Тёмный

Viongozi wa Azimio waikashifu serikali kwa mauaji ya waandamanaji nchini 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Baadhi ya viongozi wa Upinzani wameunga mkono shinikizo la Vijana wa GENZ kushtumu serikali ya Rais William Ruto kwa kuwaua waandamanaji Kiholela. Wakizungumza kwenye mazishi ya Daniel Kakai mwanafunzi aliyepigwa risasi wakati wa maandamano mjini Bungoma ,viongozi hao wanataka hatua kuchukuliwa dhidi ya maafisa wa usalama waliohusika.

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@mosonikcheomet1206
@mosonikcheomet1206 3 месяца назад
Hatuko hapo wanainchi tulisonga old style mtabaki hapo nyuma tu mlijojea violence u Lost pole sana vijana wenzangu Kenya itakua sawa
@Watt-er8or
@Watt-er8or 3 месяца назад
I like how the likes of Eugine Wamalwa have changed their tone.. Maandamano ikianza walikua wakijipiga kifua.. Walidhani GenZ ni Alfa na Omega.. Saa hii wamejua Ruto sio mtu wa kutishwa.. Hakuna mtu wa kutishwa Kenya hii
@christinechirchir2560
@christinechirchir2560 3 месяца назад
🤣🤣🤣 failure five times nini mnaongea sasa yet maandamano ni yenu
@justinebosire9804
@justinebosire9804 3 месяца назад
bure kabisa..wanajifanya zai..
@NoraaEldaa
@NoraaEldaa 3 месяца назад
Nonsense
Далее
How to win a argument
9:28
Просмотров 583 тыс.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
CITIZEN WEEKEND | Gachagua impeachment row (Part 1)
24:49