Тёмный

WAKILI MAHAKAMA KUU AIBUA MAPYA SAKATA LA BINTI YOMBO BAADA YA WATUHUMIWA KUKANA MASHTAKA 

EastAfricaRadio
Подписаться 510 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@user-pq8vu9mu7q
@user-pq8vu9mu7q 22 дня назад
Tukishindwa mahakamani tutaenda kwa sangoma dudu zao zioze
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 21 день назад
Kabsaaa na uyo afande atokwe dam mbaka afe yye ndio ario sababisha yote ayo ndio ariewatuma na kuwaripa tutamsaidya hata pesa ya kuchangia aende kwa sangoma tutaungana
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 21 день назад
Mungu yupo na tunamtegemea lkn na binadamu tunatakiwa tupambane huu unyama ukome
@brayanmfangavo3546
@brayanmfangavo3546 22 дня назад
Aisee
@danielhumble4292
@danielhumble4292 21 день назад
Very smart adv.
@KareemDully
@KareemDully 22 дня назад
Na ile video sitaamini kua ni yakutengenezwa . Labda nguvu ya pesa ifanye kazi yeke
@KareemDully
@KareemDully 22 дня назад
Je na wao wataweza kutusibitishia kielectronic kwamba videos zile zilitengenezwa? Sio kukataa tu
@AshuraIssa-no1hu
@AshuraIssa-no1hu 22 дня назад
Yaani Leo mnawaziba sura wakati ss tushaona mpk mboro zao
@FatmaAlabri-lz2cw
@FatmaAlabri-lz2cw 22 дня назад
Basi tunamshtakia hakimu wa mahakimu ,
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 22 дня назад
Tutakutana kesho kwa Hakimu wa kweli.... ALLAH
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 21 день назад
Hao hapa hapa azabu wapewe wamemumiza sana yule Binti wamemfanya kinyume na maumbire na mbere hii atumuachi Allah tunatakiwa tuaze nao uko mahakaman wanajitokeza mawakiri wa kuwatetea warifu na ssi tungane tumtete muanga video IPO kesi inazungushwa tu
@loner_wolf
@loner_wolf 22 дня назад
Lets wait until waamuwe ndio turudi kukaguwa sasa .
@potiphabucha8326
@potiphabucha8326 22 дня назад
Kwann mtu wa umri wa miaka chini ya 18 iwe kifungo cha maisha, na Juu ya miaka 18 kifungo iwe miaka 30 wakati kosa ni lilelile moja??
@user-pq8vu9mu7q
@user-pq8vu9mu7q 22 дня назад
Hawa mawakili nao mbona siwaelewi
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 21 день назад
Binti haki yake Iko mbinguni tu mpaka hapo hakuna kesi
@aikamkindi6006
@aikamkindi6006 21 день назад
Mbona wao hakuficha sura zao leo, waliona niufahar, leo mnawaficha!!!?
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 21 день назад
Ikitokea, Mahakama imewapa ushindi hawa jamaa,wakatafute nchi ya kukaaa mbali na Tanzania.Raia watadili nao.
@KareemDully
@KareemDully 22 дня назад
Uendeshaji wa kesi hii haurizishi . Raia hatujui nn kinaongelewa huko tunaambiwa kuna faragha na unyeti . Sasa wale si wakuwaweka faragha watu ambao walirikodi tupu zao na kutuonesha et sisi tuwape faragha
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 21 день назад
Kwan huyo mdada haliefanyiwa hivyo yko wp....maan yombo ziii
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 21 день назад
Duala lililo mahakama linaweza jadiliwa ivi indirect kweli ?
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 22 дня назад
Selikali ya ccm mtu akitendakosa anahamishwa au kufukuzwa amepandishwa cheo kama asikali wengine
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 22 дня назад
Mahakama za KiDunia zimejengwa kwa ajili ya kuwakandamiza wenye Haki, na kuwanufaisha wenye pesa na maarifa.. Ukimskiliza tu Jamaa unajua Tu, Mahakama za KiDunia ni kwa ajili ya Wapigaji....
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 22 дня назад
Wananchi tutakuja mahakamani wote wakiachiwa kumuhoji jaji
@user-oe1iw6gz2m
@user-oe1iw6gz2m 21 день назад
Nanyinyi dada zetu acheni umalaya 😂😂😂
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 18 дней назад
Umalaya alianza mama yako eti.
@user-oe1iw6gz2m
@user-oe1iw6gz2m 18 дней назад
​@@MwanaishaShattrymama yangu ni mtu wa dini ya kislam na anamuogopa Allha.. Sijui kwa mama yako kukoje pole dada yangu ila umalaya sikazi nzurii
@UrusulaPeter
@UrusulaPeter 21 день назад
Huyo dada aliyefanyiwa kitendo hicho Yuko wap si anaweza Kutoa ushahidi yeye mwenyew maana anawajua Kwa sura zao jmn
@Dockbrand
@Dockbrand 22 дня назад
Weeeeee hatukuelewi wala hatutaielewa mahakama kwa sababu jambo lipo wazi
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 22 дня назад
Muwaachie,waje mtaani halafu muone yatakayowakuta.
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 21 день назад
Sula zao tushaziona Yani wache wawashie waje mitahani tutadri nao kama mahakama itakosa kutenda haki haki tutaifanya wananchi
@KabysaMrutu
@KabysaMrutu 21 день назад
Hakun maelez yanayozid video ile hao wanasheria hawana maelez.kamil ss hatutaki maelezo tunachotak nihaki
@tgwan
@tgwan 22 дня назад
Sawa… Tunaomba Hapo Kwenye Ushahidi Wa Ki Electronic Patiliwe Mkazo Hakuna Kilichotengenezwa Hapo… Huyo Dada Apewe Haki Yake… ASANTE.
@user-lb5oi2wz6z
@user-lb5oi2wz6z 13 дней назад
Watuu wanatombaa na wanafiraaa tumeonaa mpk sura zao
@danielosango1263
@danielosango1263 21 день назад
Tatizo kubwa kwa Jeshi letu la Polisi asilimia 75/0ni watoto wa Maaskari Waliostafu hivyo kulindana ni inachukua nafasi kubwa Inafanya hata pale askari wanapopatikana na hatia adhabu kubwa tuona ni kuhamishwa kituo
@ChristinaOberto
@ChristinaOberto 20 дней назад
Wanafichw kwa nini mbona wao hawaku mficha biti uso, watu hawa hawana haki tena hapa duniani
Далее
УДОЧКА ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
22:41
Просмотров 230 тыс.