Allah akuepushe na adhabu za kaburini na uwe miongoni mwa watakao ingia peponi na Mtume wetu in shaa Allah...love you babuu ...from kenya but in saudi now
The mboni show hiii ndio naiona leo nimecheka halafu nimelia Sana Wallah....naomba weka mwendelezo wake please dadaangu daahhh nimemiss kumuona babu yetu huyuuu Allah amlaze pepa katika jannatul firdaus....
Molla akupezidishie furaha yako baba yetu king majuto. kuna watu wanaishi kwa furaha na burudani muda mwingine just bcoz u make them laugh n smile via ur comedy
Aki King Majuto nakupenda bureeeeee!!!mimi nacheka pindi ninapokuona hata kama hujaongea kitu....Mungu akujaalie umri ulo mrefu akupe hekma ya leo na kesho...cna mbavu kwakweli