Тёмный

VIONGOZI WA KIMASAI TANZANIA WAKUTANA CHINI YA MTI, RAIS SAMIA ATUMIWA UJUMBE 

Подписаться
Просмотров 19 тыс.
% 99

Kiongozi mkuu wa kabila la wamasai Tanzania LAIGWANANI Eric Kisongo wamekutana na viongozi wengine chini ya mti kama ilivyo desturi yao kujadili masuala mbalimbali ikiwemo kumuombea Rais wa sasa wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Опубликовано:

 

29 апр 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@saimonilaizer1327
@saimonilaizer1327 2 года назад
Ongera sana baba yetu laigwanani wa mila kwa hayo unayo fanya lakini inatakiwa muangalie kitu ngine ya ugawaji wa ilaigwana kuingiliwa na siasa
@fredkakamilion5497
@fredkakamilion5497 3 года назад
Tunashukuru mzee
@ezekielraymond8749
@ezekielraymond8749 3 года назад
Tumekuelewa sana olaigwanani wetu tudumishe Amani kupitia makabila yetu yote sisi watanzanzia ni wamoja
@noahlarapho4749
@noahlarapho4749 3 года назад
Ameeen🙏🙏
@makitandungu2604
@makitandungu2604 3 года назад
mzee wa mila yuko vizuri
@elisantejohnathan15
@elisantejohnathan15 3 года назад
Desturi ni kitu kikubwa kinachotakiwa kutunzwa kwa kila kabila ili kutunza heshma ya taifa na amani kwa ujumla
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Sasa kiongozi mkuu wa kimila mbona hujavaa kimila?
@abdallahbakari6154
@abdallahbakari6154 3 года назад
Wawaambie vijana wao wa kiteto waache kuchungia mashamba ya wakulima sio tabia nzuri
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 месяцев назад
Na Mimi ni laigwanani
@matlesimon1357
@matlesimon1357 3 года назад
Tunaomba Wamasai msibadilishe mila zenu
@peteronesmo8816
@peteronesmo8816 3 года назад
💯🙏🙏🤝
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 года назад
hawa wamasai wamemuomba Mungu Aibariki nchi yao. hivi hawa walitoa mawaziri wakuu wangapi?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 года назад
wamasai oyeeee!!!
@wilbardkweka4572
@wilbardkweka4572 3 года назад
Chini ya mti kuna mvua nyingi muwe makini kuna radi
@nzagambaog4843
@nzagambaog4843 3 года назад
Jpm forever
@mnikomseti382
@mnikomseti382 3 года назад
KERATO MSETI BIULDING MATERIAL OF COSTRUCTION
@bilakivuli9078
@bilakivuli9078 3 года назад
Kiongozi wa kabila unavaa kofia ya kigeni kama mtalii.
@elisantejohnathan15
@elisantejohnathan15 3 года назад
Kofia hiyo tumekuwa nayo kabla ya uvumi wa watalii
@janethkiremi2797
@janethkiremi2797 3 года назад
Amina