Тёмный

WAFANYABIASHARA ARUSHA WAUWASHA MOTO MBELE YA MBUNGE WAO''SERIKALI IMETUTENGA'' 

JAMBO TV
Подписаться 938 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
VIDEO:
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 6 дней назад
Walikuja kupima watu kwa vile uchagusi umefika ila duh watanzania sio wale mliosoa kudanganya danganya Asante ndugu kwa kuwaambia ukweli lla kuwa makin niwatekaji wanakuangalia
@B23-i8p
@B23-i8p 6 дней назад
Ccm wanaivuluga sana nchii
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 7 дней назад
Angalia watekaji kaka,,hawapendi kuambiwa kweli.
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 7 дней назад
Tatizo Leno kesho mtampatiabkula unasahau yalio wageuka
@BobMollel
@BobMollel 6 дней назад
GAMBO NI SMART POLITICIAN HANA PUPA Great 👍 anauwezo mkubwa wakujibu hoja
@ChugaYechu
@ChugaYechu 6 дней назад
Huyo jamaa mwenye kipara kama sokwe,nihatari sana huyo
@mosesimsalaba
@mosesimsalaba 6 дней назад
Kwanini biashara ifanyikie Kenya kwanini tunajenga Kenya badala ya Tanzania? Jamani hatakama hatujasomea uchumi !! Inasikitisha sana Sana jamani tuipendeni nchi yetu tz!!
@MwljofreyChitta
@MwljofreyChitta 3 дня назад
Safi
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 6 дней назад
Ww unayejibu maswali pole sana maana upo kinyume na wananchi
@josephlorri431
@josephlorri431 6 дней назад
Hiyo ni Arusha. . Machalii hawarembi
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 6 дней назад
Nchi hii kila sehemu ni ufisadi
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 6 дней назад
Safi sana
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 6 дней назад
Wadau ni kweli kuwa tumetengwa, hii Tanzanite kwa sasa inapatikana kwa wingi huko bankoko, na kule inauzwa kama nyanya , yaani ni rahis sana, kafanyeni utafiti huko bankoko
@B23-i8p
@B23-i8p 6 дней назад
Akili zishaanza kuhamka sasa,hii misumali iwe nchii nzima mana kila Kona mambo hovyo
@mosesimsalaba
@mosesimsalaba 6 дней назад
Alisema dugai nchi itauzwa je Kama haijauzwa kwanini? Soko liko kwenya la kidunia wakati madini hayo tz peke yake wekeni soko la tanzanite liwe tz tunufaike wenyewe na serikali yetu ipate kodi
@kingmichael1234
@kingmichael1234 День назад
Arusha watu wana akili sana Tanzania nzima mikoa yote, wilaya zote na kata zote zinahitaji watu kama hawa. Nchi hii itanadilika. Mungu Ibariki Arusha 🇹🇿🙏🏽
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 6 дней назад
Ni Sawa na wazazi wanalima mpunga lakini wanawauzia majirani na watoto wao wanalilia wali😢😢😢
@fratelltutiilaudatosi4153
@fratelltutiilaudatosi4153 7 дней назад
Kama mnaipenda ccm mbona inawatesa sasa
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 дней назад
Kweli watu wanateseka. Ni akili kichwani sasa. Serikali yenu sikivu hiyo
@rogersiddy
@rogersiddy 7 дней назад
Hapo sasa wanajipendekeza tu wawakatae tu kesho watawapa kura tena ujinga tu
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 7 дней назад
Siku zote sendeka hajawahi kupenda arusha
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 7 дней назад
Sendeka ana Ukabila hajawahi kuupenda mkoa wa Arusha, Alieiua Arusha kupitia Tanzanite ni Sumaye alipogawa mkoa wa Arusha kuipeleka Mererani kwenda Manyara, kwa kigezo cha Huduma kuwa karibu kwa watu wa Mererani, Hiyo ni wapi na wapi kutoka Babati mpaka Mererani Huduma iwe karibu? Hii akili ya kisiasa itatugharimu sana.
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 7 дней назад
Broo unaona mbele kweli tuna viongozi wa hovyo sana
@PartySekemi
@PartySekemi 5 дней назад
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake kama mnataka tanzanite mhamie manyara haiwezekani chakula nipike kwangu nikuletee unigawie sahau na kama manyara ilikua ni mkoa moja na arusha irudi kuwa moja la sivyo mtaongea sana
@JamesSiriay
@JamesSiriay День назад
Sendeka anajali sana watu wake acheni kuwapotosha watu
@RITHAMROSSO-t4w
@RITHAMROSSO-t4w 6 дней назад
Mimi simtaki huyu kabisa jamani tunateseka barabara usafiri hakuna kabisa😊
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 7 дней назад
Niujinga sana siasa zimekua uchafu hakuna kitu hii nia ajira ya watu inapangwaje na kiumbe mmoja bull shit acheni kujaribu akili za watu
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 6 дней назад
hivi wa tz nani aliye waroga? serikari ipo kwajiri ya wageni nasio wa tz.
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 6 дней назад
Leo mmesuuzwa,
@JamesSiriay
@JamesSiriay День назад
Mkitaka tanzanate nendeni mererani
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 5 дней назад
Kanunueni mererani acheni kwayaa
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 7 дней назад
Simuoni makonda apo mbele kwenye hili au ndo vile mwamba apendagi unafiki
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 7 дней назад
Nani aliyemchaguwa huyo mbinge wa ccm 2020? Walidhulumu Uchaguzi wote 2020.
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni 6 дней назад
Inamaana viongozi hawaelewi hayo,
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 6 дней назад
Mwamba wetu Makonda yuko wapi leo?
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 6 дней назад
Mwamba wa nini,? Nchi ina mali kibao watu wake maskini ww bado unaita watu mwamba
@HamisLeo
@HamisLeo 5 дней назад
Hatupgi kura ata mm niko mwanza spgi kura
@cheekszebedayo9340
@cheekszebedayo9340 7 дней назад
😢
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 7 дней назад
ACHA SIASA SEMA MATATIZO YA MADINI HAYAFAIDIKI KWA UCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA SIASA TUACHE MANENO YASIYOFAA.HUYU JAMAA AMEONGEA MAMBO MENGI SANA KIKUBWA TUACHE SIASA ZA CCM ETI HATUTAPIGA KURA HUU NI WAZIMU TU TUACHE SIASA KWA MAISHA WATU
@PaulKabungo
@PaulKabungo 7 дней назад
Time imefika
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni 6 дней назад
Hakuna laana kweli?
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 6 дней назад
Tanzania hakuna wanunuzi wa Tanzanaghte
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 7 дней назад
Tanzanite duniani kote iko tu arusha Tanzania basi.
@josephlorri431
@josephlorri431 6 дней назад
Iko manyara,mererani..mpakani kabisa na mji wa Arusha
@LekumoMedy
@LekumoMedy 7 дней назад
Uchaguzi ukikaribia mnawachore watu kila mara
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 6 дней назад
Mambo ya uchaguzi ngoha washinde mtalia kilio Cha mbwa
@georgekyando885
@georgekyando885 7 дней назад
Kwanini musiunde huko iliko mkafanya huo broker huko huko. Mererani
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 5 дней назад
Hizi ni siasa utasikia raisi anakuja apo wakati huu alafu chaguzi zikiisha mambo yako palepale
@gidongailo7174
@gidongailo7174 6 дней назад
Masiasa yameingilia kati
@rogersiddy
@rogersiddy 7 дней назад
Tatizo lenu kesho mtampa kura tena msitumie nguvu nyiiingi wakataeni maccm wapo kisiasa kila jambo waonekane wamefanya kitu kumbe bumbuwazi tu kiini macho tu
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 7 дней назад
Mbunge anakosa gani wakati anawatetea mpaka bungeni!! Uchafu uko nje ya uwezo wake!!!
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c 6 дней назад
Usije tukakukosa wasiyojulikana wapo haya
@dassustephen731
@dassustephen731 6 дней назад
Nchi hii inavyoenda NI kama Hakuna viongozi wanaofikiri sawasawa
@HamisLeo
@HamisLeo 5 дней назад
Pumbafu nyie zindukeni
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 7 дней назад
Mnachimba Tanzanite Arusha nyie au inachimbwa Mererani? Mmepeleka Tanzanite Mererani au inachimbwa mererani? Mmenyimwa kuja Mererani? Haiji huko.
@HamzaHeri
@HamzaHeri 7 дней назад
NYIE MABROKE WENZETU WA ARUSHA ACHENI KUTUMIWA WANA SIASA UCHWARA MTAKUJA KUJUTA ACHENI MIAMKO
@marieconnect6389
@marieconnect6389 7 дней назад
Ameongea uwongo?
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 7 дней назад
Kuna mijitu ya hovyo watu wanaumia wee unaleta story za kipuuzi yani huoni hayo ni maisha ya watu yanaharibiwa wanaojiita wasomi kumbe vilaza
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 7 дней назад
Huwa tuna wasomi wa ajabu sana kuna jitu hata ukiliuliza kupandisha thamani manake nini hawajui unapandisha thamani kitu hakipo watu wanapataje hela tunataka mzunguko mkubwa sio kufungia mali yetu bado inauzwa kama drug's shame on you na akili zenu
@JAGILAMALEMANI
@JAGILAMALEMANI 6 дней назад
Kweli kabs ww umeongea point​@@omaryjudasymwanga7172
@tisiradidas
@tisiradidas 6 дней назад
35:58
@JamesSiriay
@JamesSiriay День назад
Sendeka anajali sana watu wake acheni kuwapotosha watu
Далее
Каха понты
00:40
Просмотров 289 тыс.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Просмотров 17 млн
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
Просмотров 25 тыс.
Каха понты
00:40
Просмотров 289 тыс.