Masha Allah mada nzuri sana kutoka kwa wahadhiri wetu Ex bishop issa John na ustadh Ramadan.ALLAH azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilingania dini ya haki. Mama Leilah (-Nairobi (
Tatizo lenu mnaona watu wote niwaongo kama wachungaji wenu? Kwanza maandiko kama haya kanisani hayagusiwi hata kidogo, na kurudi kanisani utasubiri sana, ningetoa andiko ingekua vizuri
@@jaidulsekh1157 umezua hayo kutoka wapi? Waislamu wana mapepo vipi hali ya kuwa ni watu ambao wana Mila yao. Je wewe unafuata Mila ipi au ni ile ya wa Rumi. Unazusha eh ! unajua hivyo? Yaani haujali unalolisema bali unatamka lolote unalodhania.
Efeso 1;15 eti inamaanisha arabuni nchi u are possessed by evil jinns walioko msikitini ex bishop soma Biblia vizuri kuna arabuni inayomaanisha guaranteed na Arabuni nchi ukuwa mwongo usijisahahu
Mna macho nyie wakristo lakini nyie ni vipofu...tangu lini Arabuni nchi ya Arabia ikamaanisha guarantee? Mmesoma nn nyie wakristo? Mbona mwaipinga biblia yenu? Ubaya wenu mmejaa matusi badala ya kunyenyekea na mfundishwe vile Mungu anataka. Ikiwa hamtambui wala hamumjui yesu nyie wakristo,vipi mtafahamu mafundisho yake?
@@adijahmunyasia1449 kaka kama we ni mwelewa usilipinge kwa maneno yako ama kuutetea uongo wa huyo John Ila enda kwa maandiko soma uone tofauti Kwanza jua ndani ya Biblia kuna tofauti ya herufi kubwa na ndogo sasa basi ukipata herufi kubwa kaanza kama Arabuni jua ni nchi ila ukipata ndogo kama arabuni jua ni earnest ama guaranteed kama na kama wapinga sema nikupe mafungu uyasome mwenyewe ndipo we uloliofungwa macho uone uongo wa shehk wako kaka usiwe wa kurubuka bila kujua upingalo
@@adijahmunyasia1449 nyinyi vipofu mnaambiwa Quran 10:94 mchukuwe mawaitha kutoka kwetu na hamtaki qurani ililiwa na mnyama wa kufugwa ati ikila tunda la twende na unywe sumu haufi wajidanganya nyinyi vipofu someni bibilia
@@jaidulsekh1157 ww wazimu nn? Utafuataje mawaidha ya watu wasiojielewa uwepo wao? Utachukua vipi mawaidha ya watu wachafu duniani kuliko hata shetani? Nyie wakristo mpo mpo tu hata hamkijui mnachokiabudu wala kukiamini...biblia yenu huandikwa kila mwaka na yeyote yule atakayejitengezea kanisa..vipi tutwafuata iwapo nyie hamna mwelekeo wala msimamo katika dini yenu ya upagani hiyo? Hebu nitolee aya kwenye biblia yako isemayo kuwa "ukristo ni dini" ama "ukristo ni dini ya Mungu"...wacha kujiaibisha ukristo ni upagani na huo ndio ukweli mchungu
Muhadhir tahadhar vipi unasema, "Wallahi, leo huyo akisilimu naondoka naye kwenda Tanzania." !! Huenda ulitaka kusema in sha Allah. Lakini cheo chako hapo ni cha Mwalimu. Kwa hivyo, ujue wengi hapo ni wanafunzi.....
Kama Ismail ni mwarabu ni VIP tena akajifundisha kiarabu kwa wajulhum, hadithi ya mpokezaji ibin abash.. Na kama kufatia Q 35:24 kama kila taifa paliletwa mwonyaji bas huyo Ismail na Mohammad nani alotumwa kuwa mwonyaji mukidai Ismail ni mtume was kiarabu
Hata ueleweki, nabii Mohammad alitokana na kizazi cha ISMAIL, na unaposema kajifunza kiarabu wakati tulisema alikua mwarabu basi wewe bado uko nyuma, nabii Mohammad na yesu wote chimbuko lao ni kizazi cha nabii IBRAHIM
Ismail ametoka kwa mumisri mamake na babake ni Mhebrew iweje Leo hii mueke Dhana kuwa ni mwarabu akaja jangwani akapatana na wajulhum wakamfunza kiarabu hamwoni wafunza uongo eti Ismail ni ukoo wa Mohammad
@@kongowearaphael9339 yani wewe sijui umetokea wapi maana hatujui tukusaidieje!!hapo ndio ulitaka ufatwe inbox na elimu yako duni? IBRAHIM alimuwa Sara wakaishi miaka mingi bila ya mtoto, kisha Sara akamwambia IBRAHIM awe na Hajjiri ili kupata mtoto ambapo Hajjiri alikua mjakazi, ndio akapatikana nabii ISMAIL,na huyu Hajjiri alikua ametoka uarabuni, Sara mkewe IBRAHIM alipoona Hajjiri amepata mtoto alimfukuza,baada ya kutembea masafa marefu maji yalimwishia bi Hajjri na alikua amechoka sana ndio akamlaza mwanawe ambae ni nabii ISMAIL chini akaanza kukimbia huku na kule kutafuta maji, kisa akatokewa na malaika akamwambia amchukue mtoto, alipomuenua alipata chemchem ya maji hapo,na ndio mpaka sasa maji ya zamzam yanatoka apo na hakuna maji yoyote ambayo yana fanana na maji ya zamzam, yani yako tofauti kabisa