Wanaharakati na Wakaazi wa Taveta mpakani mwa Kenya na Tanzania kaunti ya Taita Taveta wanaendeleza maandamano ya amani wakimsuta mbunge wa Taveta John Okano Bwire kwa kile wanachokitaja kuwa kutokuwa na imani na afisi yake.
This is what Kenya needs. Tupunguze wizi wa pesa za uma. The money collected as taxes is enough for 56M Kenyans, but it goes into the pockets of a few.