Тёмный
No video :(

WAGANGA 10 WA JADI WATUA KIGOMA KUPAMBANA NA UCHAWI SUGU 

KADI NEWS24
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 223 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 185   
@user-uq4ju9ou7x
@user-uq4ju9ou7x Год назад
Ujue me nashangaa sana serikali yetu Kila mwenye kitengo anamganga wake anaogopa kurogwa ila haamini uchawi yaani nchi haiamini uchawi ila viongozi wa serikali wanawaganga wao aseee
@zuhurankoma6099
@zuhurankoma6099 Год назад
Uchwi upoo serekali inaamini uchawi sema inavunga tuuu nawenyewe wachawiii
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 11 месяцев назад
Umeongea point sana
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 10 месяцев назад
😂😂😂😂 inashangaza sana
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 9 месяцев назад
Ni swala la mtu bonfi
@OmarKibwana-dx6gu
@OmarKibwana-dx6gu 8 месяцев назад
Acheni ushirikina mrudieni mungu ALLAH ndio kila kitu.
@josephnchunga4229
@josephnchunga4229 11 месяцев назад
Duh kazi kweli huko ni Bora wachapwe wachawi wanaharibu nguvu kazi ya taifa letu.
@KenethNdingo-tm2gc
@KenethNdingo-tm2gc Год назад
Aseee kweli mungu awajalie wamuombe mungu imani hiyo ni mbaya.itafarakinisha wananchi .
@CharlesMapua
@CharlesMapua 8 месяцев назад
Oya we mwangaaaa nn
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 10 месяцев назад
Subhana Allah
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 6 месяцев назад
Dawa ya mchawi sio mchawi. Wote wa moja hao. Turudini kwa mungu Mtume Muhammad swalla llahu alyhi wassalm iatufundisha kinga za wachawi. Ni kujifunza
@PeterYeremia
@PeterYeremia 8 месяцев назад
Ahaa kigoma nomaa nilikuwa nampango wakuoa uko lakini stkiii uchawii
@AwaziRajab
@AwaziRajab 19 дней назад
Anaekataa Uchawi Aupo Uyo Ndie Mchawi Kwanini Wakati Wa Kuelekea Uchaguzi Mauwaji Yanakua Mengi Yenye Dalili Za Ushilikina Uyo Mkuu Wa Wilaya Wenda Cheo Chake Matokeo Ya Wachawi Unazani Atakaa Kimia Bila Kuweka Katazo Yesu Anajua Uchawi Upo Ndio Mana Mpaka Kihama Yanajengwa Makanisa Kuombea Watu Mtume Muhamadi Anajua Uchawi Upo Na Amelogwa Sasa Wewe Ninani Ambae Unasema Akuna Uchawi Umetokea Dunia Gani Wewe Ikiwa Mitume Inatambua Uchawi Upo Ni Shetwani Mimi Pia Mwaka Sikumbuki Nyumbani Kwetu Siku Moja Nilikuta Mmbwa Anabweka Shuleni Na Kufukuza Kitu Uku Akiwa Analudi Nyuma Kwa Woga Kiukweli Nilishangaa Mimi Sijaona Kitu Lakini Siku Walivopita Akina Lambalamba Uwezi Amini Palepale Walitoa Pepo Mpaka Mganga Akazimia Pale Pale.Serikali Awaamini Uchawi Lakini Viongozi Ndio Wanajaa Kwa Waganga Na Magali Yao Ususa Mwezi Wa12 Utakuta Magqli Kibao Ya Gharama Kwa Waganga Uchawi Upo Hao Wachawi Awawezi Uliwa Isipokua Wengine Wahamishwe Mimi Ushauli Wangu Kwa Waganga Kama Kweli Nyinyi Ni Waganga Wananchi Wawaamini Mlogeni Mkuu Wa Wilaya Atoke Kwenye Cheo Chake Naamini Mtazunguka Nchi Nzima Kutoa Mapepo Ayo Ambayo Hata Yesu Anajua Yapo Ndio Mana Kanisani Kuna Maombi Bila Mapepo Waumini Wangepewa Maelezo Kwa Muda Mfupi Sana Na Kuludi Majumbani Lakini Kwasababu Ya Mapepo Na Nguvu Zake Makanisa Yanajengwa Na Mtume Muhamadi Anajua Uwepo Wa Uchawi Sasa Mtu Mwenye Kubisha Anatoka Dunia Ipi Iyo Au Yeye Yuko Mungu Wake Ambae Niyadunia Nyingine
@yesesimoni
@yesesimoni 8 месяцев назад
Mungu awahurumie wote mnao andamana mludieni Mungu na sio waganga
@mrizzo-qy6gc
@mrizzo-qy6gc 4 месяца назад
Wachawi wengi wana toka kongo nauchawi wao ndomaàna wachawi hawa ishi kigoma
@molengoodlever5561
@molengoodlever5561 Год назад
Waafrika hatuna akili wangekuja wazungu mungekubali nania ambaye haujui uchawi
@PiiiNickson-wi1ld
@PiiiNickson-wi1ld Год назад
Naipenda kigoma yangu
@JAFFARINANGUJA
@JAFFARINANGUJA 5 месяцев назад
Inabidi serekari ikubari wGanga wasafishe
@ShabaniKakongo-gy4eb
@ShabaniKakongo-gy4eb 11 месяцев назад
Hao wanao shangilia na wachawi wapo apo apo😂
@christinakomba689
@christinakomba689 8 месяцев назад
😂
@AlphaMosses-vy4ed
@AlphaMosses-vy4ed 8 месяцев назад
😢
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Uchawi Upo Niliwai Kuona Mtu Kalukiwa Na Paka Kamkwaluza Kodogo2 Mtu Ajachukua Muda Kifo Kama Kalala Vile Uchawi Upo Mtume Muhamadi Na Yesu Wote Wanajua Uwepo Wa Uchawi Uchawi Upo Dawa Moja2 Waganga Na Wachawi Wapambane Anayeshinda Apewe Kibali Na Serikali Hata Akiwa Mchawi Apewe Kibali Na Waganga Wafutiwe Vibali Ikiwa Wachawi Watakua Na Nguvu
@FortinatusWangubo-dt3sd
@FortinatusWangubo-dt3sd 11 месяцев назад
Mrudieni mungu na mungu atawakomboa na kuwapumuzisha na mizigo hiyo mizito
@shabaniramadhani8891
@shabaniramadhani8891 4 месяца назад
Kwan Mungu haioni
@mohamedaidani6477
@mohamedaidani6477 9 месяцев назад
Hapo safi safisha uchafu
@amanimanase8798
@amanimanase8798 11 месяцев назад
Aisee watanzania wamejawa na imani mbaya sana
@davisjavan2892
@davisjavan2892 7 месяцев назад
Mambo... poa
@saidissa4741
@saidissa4741 10 месяцев назад
Mh! Bora hta nlikimbilia mjin mapema🤗
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 8 месяцев назад
Hao wachawi waende vitani yukreni
@siliviamaneno2905
@siliviamaneno2905 9 месяцев назад
Wana Kira a wenyewe haa mwaiposa kazi imefika kweri kigoma wanakurana
@user-ob8on5vj2s
@user-ob8on5vj2s 7 месяцев назад
Hongera Baba WA taifa
@user-jv4gm5qd8h
@user-jv4gm5qd8h 7 месяцев назад
Uchawi hauwezi kukomeshwa na kamchape, kamchape na wachawi nikitukimoja, nisawa na nyani na ngedele, Ushauri wangu wananchi wa sunuka wapelekewe watumishi WA MUNGU wahubiri Injili hapo siku 7 ndiyo Dawa ya kukomesha Uchawi Bayii
@Flexboy200
@Flexboy200 11 месяцев назад
wachawi nao wafe.............ili sisi nasi tuweze kuendelea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-mk9mq7us5y
@user-mk9mq7us5y 7 месяцев назад
Hakuna tofauti ya mchawi na mganga hiyo ni sekta moja dawa yenu ni kuokoka tu. Yesu alikuja kwajili ya hayo. Selikali haiamini uchawi wala uganga. Matapeli. Huo ni uchonganishi mkubwa. 12:18
@shabaniramadhani8891
@shabaniramadhani8891 4 месяца назад
Kama yesu alikuja kwa ajili ya hayo mbona Bado yapo mzee
@FrolahRimo-cm3tu
@FrolahRimo-cm3tu 7 месяцев назад
Badala mlete watumish WA mungu nnaleta washirik wenzao
@user-gc5wn1kl6s
@user-gc5wn1kl6s 9 месяцев назад
We mama utakua mchawi mana watu wanataka kuishi kwa amani wewe watetea wachawi
@user-ze5yc9fl2z
@user-ze5yc9fl2z 11 месяцев назад
Jamani SI mnge mwita mtumishi WA mungu mwamposa WA chawi waokoke
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 10 месяцев назад
Akikanyaga tu hiyo ardhi anakufa yeye
@shabaniramadhani8891
@shabaniramadhani8891 4 месяца назад
Dar kuna wachawi wangap mwamposa hawajawashika . Mwamposa anawafanya vipofu waone mbona shule za vipofu zinaongezeka mzee tumia akili
@user-xo9nu9qr4q
@user-xo9nu9qr4q 10 месяцев назад
Mmm uchawi safali hii
@user-gu7mh7cz7x
@user-gu7mh7cz7x 9 месяцев назад
Achen wachape jmn tumechoka kufungiwa liziki nawachawi tumechoka kurogwa hao wanao kata wakinakamchape hawajarogwa ndomaana mnasema😏sublin mrogwe ndo mtawakumbuka wakina kamchape😁😁wengine ndugu zao wachawi wanakata aibu ndomaana wanapinga maswara yakuchap😂😂mbuz nyinyi wakiangaz😂
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Polisi Acheni Kubabaisha Watu Uchawi Upo Sema Waganga Waanze Na Mkuu Wa Wilaya Asiwepo Serikalini Wenda Ndio Mwanga Mwenywe Wa Wilaya Kwanini Azuie Mila Za Kaline Na Kaline
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 11 месяцев назад
😂😂😂 dope
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 11 месяцев назад
Na ukiona mtu anatetea mchawi ujue kundi moja
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 6 месяцев назад
Likikujumba ndio utajua mbichi au mbivh
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali 11 месяцев назад
ILI KUKOMESHA UCHAWI NI KUOKOKA NA KUMWAMINI YESU NGUVU ZA UCHAWI ZITAKOMA, UKIMCHUKUA MCHAWI MKUBWA UTATULIZA TU ILA WOTE HAO NI WACHAWI, TOFAUTI YA MAKABILA YA KICHAWI TU. OKOKENI OKOKENI
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 10 месяцев назад
Kwa kweli, Mungu amsaidie jamani.
@user-ok5cv2ux2z
@user-ok5cv2ux2z 10 месяцев назад
Wachapwe
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 8 месяцев назад
Hahaha mpango wauzazi ndio chanzo
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Kiboko ya uchawi ni Yesu tu mim naamin watumish Wa Mungu wapo huko Mpeni Yesu Maisha Yenu hao waganga na hao wachawi jambo lao nimoja ucku wanakutana kuwaloga vizur
@Simonirafael-wt4lc
@Simonirafael-wt4lc 11 месяцев назад
Sasa Hawa wanasumbuka bure mchawi na mganga nihaohao yesu pekeyake ndiemganga yesu nimwanga uangazao
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 месяцев назад
En YESU Ndie kimbilio Leto ,Maana Imeandikwa Akuna uganga Juu ya Israel Wala Hakuna Uchawi Juu ya Israel.
@user-ny7yi6dq2p
@user-ny7yi6dq2p 8 месяцев назад
Ni kweli wanatutesa Sana na znz waje 8:53
@FRANKGOLIATH
@FRANKGOLIATH 8 месяцев назад
Serikali yetu iamini tu kama uchawi upo
@OnesmoDenis
@OnesmoDenis 4 месяца назад
We unajua tu ila sema unasimamia sheria
@nelliejerotiich551
@nelliejerotiich551 11 месяцев назад
Hapo hakuna uchawi. Kama wapi hebu Zima kipasa sauti/ mike au sitima ndo tuwatambue. We pray for you people of Kigoma. May u know the true and only savoir Jesus.
@RUKAIYAHEMEDI-sf5oo
@RUKAIYAHEMEDI-sf5oo 11 месяцев назад
Hao waganga tunaomba wafike kwetu jamn mkoa wakilimanjaro wilaya yamwanga vijana hatuendelei makopera kama yote
@MohdMwigongo
@MohdMwigongo 9 месяцев назад
Nitafute nikufahamushe dawa ya hao wachawi
@user-ny7yi6dq2p
@user-ny7yi6dq2p 8 месяцев назад
Ni kweli ata znz yapo na huku waje
@alistidesrugazia4680
@alistidesrugazia4680 11 месяцев назад
Tanzania BDO sana sijui kama tutafuka salama, police mnasimamia Hilo zoezi kweli, serikali siahamini uchawi imekuwaje waungwana?
@MohdMwigongo
@MohdMwigongo 9 месяцев назад
Uchawi upo ila hao waganga walikosea kupita nyumba Hadi nyumba hao wachawi niwakutegatu sehemu ukawatia Aibu
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 10 месяцев назад
Hatari 🔥
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 5 месяцев назад
Et selekali haiamini uchawi wakati hata wao niwashirikina baazi yao wanashinda kwa wanganga
@user-ob8on5vj2s
@user-ob8on5vj2s 7 месяцев назад
Hawana ukweli matapeli tu
@MobigoMobigo-io5re
@MobigoMobigo-io5re 3 месяца назад
Dada anaongea huyo nakumbuka nilisoma naye sunuka sec.
@HappynesJames
@HappynesJames 8 месяцев назад
Hao waganga nataka wafike kwetu mwanza watu wa mwanza nao wameshindikana kwa mambo ya uchawi
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 8 месяцев назад
Tatizo serekali ahiwezi ikakubaliana nahilo kwasababu wanaohilinda serekali nihaohao wachawi kwanza kabla yakuja huyo mkuu wa wilaya amepitia kwao ili wamtengeneze unasema yakwamba amlitambui nikweli nilazima usemehivo kwasababu nyie ndio wachawi wakwanza imeona likiendelea litawafikia nanyie bora mlikataze.
@FRANKGOLIATH
@FRANKGOLIATH 8 месяцев назад
Waje na huku
@AminaLibisa
@AminaLibisa 10 месяцев назад
Mashujaa oyeeeeee 😂😂
@user-ej5xy8kb2t
@user-ej5xy8kb2t 11 месяцев назад
Jamani naombanije nitoe msada na mm
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 8 месяцев назад
Selikali bwana
@user-vz8if8nd6m
@user-vz8if8nd6m Год назад
Waje na huku tumechoka mtu kuugua kichwa na kufariki
@rubenigaudence4940
@rubenigaudence4940 10 месяцев назад
Ni wapi huko kwenu
@mahugoramazanibenoit1843
@mahugoramazanibenoit1843 8 месяцев назад
Apa congp drc mjini uvira,baraka, fizi yote ilishawahi kufanyika lakini wakuhisha .
@user-qk6xi8fb9d
@user-qk6xi8fb9d 9 месяцев назад
Mungu atuhurumie
@Zepequeno-ln1ot
@Zepequeno-ln1ot 9 месяцев назад
nyinyi mnazuia ujingaa kama hayo mambo yangeyakuteni nyie
@user-dh8zf3ky3v
@user-dh8zf3ky3v 10 месяцев назад
Waha ni kiboko
@fredrickyakobo
@fredrickyakobo Год назад
Mtumaini Mungu aliye hai,, ndiye mokozi wet na ni mweza wa vyote acheni kuamin Imani za kishirikina.. MUNGU YUPO
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 Год назад
Usiombe yakupate yaliyowapata watu wako
@user-ph9od1ug1g
@user-ph9od1ug1g Год назад
Nimetaman kijijin kwetu tatizo ni hilo tu uchawi.mimi ni nimezaliwa hapo niesomea hapo
@HolgerBrugger-ix6wm
@HolgerBrugger-ix6wm 4 месяца назад
Kenya kunawachawi huyo präsentiert wa kenya piyeye anajuwa wile wachawi wanauwa watu abadilishe yoyote ambaye nimuchawi ajulikane ahakikishe kile kisherija cha kenya siile yakuwa wanaongeya ukweli musidarau raiyawenu niukweli wile wanaongeya
@HolgerBrugger-ix6wm
@HolgerBrugger-ix6wm 4 месяца назад
Watu kenya kunawachawi wachawi wanauwa kwahivyo itokane sheriya yakuwa kama mutu nimuchawi apelekwe kiaponi ? Siile munawatharu wile waongeya hiyo heiendi naomba sheriya yakenya ibadilike sikuuwana ovoovo wachawi wa onyeshwe tuko na präsent von kenya gut präsent gut ist?
@EphataPallangyo
@EphataPallangyo 8 месяцев назад
Usiache mwanamke mchaw ahish neno last mungo linasema😂
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 месяцев назад
Hawa wapo karne ya ngapi ninyi huo ni umasini tu unawasumbua mpe Yesu maisha yenu muone wataroga nina
@thomasmmoka4884
@thomasmmoka4884 Год назад
Tatizo kubwa ni ukosefu wa elimu katika wilaya ya Uvinza.Watoto wengi hawapati elimu ya shule ya Msingi na sekondari.Shule za Msingi na sekondari ni chache sana ukilinganisha na idadi ya watoto.Kwa mfano, kata moja yenye vijiji 7 vikubwa ina sekondari moja tu. Napendekeza njia hizi ili kuondoa au kupunguza ushirikina na uchawi wilayani Uvinza na Kigoma kwa ujumla:1. Kujengwa shule za Msingi na sekondari nyingi 2. Kuhamasisha watoto kusoma shule za Msingi na sekondari 3.Viongozi wa Dini kuhubiri na kukemea sana Imani za ushirikina na uchawi.4.serikali ya wilaya kufanya vikao na wazee mbalimbali katika kata katika kupinga Imani za ushirikina na uchawi.
@modestusmayowa-vc4gj
@modestusmayowa-vc4gj 10 месяцев назад
Uko sahih kabsa.....!! 🙌
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 10 месяцев назад
Jamani!!!.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 11 месяцев назад
Safi sana Mkuu wa wilaya kwa msimamo thabiti usiyoyumba!
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 8 месяцев назад
Wee utakuwa mchawii
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 8 месяцев назад
Kwaiyo wewe unapenda kufatu
@barakaalfonce
@barakaalfonce Год назад
Hauwezi kuzuia giga kwa Giza Bali Bali utaishinda kwa Nuru mwamposa yupo kigoma nendeni kawakamate waganga na wachawi
@zakayokajoro
@zakayokajoro 11 месяцев назад
Anaogopa kufa, wew unasema yu kwa kuwa hayajawahi kukukuta. Me nilitoroka nyumbani, vijana wenzangu wote wameshafariki
@stevensosipita
@stevensosipita 9 месяцев назад
MKUU WA WILAYA ANAONEKANA NI MCHAWI MKUBWA ANAOGOPA KUUMBUKA
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 месяцев назад
Juzi tumerudi kutoka kin'gombe rukwa hukohuko kijiji kizima kilitaharuki mhangaika na kamchape ndo wachawi haohao chukua namba tunakuja tupo dar
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 Год назад
Je? Mmewezaje kuwasaidia wanaofanyiwa huo uchawi ? Hatakama serikali haiamini uchawi mnawasaidiaje hao wanaologwa
@mussabuhe8881
@mussabuhe8881 Год назад
mrogeni na huyu mama wachawi oyeeee anzeni na huyu mama nawapenda sana wachawi
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 11 месяцев назад
We noma wachawi oyeeeeeee
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Год назад
Kwani hao viongozi hawatoki miongoni mwa hawa wananchi hawajui uchawi wa ache ujinga
@elyotchisanga138
@elyotchisanga138 Год назад
Mtafuteni Mungu kwanza hawo waganga, ni matatizo matupu juu ya matizo
@karimabdall5322
@karimabdall5322 9 месяцев назад
Mienamini,kua uchawi,upo.wanaichiwacheniwafanyekaziyawo.umumeogopakuwanadaniyaviyogazikupatikanawachaw?
@officialmrangi5517
@officialmrangi5517 8 месяцев назад
Na mimi ntakuja kutoa we ngoja
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 9 месяцев назад
Kigoma Bado tukonyuma sanna ushirikina time endekeza niwapi ambapo watuhawafi
@lazarousmk-ck6pz
@lazarousmk-ck6pz 9 месяцев назад
Kama sijakosea Kuna mwaka mkuu wa nchi aliruhusu lambalamba kukamata hiyo mizigo kutoka kwa wachawi nime miss yule raisi angekuwepo mabo yangekuwa sawa
@user-rh7lv6hp4k
@user-rh7lv6hp4k 8 месяцев назад
Inatakiwa wachapwe hawo ndiyo wanafanya mambo yasiende
@RichardJailo-pp7kj
@RichardJailo-pp7kj Год назад
Yan watanzania du
@fitinabwashi8487
@fitinabwashi8487 10 месяцев назад
Sunuka papaya kweli
@abeliantony7085
@abeliantony7085 11 месяцев назад
Mnaokataa uchawi wakati wa sungusungu mlikuwa bado wadogo? Wachawi walikuwa wanachapwa hadi wanafata matunguli yao halafu nyie mnasema uchawi haupo?
@jestonelazaro6543
@jestonelazaro6543 Год назад
Mwampoza akienda huku atarudi hata benk mzigo umehama
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 Год назад
Hadi leo hii katika ulimwengu uliojaa elimu bado binaadamu tunaamini utapeli wa wanaojiita waganga wa kienyeji.
@kenedmwakaswaga2098
@kenedmwakaswaga2098 11 месяцев назад
Tena utakuta na wewe ni mmoja wao
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 11 месяцев назад
Ongelea tumboni usiombe yakukute
@BaruaniAlly
@BaruaniAlly 10 месяцев назад
Au Kati ya wa
@user-ph8fp3oo7g
@user-ph8fp3oo7g 9 месяцев назад
Dawa ni kuokoka tu siyo waganga Yesu yupo hai ndugu zangu
@sabatosabibi8791
@sabatosabibi8791 Год назад
Acha watumbuliwe wachawi wapo hata biblia inakubali uchawi upo baraki na balam
@erastoshulitse5865
@erastoshulitse5865 Год назад
Hujalogwa
@michaelmaja-1699
@michaelmaja-1699 10 месяцев назад
Huyo mkuu wa wilaya ni wa kutom... kwanza ataaminitu kwamba uchawi upo.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 месяцев назад
Hata kala tumeenda pale kasante jpili watu wanatoka kwenye misa wanapitq kwenye mkutano wetu wananguka mapepo kijiji kizima hekaheka waulize kala rambaramba ni matapeli wenye viini macho tu
@imaniabubakari6351
@imaniabubakari6351 10 месяцев назад
Wachawi wahame acha msako uenderee ttz naviongozi wawilaya mnaogopa kulogwa ndomaana mme onakama hiyo opreshni nitatz jeee wakisidi kuuwawa wananchi kishirikina nawananchi wakagoma kua wanazika mtafanyaje maana wamechoka kuzika migomba nawewe unae wakingia kifua wachawi endapo wamekufa wananchi wote utamwongoza nani
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 11 месяцев назад
Wachawi mligeni mkuu was wilaya ajue uchawi upo
@kisakanzotah5861
@kisakanzotah5861 7 месяцев назад
Je shetani aweza kumtoa shetani???Soma Marko.Mtu asiwadanganye
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 9 месяцев назад
Shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake ufalme wake utakiwa umefitinika.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 месяцев назад
Hawa hawataki Mungu wanataka shetani
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 10 месяцев назад
Okokeni.nyie watu
Далее
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
WILAYA YA KASULU, KIGOMA KUNA MENGI YA KUJIVUNIA
9:58