Hii session itapaisha Kiswahili mbali sn. Ila fanyeni kuuliza mambo ya msingi km salam, utendi wa tija km kusoma n.k, utajo wa vitu vya jumla na mengine lkn wimbo wa mpishi bado changamoto.
Umeongea point sana, maana hata waswahili hiyo ya mpishi mbishi kapika mchicha mbichi inatusumbua sana. So hao wataona kiswahili kigumu sana. Alitakiwa azungumze mambo mepesi ya msingi
Hiyo ni sawa na uuaji, yaani unawapa waseme kile ambacho hata waswahili wenyewe kinawashinda, unawafanya wazungu waone kiswahili ni Lugha ngumu na watakata tamaa tutakosa soko
jaribu kuwafundisha majina ya vitu? . Mbali Mbali Car is called Gari? Twende is let's go?came ?meaning njooo? Mzuri? Meaning beautiful ?? Mambo mengi Sana usiwafundishe kitu Kimoja brooo
Hii kitu nzuri sanaa ila ushauri, hizo slogan ambazo wanazo trying kuzisema naona mngezipunguza ila mjaribu kuwa challenge vitu ambavyo ni commonly used like salamu, majina na vitu tofauti etc.
Kanzi nzuri ila kama ni lengo la kukuza kiswahili inabidi muwe mnawafundisha angalau maneno ya kiswahili kuliko kuwachalenge sentensi ngumu hyo itawasaidia kuwa n chachu ya kujifndisha na na kukipenda zaidi#Ahsante #sns
Unawaongelesha ujinga tu vitu ambavyo havitawasaidia kokote katika maisha yao. Badala ya kuwafundisha kujua kusalimia kuomba maji kuomba msaada kusema pole n.k unawafundisha ujinga wako. Pambafu zako unatuharibia sns yetu.
Mambo vipi eti mambo vivi mambo viti🤣🤣🤣🤣ungeanzia na salamu ya HABARI kisha wanajibu MZURI hiyo ni rahisi sana,mambo vipi yako ni ngumu kwa anae anza jifunza swahili,NDUGU NAONA UNAJITAHIDI BALI HUNA TALENT YA KUWA MWALIMU.
Haaaaaaaaaaa....Hahahaaaaaaaaa.....hahaaaaaaaa.....very fun bro....’ ‘MPISHI M’BISHI KAPIKA MCHICHA M’BICHI....!....hahahaaaaaaaaa....!...hahaaaaaaaaa....!...I’m from TANZANIA ‘ SWAHILI VIBE...!
Hakuna matata si Kiswahili sanifu cha maana ya neno halisi la no worries Mr sky Ila hakuna mashaka ndio no worries Hilo la hakuna matata walilitoa wakenya na halikubaliki kwa Kiswahili Labda kama walikuwa na maana ya hakuna matatizo au utatanishi Labda huenda likakua kutokana na 'Utata' utatanishi ' matatanishi'
You can introduce and promote our country by showing them our geographical tourist attractions like Kilimanjaro, Serengeti, Zanzibar e.t.c ,also you can introduce our music their by finding some interesting questions to them and show some collaboration of our artist and American artist like Diamond and other Americans artist like Omarion(African beauty),Neyo e.t.c
Ni kitu kizuri snaa unachofanya Broo,,ila ingekuwa poah zaidi kama ungekuwa unawafundisha kiswahili hata kwa kusalimia tunasalianaje nathani ingewapa zaidi kukijua kiswahili zaidi..
Kipimdi kizuri haya nawashauri mwongeze ubinufu kidgo isiwe inachoshaa maana nahs kuchok nimeangalia video mbili tu ... Maneno yanaridiwa yale yale kw muda mrefu