Тёмный

Vijana wawili waliopotea wakati wa maandamano wapatikani kama wameuawa jijini Mombasa 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 59 тыс.
50% 1

Familia Zaidi Zinaendela Kujitokeza Kuripoti Kufariki Kwa Jamaa Zao Baada Ya Kupigwa Risasi Na Maafisa Wa Usalama. Mjini Mombasa Familia Ya Denis Otieno Inaomboleza Kufuatia Kifo Cha Kijana Huyo Wanayesema Hakuwa Miongoni Mwa Waandamanaji. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki Denis Alipigwa Risasi Zaidi Ya Tatu Kwenye Mgongo Hadi Kufariki.

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@timothyonyango9
@timothyonyango9 28 дней назад
With all looks and facts KK govt is surviving through human blood 😭😭😭😭😭😭😭😭 but God will act soon on this shakahola govt.
@StephenWekesa-ul8il
@StephenWekesa-ul8il 28 дней назад
Ruto must go
@HassanAthuman-lf7cz
@HassanAthuman-lf7cz 28 дней назад
Serekal ndio wauwaji hata hao vjana waliuliwa na maafisa lkn mungu upona anaona
@luckyluchano1
@luckyluchano1 28 дней назад
The pain of the mother is evident and I pray it won't be in vain😔
@MargauxNyambura
@MargauxNyambura 28 дней назад
This government honestly has caused lots of families to shed tears
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 28 дней назад
Wazazi itabidi mupange maadamano yenu siku moja 😎
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 28 дней назад
Wakati wa maandamano yenyewe hakukuwa na kazi sema tu polisi ndio wenye lawama kubwa na mauaji😢
@msamsa1031
@msamsa1031 28 дней назад
Haki gani , na uhai utawahi rudi
@rwenji22
@rwenji22 28 дней назад
Hata kama alikuwa kwa maandamano, ni ukatili mkubwa wa serikali ya Ruto kutumia risasi za moto dhidi yao.
@davidthuks2128
@davidthuks2128 28 дней назад
Wangeua kama kumi hivi iwe funzo ya waandamanaji
@danlamboghini6427
@danlamboghini6427 28 дней назад
Pole mum
@wakenyaskytv6937
@wakenyaskytv6937 28 дней назад
Ruto stop killing our children
@anneorina2975
@anneorina2975 28 дней назад
Condolences to the family
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 28 дней назад
Kesho Mungu yuwasibi wote wauwaji
@alicembari8190
@alicembari8190 28 дней назад
God will answer our prayers
@denniscemagik1260
@denniscemagik1260 21 день назад
Parents (not necessarily concerned with this) Please, kuna watu nawajua wanafanya uhuni na ujambazi na wazazi hawana ufahamu. Mzazi anajua mtoto wake anafanya job ya ki uhaki ilhali wanao wanaficha siri na kuiba chini ya maji. Kuna wengine hata bibi zao hawajui so please, tutafute pesa kwa njia za kiukweli
@lynnomondi4899
@lynnomondi4899 28 дней назад
Ruto must go yawa....
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 21 день назад
polesana ai jamani Tuto
@mercyserem1821
@mercyserem1821 28 дней назад
Oo mama pole 😢😢
@peterjowi3894
@peterjowi3894 21 день назад
Francis mtalaki hapana sema rwinga, ni runinga ya citizen😂
Далее
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
Mission Impossible: Ghost Protocol
7:53
Просмотров 6 млн