Inachofurahisha sana ni jinsi watanzania walivyochanganyika kikabila. Nyerere alitujenga vizuri sana, huyu binti mama ni mpare, baba myao. Kuna watu wengi sana Tanzania ambao leo hii hawajitambulishi kwa kabila moja tu; jambo zuri sana hilo. Utanzania unatakiwa uwe mbele sana.
Urembo siyo kigezo cha kufanya kazi ila uwezo. Tuwaheshimu dada na kaka zetu wanao jitahidi kufufua shirika letu la ATCL. Kama mnatamani kuona watu warefu basi angalieni NBA.
Khadija Saleh 🤣 c’mon..she gave the best hints..she can not give in everything from IATA procedures or any airline document in full details coz that will take more than a day..am sure she knows more than what she gave here
Hi my name is fatuma Ibrahim I completed grade 7 in 2023 at Carmel primary school I really like 2 be a flight attendant just like you please help me I love you
Napata ukakasi sana nikiangalia video za RU-vid za chanel za hapa nyumbani nyingi zinakua na sauti ya chini sijui kwanini ukiangalia za nje zikovizuri tunakwama wapi sisi
Akili ya mtangazaji inegubikwa na anachodai ni uzuri (urembo), eti wahudumu wa mashirika ya ndege ya nje ni warembo, lakini wa hapa....! Nafikiri mhojiwa ameonesha ukomavu wa kiakili kujibu kiungwana, pasipp kuonesha hali ya kutaharuki.
Sifa nyingi za huko ni za kizamani za kikoloni huku mbona kuna wafupi wazee wapo na siyo wazuri acheni kukumbatia mambo ya kikoloni ambayo hata wenyewe hawaysfuati
Mbona mdada mzuri tu, wewe unamwambia wafanyakazi wa ndege zetu sio wazuri. Unabahati mfanyakazi wa ndege, kasomea upole🤭 angekuwa wa bar lazima angekukula kibao kidogo ama chupa ya bia.😬
@@AlphonceTIBA unajua vitu ambavyo havitakiwi kuonekana/kusikika kimaadili,na ukisema hats dunia inajua nakuuliza wanaotetea haki za ushoga na akina nani?