Тёмный

Musukuma aweka wazi utajiri wake, Ndege, VXR, na MIJENGO anayomiliki; ajibu wanaosema amehongwa V8 

Mwananchi Digital
Подписаться 983 тыс.
Просмотров 365 тыс.
50% 1

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma akieleza utajiri alionao wakati akiwajibu wanaosema kwamba amehongwa gari aina ya V8 ili atetee sakata uwekezaji kwenye Bandari.

Опубликовано:

 

8 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 423   
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 Год назад
msukuma ni mfanyabiashara mkongwe wa DHAHABU tangia miaka ya 80,,,,,ni mtu mwenye utajiri Long time na wala sio mtu wakujiskia saana ni mtu simpo saana pia ni mtu wa watu,,,,,ana real eastate kanda ya ziwa bab kubwa..pia ana kamuni za transport na etc
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Msukuma shikamoo!! nakupenda toka rohoni Mungu akulinde baba yetu
@user-mj1hq3fn1m
@user-mj1hq3fn1m 10 месяцев назад
Shukran msukuma swali umefanya wema mzuri sana na je wewe ni mwislam au mkristo maana naona unapendeza sana
@mosesbaruti306
@mosesbaruti306 3 месяца назад
Ninachukia sana kutoka moyoni Nchi yetu na Watanzania kuitwa masini,Namuombea Mungu ampe mama yetu Rais wetu Samia Suluhu Hassani ujasiri wa maamuzi mazito.
@PauloPetro-nv6pi
@PauloPetro-nv6pi 8 месяцев назад
Hongeraa sanaaa MUNGU akufanikishe katika mambo yote
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 4 месяца назад
Nchi Hii Wasomi Ndio Kikwazo Hongera Sana Dr.Msukuma
@gloryjacson
@gloryjacson 8 месяцев назад
Hongera brother unamalengo mazuri sana umefika pazuri sana mbunge tajiri
@rosechuwa9493
@rosechuwa9493 Год назад
Huyu mwamba namkubali sana, msukuma mungu akubariki sana wewe ni hazina muhimu sana hapa Tanzania
@ramadhanihamisi9393
@ramadhanihamisi9393 11 месяцев назад
Wananchi was geita mnakila sababu ya kujivunia kwa mbunge mlie nae ni jembe msukuma namkubali Sana akisimama bungeni utafurahi mungu akulinde na Kila baya
@AndrewMasaga
@AndrewMasaga 11 месяцев назад
Hakuna lolote tunataka ndege yetu
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 8 месяцев назад
Naomba mawasiliani yako mheshimiwa uko vizuri Sana kimtazamo
@JohnSteven-ox3pv
@JohnSteven-ox3pv 3 месяца назад
Dah.. doctor msukuma me nakuomba uje ugombee uraisi maana asaiv c.v unayo ya usomi so nakuona mbali sana ndg yangu ❤❤❤ tunataka uje kua raisi wetu bhn....
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 8 месяцев назад
Msukuma uko vizuri Sana kaka naomba nmawasiliano yako kaka
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe Год назад
Mashaallah watu heshimu msio wajua ache dharau
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 4 месяца назад
Hongera kaka uko vzr kiukweli huna shida
@withomsigala4389
@withomsigala4389 Год назад
Hongera sana kwa majukumu ya kazi ya kuwatetea wanyonge Mheshimiwa Mbunge Msukuma
@patriceomolo232
@patriceomolo232 2 месяца назад
Asante sana msukuma you are a good man. May God bless you and provide for you long life. You speak the truth
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty Год назад
Msukuma uko vizuri umewapigilia msumari wa moto
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Год назад
King msukuma Ly umeuwa huo ndio ukweli Mungu akubarik %100
@user-pc1cs6nd4y
@user-pc1cs6nd4y 2 месяца назад
Msukuma salute kula yangu kwako
@daudifungo5521
@daudifungo5521 2 месяца назад
Sana Mzee Baba Kazi Iendelee Umetisha Sana Waache Majungu Watafute Pesa
@salminasalim5630
@salminasalim5630 11 месяцев назад
Mheshimiwa Dr. Tafadhali njoo kwetu Umfundishe mbunge wa Bukoba vijijini asaidie wananchi wake hata maji hakuna watu wanakunywa maji yanayo nyweshea Ng'ombe na wakati wa kuomba........
@Zubaiba
@Zubaiba 2 месяца назад
Mungu akubariki mbunge msukuma, nakupenda sana ❤
@LukasiJeremiah
@LukasiJeremiah 3 месяца назад
Hongera bro uraisi unakufaa chukua fomu ya mgombea
@DanielKagoma-nx8ff
@DanielKagoma-nx8ff 4 месяца назад
Kaka msukuma uko vizuri Mungu akubariki Sana tunakuombea Sana Mimi Niko Tabora mjini naomba namba zako mkuu naitwa Daniel kagoma
@winnerkondejunior1890
@winnerkondejunior1890 7 месяцев назад
MH Musukuma myooshe. From Mozambique
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Год назад
Msukuma hongera sana,naomba ninunulie japo IST niendee Kanisani, sio kwa utajiri huo.
@emmanuelmauki2938
@emmanuelmauki2938 Год назад
🤣🤣🤣
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Год назад
@@emmanuelmauki2938 Emmanuel nimechoka kutembea na boda wakati wengine wanautajiri wote huo.Msukuma anielewe tu.Yaaani IST tu na Mungu atazidi kumbariki.
@musasaguti4760
@musasaguti4760 5 месяцев назад
Musukuma uko vizuri, huna baya mdogo wangu
@metusalnganga1002
@metusalnganga1002 Год назад
Msukuma Big up🎉🎉🎉🎉
@robertpaul7714
@robertpaul7714 Год назад
Nilichokiona humu watu mna makasiriko sana tafteni hela acheni kelele mtabakia kutoa comments za kutukana bure tu hii nchi usijifanye unaijua sana we kua mzalendo tu pia fanya kazi kwa bidii 💴💸
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Год назад
Kwa kweli watu wanamakasiriko na roho mbaya!
@Bikhafija
@Bikhafija Год назад
Mungu akujaalie
@praygodmunisi8999
@praygodmunisi8999 Год назад
😂aliye mchokoza msukuma kazi anayo,, Siyo Kwa michambo hiyo😂😂
@abdulsataribashiri8300
@abdulsataribashiri8300 Год назад
😅😅
@PamelaJonas-dh6lg
@PamelaJonas-dh6lg Год назад
😂😂😂😂😂 nimecheka nimecheka tena😂😂😂😂😂😂 yan msukuma namkubali sana
@abdulsataribashiri8300
@abdulsataribashiri8300 Год назад
@@PamelaJonas-dh6lg 🤣🤣🤣🤣balaa
@farajamwakifuna303
@farajamwakifuna303 4 месяца назад
Respect sana Mheshimiwa
@user-px6px4tf2g
@user-px6px4tf2g 9 месяцев назад
Mungu akulinde na maaadui uishi miaka ming
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 Год назад
Hongera msukuma wewe ni mbunge wa kwanza kuwajali watu wa jimbo lako na hakuna aliefanya kama wewe hata magufuli hakuwahi kufanya jimboni kwake wape ukweli hawo waliohongwa kupinga huo uwekezaji nadhani hao wanafaidika na ule wizi mkubwa unaofanya bandarini wacheni wapige kelele bandari itaingia ubia washenzi
@aidatimakunda387
@aidatimakunda387 Год назад
Kwa kweli Big up MP. Msukuma
@EdithaMgoha-jy7ev
@EdithaMgoha-jy7ev 8 месяцев назад
Mungu akujalie Baba wa wetu achana na maneno ya wakosaji
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 10 месяцев назад
Hongera baba mungu akubariki sana umeaso sana
@mussamkumbukwa5053
@mussamkumbukwa5053 2 месяца назад
Safi Mh Msukuma umesema ukwelii.
@hafidhbarau9981
@hafidhbarau9981 Год назад
Mungu akubariki brother, mungu akulinde na maadui wako, mungu azibariki Mali zako, mungu akupe moyo wa huruma na upendo uwe na moyo wa kuwasaidia wasiojiweza pamoja na wananchi wako,
@kaburaprince3596
@kaburaprince3596 Год назад
Helo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Kazi kazi , Jembe kama Jembe
@deusvincent1489
@deusvincent1489 Год назад
Bandari sawa lakini sio kwa Mkataba huo Kaka. Povu jingi linatushangaza.
@rashidlwengo6940
@rashidlwengo6940 Год назад
Kasheku msukuma we Ni noma PhD ilikuwa haki yako baba
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Год назад
Sema umeongea sana facts your the best
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Год назад
Acha uninga kuna facts gani happ
@ramadhanihamisi9393
@ramadhanihamisi9393 11 месяцев назад
Bradha msukuma mm binafusi nakukubali hoja na ushauri unao shauri serekali au mtu binafusi bigapu mungu akulinde na Kila baya zaidi akuongeze riziki zaidi
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 4 месяца назад
Hongera musukuma
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 месяца назад
Hawakukujui hao kua wew ni king
@SashaOscar
@SashaOscar 4 месяца назад
Nampenda xana msukuma, Mungu ampe maisha marefu
@NurudiniNdoka
@NurudiniNdoka Месяц назад
Safi sana msukuma.
@user-wb5pk9km5o
@user-wb5pk9km5o 8 месяцев назад
Ni kweli uliniuzia simu mbovu Ta nga ugomvi ulimalizwa na Mfanya biashara mmoja wa kiasia aliyerudisha pesa zangu na kunisihi nimwachie simu take ugomvi ukaishia hapo kumbe ni home boy wangu Swagger wazijua
@wachachesana
@wachachesana Год назад
Nakubali sana mbunge wangu vijijini geita
@meroymollel9156
@meroymollel9156 Год назад
Hongera sana Mh. msukuma
@BinifaceDominick
@BinifaceDominick 22 дня назад
Ni kweli brow your a good leader
@josephdaniel7341
@josephdaniel7341 Год назад
Mh Msukuma .Mimi naomba Unisaidie hata mtaji wa ml 2,000,000/= Ninashida sana ..
@MaatumKadhi-dl8xg
@MaatumKadhi-dl8xg Год назад
Mm naomba unikopeshe laki 4 tuu musukuma
@MshamAbdul-jn6rj
@MshamAbdul-jn6rj Год назад
Namba yako
@MaatumKadhi-dl8xg
@MaatumKadhi-dl8xg Год назад
@@MshamAbdul-jn6rj ww ndye musukuma
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
Jamani aliemchokoza msukma akamuombe msamaaa
@PamelaJonas-dh6lg
@PamelaJonas-dh6lg Год назад
Nakweli aende tu maana kachooza moto
@abadharkhamis5909
@abadharkhamis5909 Год назад
Mskuma umetisha sana
@amimumufaumekikwasa5921
@amimumufaumekikwasa5921 10 месяцев назад
Mzee upo asahihi kabisa unafudha watu jisi ya kuishi na watu, na kukubali mzee wangu.
@user-zn7vw3pj6p
@user-zn7vw3pj6p 7 месяцев назад
Kaka Nakuelewasana.barikiwasana
@johnginni9926
@johnginni9926 Год назад
We mpigaji tu na ukianza Kwa msukuma mwenziee
@mambotv1233
@mambotv1233 Год назад
Hongera sana msukuma
@AdamLeyan
@AdamLeyan 18 часов назад
Msukuma uko vizuri baba
@gindamaster1784
@gindamaster1784 Год назад
Men lie women lie, numbers don't lie. Kudos Msukuma, am inspired
@jdanny497
@jdanny497 Год назад
Danganya Dar na Dodoma sio mwanza
@noramkendamunishi6902
@noramkendamunishi6902 Год назад
Si kweli. Kuwa na hela hakuzuii kupokea rushwa. Ila Kama hajapokea ni vizuri Sana. Ila swali langu kazi ya mbunge ni kutoa misaada kwa wananchi au kufikisha hoja za wananchi bungeni na kuziweka kwa ufasaha ziweze kufanyiwa kazi na serikali?
@GaudenceTesha
@GaudenceTesha 11 месяцев назад
Halo sawa mku
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 3 месяца назад
Wabunge wote wangeliikuwa kama msukuma nchi ingepiga hatua kwa mda mfupi sana hongera sana msukuma
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 месяцев назад
Hongera sana ndugu
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
King msukuma
@sofiamfaramago3820
@sofiamfaramago3820 11 месяцев назад
Kaaah sawa baba !
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Big up msukuma
@hamadmhchande5633
@hamadmhchande5633 3 месяца назад
Acheni unafiki hivi viblog uchwara tangia lini anamiliki ndege msukuma?
@FulbertFisoo
@FulbertFisoo Год назад
Kwani ukiwa tajiri unashindwa kuhongwa kubali kuwa umekula unga wa ndere kwa hilo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Год назад
Tanzania mabilionea wako wengi Sana sema wamejificha tu na awataki kujionyesha
@irhamseif
@irhamseif Год назад
Kama uyu nikitambo ela anayo sana madin mabasi na mfugaji mzuli sana ng'ombe kibao
@Bikhafija
@Bikhafija Год назад
Mashaalh
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 Год назад
Msukuma shikamooo, mwenye namna ya kupata namba ya msukuma ninaomba aisogeze hapa
@FidelisiKavishe
@FidelisiKavishe 3 месяца назад
Msukuma hongera baba chukua maua yak❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 7 месяцев назад
Uyu jamaa kiongoz mzur
@MrNibiru2112
@MrNibiru2112 Год назад
Msukuma unaweza kumuelewa kama elimu yako inalingana na yake.Ukimaliza kukomenti tuandikie na level ya elimu yako pia
@user-cg5ly5rg8z
@user-cg5ly5rg8z Год назад
Nimekuelewa sana mbunge
@kaburaprince3596
@kaburaprince3596 Год назад
Asanteni
@adinanimussa5484
@adinanimussa5484 Год назад
King Msukuma👍
@davidpaulbernard
@davidpaulbernard 10 месяцев назад
Suala la kuwa na pesa nyingi haliwezi kukuzuia wewe kuhongwa na ninafikiri kuhongwa unaweza hongwa tu hata Kama una ndege
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 3 месяца назад
Hizo ni fitna zako na roho mbaya yako msukuma si jamaa yangu lkn ni mtu mkweli na amekinai na asili ya utajiri wake ni juhudi zake kabla ya ubunge na mwenyezi mungu akaweka baraka zake nyie ndio watu wenye siasa za kifitna fitna mtakufa vinywa wazi na laana yenu hiyo
@prosperkimaro4660
@prosperkimaro4660 10 месяцев назад
Mwbamba upo vizuri
@khatimushabani3941
@khatimushabani3941 Год назад
Nakubali kaka
@janethedward4631
@janethedward4631 Год назад
Tatizo la Tanzania wengi wao awajishuhulishi 1)wanaume wazoea kuongwa 2) wanawake wamezoea kujiuza Japo c wote awapendi kazi wanaume wamezoea kumshusha suruali matakoni nywele kueka dawa starehe nyingi, nguo, Sasa Mtu anaenda kununua kiatu 70000 wakati anaweza nunua mbuzi 3 wakufuga Kwa mwaka ana mbuzi Wangapi !!!? Mtu anaenda nunua jinsi 30000 niela ya kuku wakufuga unapata kuku 6 Kwa mwaka ana kuku Wangapi na Ndo mana akiona Mtu ana maendeleo km msukuma wawatu utasikia mwinzi mara frimanson sio kununua bandar tu nunua na Zanzibar kabisa baba
@detlantamarooned1809
@detlantamarooned1809 Год назад
Mimi nanunua kiatu 90,000 na suruali hata ya 45,000 au ziadi. Kununua suruali au kiatu cha gharama haikufanyi uwe masikini,ila jambo la kuzingatia ni kwamba mahitaji yaendane na kipato chako. By the way,hela ninayo ya kutosha.
@joyceassey2347
@joyceassey2347 Год назад
@@detlantamarooned1809 eeeee kaka mwenye mihela tugawane basi😅
@detlantamarooned1809
@detlantamarooned1809 Год назад
@@joyceassey2347 Usijali,tutagawana tu bila tatizo nikikuoa😂😂😂
@joyceassey2347
@joyceassey2347 Год назад
@@detlantamarooned1809 daaah mpaka unione jmn
@joyceassey2347
@joyceassey2347 Год назад
@@detlantamarooned1809 🤣🤣🤣
@valenakomba7686
@valenakomba7686 8 месяцев назад
HONGERA SANAA NDUGU MSUKUMAA. KUSOMA SANAA , HAIMAANA NDO UNAAKILI SANAA. AKILI MTU ANAZALIWA NAYO. WAPE SIRI YA MAFANIKIO YAKOO.
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 2 месяца назад
Siku naambiwa jamaa ana miaka 60 nikaendelea kushangaa sana.
@ZionTZ09
@ZionTZ09 Год назад
Msukuma kwamba Mbowe anakosa nauli kwenda nje? hahahahahah msukuma kua serious kaka.
@castorymhoja6050
@castorymhoja6050 Год назад
Nilikuamia Sana kwenye bunge lakini kwa Sasa Niko na mashaka Sana na wewe kumbe wafanya biashara mko hivyo du
@SammitindoJeremia-jv4qb
@SammitindoJeremia-jv4qb 11 месяцев назад
Daaaah umetisha mzeebaba uko vizuri sana
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Год назад
Msukuma nakukubali sana ,ila kiukweli ile gari ni zao la pesa ya kuhongwa utetee bandari!
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 Год назад
Kwa hiyo kule Zanzibar wao hawataki maendeleo. Ama kwa kweli akili zenu wabunge mnazijua wenyewe. Wewe ulichokiona cha maana ni yale makontena kushushwa kisasa tu, mbona hauzubgumzii uhalali wa mkataba.
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 Год назад
Robort zitaondoa Ajira Kwa Vijana Wa Tanzania. Siyo Kila Tecnologia Inafaa Kwa Manufaa ya Wengi.
@NoelChikawe
@NoelChikawe 10 месяцев назад
Kavae kwanza ndio useme sawa toto
@user-jo3ip7zq9j
@user-jo3ip7zq9j 11 месяцев назад
Mheshimiwa athanasius na vyako mbona kimya kuhusu bandari.
@Goodlucklucas
@Goodlucklucas Год назад
Alie muelewa Mh: Msukuma like ziko wapi watu tunataka tukakae Ulaya we unaturudisha tukakae vijijini
@MrNibiru2112
@MrNibiru2112 Год назад
Watu wachache bandrini unasema wewe, ajira zitaongezeka dar unasema wewe...wacha tuuzwe tu
@SelemaniMajengo-fg7nv
@SelemaniMajengo-fg7nv 23 дня назад
Aisee! Acha tu. Wamekuchokoza wenyewe wape maneno
@jacksonjosephmollel3833
@jacksonjosephmollel3833 3 месяца назад
Naombeni namba ya MUSUKUMA...
@user-hv6pc8kq5c
@user-hv6pc8kq5c 10 месяцев назад
Tajiri tu
@user-el2qg1zj4l
@user-el2qg1zj4l Год назад
Hongera
@user-ok3ws8jl2s
@user-ok3ws8jl2s Год назад
Kumbe watu mnamali kama izo kule kijijini mlo mmoja mtu kwa siku halafu wote ni watz duuuuh Mungu mkubwa
@malikkb6444
@malikkb6444 Год назад
Tatizo la Watanzania hawapendi kusoma. Wengi wanaolalamika ukiwauliza hawana facts. Watanzania tunapenda umbea.
@josephmutalemwa1461
@josephmutalemwa1461 Год назад
Upewe maua yako mzee safi sana
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 3 месяца назад
Ukweli ni ukweli sawa baba you big up
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Год назад
Safi m'bunge ayo ndo mambo tunayo yataka bandari ya kisasa sio maneno ya kuku kashifu mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe
@shurungubunzari9474
@shurungubunzari9474 9 месяцев назад
Yes my boss
@bensonmasawa4749
@bensonmasawa4749 Год назад
Ifike wakati wene pesa, wenye elimu na wenye vipaji tuheshimiane na kila mtu afanye kwa nafasi yake. Kwenye mambo ya sheria na biashara za kimataifa, Musukuma waachie wasomi. Kuwa na pesa zaidi yao haina maana unaelewa kila kitu kuliko wao. Tumejengwa tofauti na kazi ilotuleta duniani ni tofauti. Nikihitaji nyumba nitamtafuta mwashi sio wew, nikiumwa nitamtafuta daktari sio wewe, nikihitaji kiti nitamtafuta selemala sio wewe na nikihitaji kujua bandari nitawatafuta wataalamu husika sio wewe. Acha wasomi waplay part yao. wamejengwa kufanya hayo, na wasipowajibika kuhoji na kudadisi kesho ya mimi, wewe, watt na wajukuu wetu haiwezi kuwa salama. Darasani walifundishwa kuiangalia historia, kuyaelewa mazingira ya sasa na kuitabiri kesho yetu tuwaache waisome na kuichambua hio mikataba. kufanya ubabae wa madaraka na fedha kuwaziba midono ni hatari kwa ustawi wa taifa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Год назад
👃
@mringoarts3710
@mringoarts3710 Год назад
Tatuta ela tu, msukuma kitu ingine aisee unaongea sana
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 Год назад
​@@mringoarts3710ela za kwake nyoko wewe
@bensonmasawa4749
@bensonmasawa4749 Год назад
@@mringoarts3710 Unafikiria pafupi mno! Create as much value as you can. Jamii ya wasakatonge haiwezi kuwa na maendeleo kamwe. Just imagine kila mtu amedrop out kaamua kutafuta pesa, utaishi dunia gani miaka 10 ijayo? Utatamba kuwa na private jet na hakuna rubani wa kuirusha? Utatamba na Iphone 14 na hakuna mutu anaejua elecronics? Utatamba na afya njema na hakuna mtu anakesha maabara kujifunza magonjwa na tiba zake? Tabibu atibu kwa uwezo wake wote, mwashi ajenge kwa kasi na ufanisi wa hali ya juu zaidi, Seremala aunde samani bora na za kupendeza... pesa ivutwe kwa kazi za mikono na akili zetu, tusiikimbize. Hapo ndo tutajenga jamii bora, hapo tutajenga maisha yenye maana.
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 Год назад
​@@bensonmasawa4749 Benson mimi nimeishià lapili lakini umeongea point MUNGU wambinguni akubaliki saana 🙏🙏🙏
@eliahonline3405
@eliahonline3405 8 месяцев назад
Msukuma namjua vzr sana toka akiwa diwani wa kata ya nzera, alikuwa anamiliki gali ya kifahari
@masoudymichael
@masoudymichael Год назад
Wote mlioenda Dubai mtatema hela za Dubai hatuwapi kura na bandari hamuuzi kitaumana huku mtaani
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 Год назад
😀
Далее
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 297 тыс.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 11 млн
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 14 тыс.
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 297 тыс.