Mchungaji umenikumbusha kitu kimoja wakati tuko form two huo ujuaji wa kila mmoja sisi form two tulishindwa kabisa kutunga wimbo wowote kwa ajili ya kuwaaga kidato Cha nne waliokuwa wamemaliza masomo Yao yaani kwenye hiyo Graduation keep la darasa tuliambiwa kutunga nyimbo kwa ajili ya kuburudisha siku hiyo lkn kila aliyetunga wimbo uliskilizwa na kukosolewa yaani kwa ujuaji sisi form two hatukuimba kabisa