Тёмный
No video :(

WAKULIMA PAWAGA WAISHUKURU SERIKALI UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI MKOMBOZI 

National Irrigation Commission
Подписаться 283
Просмотров 554
50% 1

Wakulima tarafa ya Pawaga iliyopo wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa wameishukuru serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa mradi wa ujenzi skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi, kwani utekelezaji wa mradi huo utawasaidia wakulima kulima zaidi ya msimu mmoja na kuwa na kilimo cha uhakika.
Mradi wa ujenzi skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi una thamani ya shilingi bilioni 55 wenye jumla ya hekta 6,000 ambapo kukamilika kwake unatarajiwa kunufaisha zaidi ya wakulima 16,000 vijiji sita ikiwemo Itunundu, Boliboli pamoja na Pawaga.
Kukamilika kwa mradi wa ujenzi skimu ya Mkombozi utaongeza tija ya uzalishaji, usalama wa chakula na kuinua kipato Cha wakulima katika mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla.
..............................................................................................................
#01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #story #storybook #ikulumawasiliano #DktSamiaSuluhuHassan #Rais #agriculture #agranews #agranewstoday #agricultural #agronomia #agroecologie #agriculturelife #agriculturalmachinery #kilimoufugaji #agrieconomy #kilimo #trendingtanzania #ikuluzanzibar #ikulutanzania #ikulu #ccm #ccmtz #chamachamapinduzi #agrfilms #agrf2023 #cnbctv #cnbcnews #kbcchannel1 @TBC_Online @ikulutanzania255 @globaltv_online @kilimotv1730 @millardayoTZA @uhondotv5210 @WatchTanzania @Channeltenonline @CLOUDSMEDIA @chamachamapinduzi-official2767 @CNBC @CNN @bbcswahili7924

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 21 млн
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 190 тыс.
HISTORIA YA MKOA WA IRINGA
3:16
Просмотров 3,5 тыс.