Kompyuta yangu nikiuanza kutype kwa kutumia ms word ukiandika setensi moja inzima inanipa shida sijajua tatizo ni nn na kwa chini imeandika this window is not ginie
Vizuri, tukianza na Windows is no ginuine inamaana windo yako sio Original. Ama kuhusu Word piga picha word yako, tutumia kupitia Wasap, au ingia kwenye App yetu ututumie link zote zipo juu hapo.