Тёмный
No video :(

VIDEO: VALENTINO MASHAKA GOALS AND SKILLS USAJILI WA SIMBA 2024-2025 

Klik Hapa TV
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

VIDEO: VALENTINO MASHAKA GOALS AND SKILLS USAJILI WA SIMBA 2024-2025, MCHEZAJI MPYA WA SIMBA VALENTINO MASHAKA, VALENTINO MASHAKA SKILLS, VALENTINO MASHAKA GOALS, MAGOLI YA VALENTINO MASHAKA, UWEZO WA VALENTINO MASHAKA, VALENTINO MASHAKA SIMBA, VALENTINO MASHAKA GEITA GOLD, VALENTINO MASHAKA GEITA GOALS, UMRI WA VALENTINO MASHAKA, CV YA VALENTINO MASHAKA

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@imanmasawe749
@imanmasawe749 Месяц назад
mchezaji ni mzuri kitakacho mjenga NI support ya mashabiki kumwombea jamaa anaweza anafunga magoli magum sana yuko vizuri sana tupende vya kwetu wanasimba
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
SAFI
@josephkusenha5916
@josephkusenha5916 Месяц назад
Ni mzuri sana..ila tu mashabiki ukungu mwingi sana hawana jema...angekua sio mzawa ungeona wanavyosifia
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
hakika
@OvinusOsward
@OvinusOsward Месяц назад
Ni mzuri sana maana team inashuka ila wachezaj hawashukag daraja
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Hii ni Pure Talent
@SteveAvelinBuretter
@SteveAvelinBuretter Месяц назад
Mashabiki achen maneno ya kejeli team kushuka daraja sio kwamba wachezaji wote niwabovu.
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Hii ni kweli
@omeganthale3220
@omeganthale3220 Месяц назад
Mtu sana
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kwahiyo unaona ananifaa Simba?
@RaphaelKaswahili
@RaphaelKaswahili Месяц назад
​@@KlikHapaTVhafai kwa sababu namba anayocheza kuna vyuma vingi vyenye uwezo kuliko yy......labda kama amesajiliwa kwa ajali ya mapinduzi cup apo sawa
@ramadhanizuberi2540
@ramadhanizuberi2540 Месяц назад
Kuna mtanzania kijili ni namba kuna wageni tchakei aweso aweso hiv hawa hamuwajui au hamjawaona
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kaka sijakuelewa
@flova7022
@flova7022 Месяц назад
Mbona haooo zote Mali za simba mti tchakei ty
@Ommyblacktz13
@Ommyblacktz13 Месяц назад
Nichombo haswa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Tusubirie
@amosfau72
@amosfau72 Месяц назад
Huu ni uujumu timu
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kwanini
@OmaryAllykumba
@OmaryAllykumba Месяц назад
Lazma wawepo na watafta mipira Tim ukiwa na ma super star tupu inafeligi
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
kweli
@shabilbosco8144
@shabilbosco8144 Месяц назад
kipaji
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Hakika
@Hamisi-uw1mc
@Hamisi-uw1mc Месяц назад
Mchezaje wa benchi
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kwanini?
@HusseinMatola
@HusseinMatola Месяц назад
Viongoz wa Simba acheni ujinga yaan munabeba mchezaji wampila au wakukaa benchi huyo yaan ela zenu cjuwi munafanyia nn baada yakubeba mchezaji mpila munabeba mchezaji manyanga
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
duuuh
@user-mk9fc7bo2m
@user-mk9fc7bo2m Месяц назад
Baadhi ya mashabk wabongo wapumbavu MNO Sasa unavyouliza geita Iko wap nin maana ake kwy tmu ikishuka daraja bas hakuna mchezaj mwenye uwezo BOYA XNA WE JAMAA SASA WE UKITAKA ASAJILIWE NAN BONGO HAKUNA WACHEZAJ WAKALI KIAS HICHO BOYA WW
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
HAHAHA
@LameckAntontupa-zy1rw
@LameckAntontupa-zy1rw Месяц назад
Tim ina mkwara ina fredy bado mashabiki mayowe kibao
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
kwani Fred anashida gani
@user-dy6zu7wh1u
@user-dy6zu7wh1u Месяц назад
Hamna mchezaji hapo tutaanza kulia tena😂😂😂
@themasimbi2
@themasimbi2 Месяц назад
Umetoa Bei gan ya usajil
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 Месяц назад
Umekariri life
@davismuzahula907
@davismuzahula907 Месяц назад
​@@themasimbi2 anataka kufurahi kwa hela za wengine😂😂😂😂
@themasimbi2
@themasimbi2 Месяц назад
@@davismuzahula907 🤣🤣
@suddygogo
@suddygogo Месяц назад
Unarudua rudia sana clip Yan jambo 1 ilo ilo sasa ndio nn
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kaka tengeneza Zako uweke.
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m Месяц назад
😢😢😢
@jameslameck316
@jameslameck316 Месяц назад
Hii ni mali haswaaaa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Tusubirie mambo uwanjani
@ZakariaSimon-gp1gr
@ZakariaSimon-gp1gr Месяц назад
Kipaji kikaze hasa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Timu za Kariakoo nazo Zina mambo mengi sana
@ZakariaSimon-gp1gr
@ZakariaSimon-gp1gr Месяц назад
Ni Mali
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Ataisaidia Timu kama atajituma zaidi
@user-if5uk1cu1j
@user-if5uk1cu1j Месяц назад
Tuache malalamiko tuwapende wazawa basi
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Watu wanataka wachezaji wa nje Tu
@komboarts7110
@komboarts7110 Месяц назад
Mali ya wapi Simba acheni ubabaishaji ndugu zetu mnataka hii ligi tulie Tena . Geita wako wapi😢😢
@DenisBablay
@DenisBablay Месяц назад
We umetoa hela ya kusajili au unapayuka tu
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kwanini Unalialia kaka?
@yassirkhamiss2895
@yassirkhamiss2895 Месяц назад
Wewe unataka asajiliwe nani? Hemu acheni ujuwaji wa kila kitu ina maan watu wote walio simba hawajui kizuri na kibaya munao jua ni yeye wakopa bando ili muingie mitandaoni mukosowe
@thomaslima921
@thomaslima921 Месяц назад
Yote hii sababu ni mzawa angekuwa mgeni Sasa hata kama ni garasa basi angeridhia
@BlessingBlessing-ej4ks
@BlessingBlessing-ej4ks Месяц назад
We Ujui unachokiongea fala,kwani kibu denis alitoka wapi je mbeya city wapo ligii kuu,chasambi katoka wapi je mtibwa wapo ligi kuu?skudu alitoka wapi si timu yake ilishuka daraja?mchezaji mmoja hawezi pambania clab bila ya kuwa na kikosi kizuri fala wee
@ramadhanizuberi2540
@ramadhanizuberi2540 Месяц назад
Hiv Kwan viongoz hamuwaon wachezaj wazuri WA kitanzania au shida NN Yan
@onesmorichard8967
@onesmorichard8967 Месяц назад
hiv wewe mbona niwaku beza hivo ana ubaya gan sasa bahc usajiliwe wewe
@musamkembela1395
@musamkembela1395 Месяц назад
Nan?asajiliwe?
@Kegorokegoro-ri4yb
@Kegorokegoro-ri4yb Месяц назад
Safi Sana
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Kama Nani?
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Месяц назад
Umemuelewa?
Далее
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 16 млн