suluhu atakuwa yupo proud sana kumpa kiti hiki
@TumainielKitundu
@TumainielKitundu Год назад
Niliposoma tweet moja inayosema "Kuna walio lipwa kuikosoa na waliolipwa kuitetea" sasa naelewa kuuzwa hakuji kwa wakati moja, kila ajae atauza kitakacho mnufaisha!
@nicolausmundi
@nicolausmundi Год назад
Kiukweli Tanzania hatuna bunge lindeni hoja za watu
@lightnesssanka1928
@lightnesssanka1928 Год назад
Huyu nikichwa jamani Mimi napenda sasa
@zainabuselemani6709
@zainabuselemani6709 Год назад
@@lightnesssanka1928 na asa mdee au tulia
@mtabevilaini6527
@mtabevilaini6527 Год назад
Mdee
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Год назад
Hatutaki mkataba huu! Ulazima unatokea kwenye Bunge Kupitisha! Bunge likipitisha inakuwa Sheria...
@qassimislam5291
@qassimislam5291 Год назад
Naona halima kanyimwa haki yake tukutane 25
@justusjulius9279
@justusjulius9279 Год назад
Shule za kata mlitujengea ninyi vijana tumesoma na saivi tunajitambua vzr tuu japo hatujanufaika na hzo Elimu ila zinatusaidia Kwa mapana yake vijana wa kitanzania si wajinga tena.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Год назад
Wewe spika unalinda ugali wako. Maana ukiwaza kilichomtokea Ndugai inabidi utetee. Na hivyo vibunge vinapiga makofi
@nissangtr4670
@nissangtr4670 Год назад
Tesemee mkuu😅😅
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Год назад
Tunatakiwa tuwe na plan za mda mrefu tu invest kwenye ujuzi/Elemu vijana wajifunze kwa manufaa ya baadae vya bure vina gharama
@loycep7785
@loycep7785 Год назад
Hata mimi ndg zangu watanzania nani aliyeturoga Mungu ametupatia akili na utajiri mwingi wa kuweza kunufaika sis watanzania ktk Taifa letu Leo mnatanga kujichanganya kudanganywa na hizi zawafi hamsomi neno la Mungu kukosa Upendo nyumbani kwetu na kwa kushirikiana kujenga Taifa kuliko kujiuza utumwani tunaona hivi hivi Tena miaka mingi hivyo kwa hiyo kizazi kijacho kitafsidi ni uTanzania wao Jamani mwogopeni Mungu msijinufaisha wenyewe Mungu hadhihakiwi Nchi hii ni yetu Mataifa mengi wanaitamani Mara ushoga ili watoto wasiendelee kuzaliwa ili Taifa life tuje kutawaliwa na mali zetu zitahifishwe Mungu anaona sirini Tuombee Taifa letu jamani watumishi tupaze sauti zetu kwa Mungu wetu yeye anaweza kubadilisha hata kama pesa imetolewa hatutaki kuuziwa Bandari zetu
@Rechokidoty
@Rechokidoty Год назад
Watanzania hatujawaelewaaaa chochoteee wangewapa nafas watanzania waongee sidhani kama kuna wakukubali hakuna
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
We acha tuu
@Rechokidoty
@Rechokidoty Год назад
@@ilynpayne7491 badoo Taifa
@emmanuelraphael679
@emmanuelraphael679 Год назад
Daah hii nchi hii mungu atusaidie tu
@gracealbin8247
@gracealbin8247 Год назад
Mh Halima Mdee asikilizwe jamani ana kitu anakielewe 🙌
@mudyally6680
@mudyally6680 Год назад
Hii nchi ilishapotea wallah mjomba aliipambania sana ila toka afe imekuwa ya ovyo sana Hata cjui tunapelekwa wapi au sijui ndo turudishwa utumwani kisailensa😢😢😢 ya Allah tuondoe ktk huu mtihani zindua akili za viongozi wetu kama dhiki shida ziwe amali zetu ktk taifa letu Inshaallah
@saidjuma9782
@saidjuma9782 Год назад
Mjomba wako ndo alotengeneza hilo Bunge na kuzuia wapinzani wasiseme chochote.....Jitambueni vijana musikabali tu kupelekwa pelekwa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
MJOMBA WAKO KABLA YA KUFA ALI INGIA MKATABA WA MWISHO NA UINGEREZA KUHUSU MGODI BILA KULIHUSISHA BUNGE TENA LIVE KAITA WAANDISHI NA MTU WA KUTAFSIRI WATU WOTE WANAJUWA NA HAKUNA ALIE JAMBA WALA KUSEMA NCHI IMEUZWA DADEKI.