Masha Allah karibu sana Tanzania yote pia Mola akujaalie ufike na Dodoma uislam upo nyuma sana hasa pale tulihamia sisi panaitwa Chahwa tunapambanana tujenge msikiti juhudi Yako kwa ajili ya Allah tunahitaji ndg yetu
Jazaakallah Ikhair shekh Ramadhan Mwenyeez Mungu akusimamie katika kazi ya dawa kwa kuendelea kuutangaza uislam kwa kutufundisha hata sisi tulio waislam nilitamani sana uje tena Tanzania tunakupenda sana kwa ajili Allah ndugu yetu katika imani
Allah akulinde na kila aina ya shari na Allah akutangulie kwa kila hatua Sheikh RAMADHAN AMEEN. Ya Allah tulindie Masheikh wetu wote duniani na uwazidishie umri ulikua na manufaa na elmu ilikua na maarifa ili tuzidi kunufaika AMEEN YARABB
Alhamdulilah. Hakika Allah akupe umri mrf uzid kufikisha dawaa na akuondolee vikwazo uweze kuendeleza dini ambayo haina shaka ndani yake. Rabbana Ayaa Rabbana.