Тёмный
No video :(

Vita vya Ukraine na Urusi: Hizi ndizo sababu kuu kwanini nchi za Afrika zimeamua kukaa kimya 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

March 24, uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umetimiza mwezi mmoja. Kwanini nchi za Afrika zimekaa kimya? Jimmy Chansa na Dj Sma kwa mara nyingine tena kwenye #TheOutsiders wanachambua kwa kina

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 года назад
Sky Huyu DjSma, ana material ambayo, ukiwa na Akili ya Kipopo, Unapotea Njia.. DjSma 🙌🙌🙌🙌 Mungu Akuweke Sanaaaaaa
@lodilofa116
@lodilofa116 Год назад
LL
@kisalaTV
@kisalaTV 2 года назад
Huyu mr kipara leo anaogea madiniatupu. 👍
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 2 года назад
Dah! jamaa yupo vizuri sana hukiwa ndani ya africa uwezi kumuelewa vizuri huyu jama UPALA nini anasema.🔥🔥🔥💪🏾
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 года назад
DjSma Nimekubali Sanaaaaa 🙌🙌🙌🙌 Umeupiga mwingi.. Huyu Mmarekani atuache..
@DenisDeusDexter
@DenisDeusDexter 2 года назад
Congrats Sky, na naomba hii kitu iendeleee, DjSma much respect ✊ vitu unaongea na feelings inaonesha unajua unachosema na I fact ni ukweli 100%.
@rodriodhiambo9431
@rodriodhiambo9431 2 года назад
Djsma unatoa vitu Vya adimu sana,mweny kichwa cha panzi kama mshikaji awezi kukuelewa. Djsma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@minayeeric3882
@minayeeric3882 2 года назад
My brother sky I like that guy he wearing black T-shirt talk nice perfect truth for everything
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Niliposoma comment yako nikajua umemwonea maana ni mtu ninaye mwamini sana. Kweli leo amechochora sana. Huyu jamaa mwenye nyeupe amemwondoa kabisa kwenye track.
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 2 года назад
Sky congratulations am in Kenya and am good fan of your show..We need black t-shirt again and again.Fantastic.
@jacobmazengo6302
@jacobmazengo6302 2 года назад
DJ uko vzur ni fact tupu unaeleza marekan na wenzie ni wachafuz toka enz na enz mwisho unafikia
@saidjumasaid3924
@saidjumasaid3924 2 года назад
Djsma anaongea facts sana lakin uwe umesoma ndio utaelewa
@princearies3984
@princearies3984 Год назад
huyu djsma anajua sanaaa
@paschalmilindi275
@paschalmilindi275 2 года назад
We jamaa wa T-shirt nyeupe unazingua bwana,
@tildahongkong6086
@tildahongkong6086 2 года назад
Dj anaupiga mwingi he’s very smart 👌🏼 jimmy unapanic unabishana kimaskani
@twalibuabdallah6243
@twalibuabdallah6243 Год назад
Jimmy anazingua
@allyhilal2747
@allyhilal2747 2 года назад
Huyo boya anajua hata maana ya fifa kweli. Au hajui hata Uefa ni kitu gani.
@koudrashabani1912
@koudrashabani1912 Год назад
Kutoka Burundi Nakubali Mnavyochambuwa Kweli Kabisa
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 2 года назад
DJ Sma wamoto sana
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 года назад
Nazani zingekuepo djsma wawili hapo ingekuwa very approaches debate
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 2 года назад
Sky we are missing those guys again..make a plan and call them again.
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 2 года назад
Huyu jamaa mwenye shat nyeupe sio kwamba hana akili hapana anayo ila tatizo kabeba ujinga zaid kuliko uhalisia wenyewe 😂😂😂😂😂😂
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 2 года назад
black shirt anaongea point xana
@Tanae3209
@Tanae3209 2 года назад
Ausio
@chrispinemichael2334
@chrispinemichael2334 2 года назад
Huyu jamaa mwenyewe t-shirt nyeupe sijamuelewa kabisa
@jacksonletema6071
@jacksonletema6071 2 года назад
Kaka hata mm ananichanganya hajui chochote anaongea ujinga tu anakoroga mada ataupeo wake na ubongo wake mdogo sana anachanganya ana hamisha mada tu
@barnabasmafuru6735
@barnabasmafuru6735 5 месяцев назад
Jimmy kunamengi hujui kaka huna facts jifunze kwa DJSma @sky
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 2 года назад
54:50 and on, nimekuelewa sana kaka. barikiwa.
@maidimples8236
@maidimples8236 2 года назад
This is too fantastic
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h 3 месяца назад
Africa ipo vizuri inaangalia nani mbabe atakaye shida vita ndyo tuanafanya naye kazi magharibi tumewachoka na sera zao
@simulizi2632
@simulizi2632 2 года назад
Me naangalia sky anavyokuwa hajui pa kuingilia 😅😅😅😅🙋🏾‍♂️
@shazyahya4121
@shazyahya4121 2 года назад
Safi sana ASMA jamaa anajua sana kuchambua mwenendo wa siasa za dunia kwa sasa 🤝🏾
@watchme5678
@watchme5678 2 года назад
Jimmy nimekubali comeback yako aisee ⚡ 🔥....
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 7 месяцев назад
Unaelezea vizuri tatizo kingereza na kiswahili tuchagulie lugha moja kiswahilli tuu au kingereza usichanganye lugha
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Sky sky sky, leo umeniangusha bro. Huyo jamaa mwenye white na red amekutoa kwenye track. DJ Sma is very smart. Why ionekane Ukraine wanaonewa sana wakati Waafrica wenzetu wanaendelea kuuna na wala hakuna anayepaza sauti? Ukraine ndo kuna watoto na akina mama ila Libya, Syria, Afghanistan, Nigeria, Ethiopia, RDC, Somalia hakuna watoto na akina mama? Wewe mwenye nyeupe ni kibaraka wa mabeberu tu. Na elimu ulonayo hata haijakukomboa bado.
@chrispinemichael2334
@chrispinemichael2334 2 года назад
Leo SKY umepuyanga kwenye hu mjadala umeshindaje kuwa handle wachangiaji na huyu jamaa mwenye t-shirt nyeupe ana interrupt sana
@maidimples8236
@maidimples8236 2 года назад
Its fact but i belive sky he's too smart but case was too complicated
@IsmailKatanga
@IsmailKatanga 3 месяца назад
Mnaharibu kuiga sana kingereza
@user-hi7ry5bc9t
@user-hi7ry5bc9t 2 месяца назад
Wanaogopa, hawana ubavu wa kusema, km wangelikua na uwezo basi wangelimtetea Gadafi lkn waliufyata na wanaendelea kuufyata.
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 Год назад
Kwanini upande mmoja tu wakifanya Hawa Sawa na wengine sio Sawa
@mamanshimba1
@mamanshimba1 2 года назад
Guys you are very smart..i like you
@mlimbila9942
@mlimbila9942 2 года назад
nawakubali asante kwa part 2
@kdloon2030
@kdloon2030 2 года назад
Huyu jamaa ambae kavaa surual nyekundu,anavuruga point ya interview.
@kudratsaburi7386
@kudratsaburi7386 2 года назад
Mwenye nyeupe kapuyanga tu ata sijamuelewa anatetea ujinga tu inaonekana ata school alifeli 😊
@nkwabicharles8752
@nkwabicharles8752 2 года назад
jamaa ni daktari wa binadam ko hakufel kama unavyofikilia
@dimagayoye4084
@dimagayoye4084 2 года назад
Kutoka Kenya Mimi naitwa Dima Gayoye.uchambuzi wenu ni mzuri na unamafunzo ya kihistoria ya kimataifa.hongera sana
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Год назад
Uyu Jimmy kdogo hayupo sawa
@chidiomari.65
@chidiomari.65 2 года назад
Sky Hao jamaa ni Noma wanajua,Nimejifunza mengi sana kupitia wao.love from Finland 🇫🇮🇫🇮🤝🙏
@ghostgenerationtv766
@ghostgenerationtv766 2 года назад
Huyu DJ sma ni moto wa kuotea mbali anaichambua historian anavyoijua yuko vizuri Jimmy unajiribu kutulisha matango pori lakini waafrika Siku izii ni waelewa na tunafatilia time will tell..we're waiting, and we're well aware maybe our chances on the way. .game will change anytime
@ahmedmiraji877
@ahmedmiraji877 Год назад
Sky ni Kaka yangu kabisa na interact nae kwenye group ki masiahara sikua najua ana madini hivi mazito 😢 I love u brother
@foibtv3044
@foibtv3044 2 года назад
Kipara smaa ni nomaa
@timizanafrikamedia5464
@timizanafrikamedia5464 2 года назад
Djsmaa i. Love this man
@ridhiwanfatma6312
@ridhiwanfatma6312 2 года назад
#Djsmaa umeupiga mwing sana Boyfriend 😍
@kambugarakim4840
@kambugarakim4840 2 года назад
Dj sma 100% mwana mwngne 0%
@princearies3984
@princearies3984 Год назад
af uyu mwenzie ajui istoria
@user-ur9vq1su4u
@user-ur9vq1su4u 7 месяцев назад
dj sma 🎉🎉🎉
@funvidtz5989
@funvidtz5989 Год назад
Dj sma 🔥
@MK-bk9ww
@MK-bk9ww 2 года назад
Smartness 💦
@sadikimwakisambwe9318
@sadikimwakisambwe9318 Год назад
Huyo jamaa mwingine hajui kitu na kigugumizi chake
@salubrown4013
@salubrown4013 Год назад
SumaA una tisha sana mwanangu wee ni Bonge Ramcha mbuzii nakubari
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Год назад
napenda sana bck yuk sawa na red yuk right bt mbish
@meddyknd7574
@meddyknd7574 2 года назад
Madini
@user-ef1ht2iv7c
@user-ef1ht2iv7c 8 месяцев назад
dj sima yuko vizuli sana
@luckyshangali6075
@luckyshangali6075 2 года назад
kipindi kizuri sana next session tunaomba tuchangie mada iwe live session
@kinega1029
@kinega1029 2 года назад
Kaka ulieva white t-shirt Western na genge lao kwanza wizi halafu ni wadini halafu waongo pia double standard kiujumla ni watu waovu
@wbmclassic1651
@wbmclassic1651 2 года назад
Nadhani Djsma ni zaidi ya mchambuzi asee.Nondo alizo nazo ni .
@fredricklumbala5299
@fredricklumbala5299 2 года назад
Black t-shirt umeupiga mwingi sana
@tripletriple3112
@tripletriple3112 2 года назад
T. Shirt nyeupe jifunze sana bado unauzarendo na marekani kama unataka haki pande zonte mbili. Na kama una self hate hapo tutakuelewa.. Wengi wetu wote tulikuwa upande wa marekani..baadae ukifatilia unajua jambo marekani siku zote mdwanzi.. T. Shirt nyeupe bado yupo gizani..
@jacksonjacksonjacksonjacks9879
@jacksonjacksonjacksonjacks9879 2 года назад
Woooh. Ndugu wakigombana shika jembe kalime vile wakipatana ludi shamba kavune. Ilove Russia 🪆🇷🇺 urrrraaaaaaaaa. Ilove 🇺🇦ilove🌍ilove 🇹🇿🙏
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 2 года назад
✌️✌️✌️mwenye shat nyeusi nimekuelewa kuliko kawaida endelea kuwafungua watu hata maandiko yanasema mungu atawaleta watu wa kuwaeleza ukweli thabit na bado watapingwa ✌️✌️✌️uko sawa sana kiufahamu na akili 🤝🤝🤝🤝🤝mwenyezi mungu akuweke hai siku nyingi zaid
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 11 месяцев назад
Skai vp hal?❤tumemissi iyikitu🇧🇮💐🌹
@ntahondereyeahamadi5516
@ntahondereyeahamadi5516 2 года назад
Dj suma anaongea ukweli kabisa
@luckyhardson18
@luckyhardson18 Год назад
We jimmy nenda kaishi ukrain masna huelewi kafe kulekule.
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Год назад
Sky mdogo wangu nakukubali sana
@animalchannel296
@animalchannel296 6 месяцев назад
jamaa mwenye kigugumizi anazingua
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 Год назад
Huyu jamaa ajui kusimulia vizuri anachanganya marekani naita urusi na India anaita china 😂😂😂😂😂😂
@mmg4230
@mmg4230 Год назад
Jimmy hakuna kitu
@mlimbila9942
@mlimbila9942 2 года назад
uyu mwenye nguo nyeusi anaongea fact alafu mwenye nyeupe anabisha ujinga hawezi kimshinda kwa hoja (dj sma black tishet) wala ngeli hamshindi kenge mwenye nyeupe
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 года назад
Nakuoata ila ASHA matusi
@jacksonletema6071
@jacksonletema6071 2 года назад
Mwenye tshert nyeupe namuona kama mbwa haelewi kabisa anavuruga tu
@SalimoMaulide
@SalimoMaulide Год назад
Vita ya wenyewe kwa wenyewe africa imeanzishwa na magharjbi ya ulaya na america ndio maana hawana haja ya kutusaidia kumaliza vita
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 года назад
Djsma soo bright kwakweli
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Год назад
Haruna ISSA,mambo yakipamba moto,afrika italazishwa kuunga mkono Ukraine kwa vikwazo.
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 года назад
Wote wapo vizuri sana wageni
@user-vl5jj3oq3d
@user-vl5jj3oq3d 7 месяцев назад
Ongea tu kiswahili ni luga tamu sana acheni kujifanya wazungu 😂 na luga yenyewe auifahamu.
@kolokokoloko9276
@kolokokoloko9276 2 года назад
Djsmaa awekewe sanamu lake kwa kweli,, jamaa yuko vzr sana kiuchambuzi... Uyu mwenye t-shirt nyeupe Ni mchambua mchele tu
@kyangwesignermohamed7867
@kyangwesignermohamed7867 Год назад
Nyie niwashenzi watumwa wa Lugha msijifanye mnajua saana kingereza Kama mjadara wenu niwakiswahili ongeeni Kiswahili kama nikingereza ongeeni Kiingereza. Kiswahili kinamaneno yakutosha msijifanye mnajua saana . Huo niutumwa!!!
@MashakaEdward-ne1ih
@MashakaEdward-ne1ih Месяц назад
Marekani ndo shinikizo la ukrain
@skillerzow1618
@skillerzow1618 5 месяцев назад
Dj sam ako na ubongo ulokomaa hyo mwengine bdo mtoto atabisha bure na kutupotezea malengo aregee chuo akapanue ubongo wake
@tupasesamuel2109
@tupasesamuel2109 2 года назад
Mbona muna maliza coversation with argument not debate.
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Год назад
Haruna ISSA,ngoja kwanza nikasomee kiingereza nitakuja kuwasikiliza.
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 года назад
Yes double standard
@aishanassor8041
@aishanassor8041 2 года назад
Jamaa mwenye upara anajua anajua anajua tenaaaaa...kwa watz hatuwez jua ila mwenye upara anaongea facttttt na ndio ukweli ulivooooo
@penieltshipaz8474
@penieltshipaz8474 Год назад
Kwanza wa africa wangekuwa nahakili wasinge usogeleya hatakidogo mzozohuho . Wanashindwa kujikomboa wenyewe kwanini wajihingize mbalikotehuko wanafahida ganina mzozohuho .
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Год назад
Haruna ISSA,kwanini msaada ipewe serikali badala ya wakimbizi mh!Kuna walakin
@joycemalundo1055
@joycemalundo1055 2 года назад
Mimi nawakubari sana wote hasa Jimmy maana anatetea upande ambao watoa maoni wengi awaupendi, Sasa wote wakiwa upande mmoja hautokuwa mjadala mzuri , pongezi kwao
@audaceleroi1370
@audaceleroi1370 2 года назад
hacha wanyukane tu
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
libya ilipovamiwa viongozi wa africa pia walikaa kimya.na nyie watangazaji wa kiafrica kuna vita DRC, africa kati hamuongelei. why now?
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Год назад
Haruna ISSA,kwa mtazamo wenu nani hasa atakaye shinda?NATO au urus.
@ahazimarley2141
@ahazimarley2141 2 года назад
Wabongo bhn iv mnaongea kwa watanzani walio soma au mbn kingeleza kingi Kuna watu hawajui icho na wanatamani kusikiliza nakuelew lakin kingeleza kingi nn hiii bro🇹🇿🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳💪🏿Swahili 💪🏿
@aballahjoseph2234
@aballahjoseph2234 3 месяца назад
Awa jamaa wana fix😅😅
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
Mie nielelewa kw nini African hatupate msaada nikwba hamn saaaaman kwoo wazugu wanasamini mali za African na sio people kwhiyo sioni haja ya kuimizu eti African wasime kitu kw urussi waaje kabisa watiwe atabu na urussi nasie African tusoge pele maraisi wa African abao hawajielew jeshi piduweni only paka wakimaliza vta wakute 🌍africa imepiga hatuwa
@blodinfx4670
@blodinfx4670 Год назад
😂😂😂dogo anazingua sana
@deomajuva2432
@deomajuva2432 8 месяцев назад
Djsma anavitu sana huyo jamaa anatupotezea floo hajui huyo tumsikilize tu sma
@bobstar2737
@bobstar2737 Год назад
Uparaa akilinyingi😀😃
@deusdedithkasusu7622
@deusdedithkasusu7622 2 года назад
But u guys are kld it....nawapongeza sana....
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 года назад
Them for them africans we have to stay away it's not our business they dont care about us two black handsome brother love you guys
@bobstar2737
@bobstar2737 Год назад
Kwani uyojamaa mbona aelewi uyoo. Anazingua upande wa kushoto sijui anatetea kitukani uyoo
@ruu6592
@ruu6592 2 года назад
Ndio mana mm nasema ivi awa watu wote nikitu kimoja wanacho kifanya wanapunguza watu wote wamoja
Далее
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн