Тёмный
No video :(

PART 1: ABIOLA ALIYEDAIWA KUIBA MKE NA KUTELEKEZA MKE WAKE AFIKSHWA MBELE YA RC HAPI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 396 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 405   
@helenakaaya8306
@helenakaaya8306 4 года назад
Hongera Mkuu Wa mkoa uanafanya Kazi vizuri,unatenda haki,Mungu akulinde.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Maashallah Ally Hapyy Allah akulinde ni mwema maashallah kiongozi mzuri Sana Allah akuifadhi udumukwenyekaxiyako maadui wakae kushoto lnshallah
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 лет назад
Abiola unazingua huyo mama kwa muonekano tu ni mtaratibu,Pole sana mama kwa hayo yote mungu atakubariki,,Hapi umeongea kitu hayo mambo ya kishamba
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 5 лет назад
Mkuu wa mkoa Mungu amekujalia hekima. Mungu akubariki
@mcrootsav7712
@mcrootsav7712 4 года назад
Yaani hadi raha
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 года назад
Huyu mkuu angeletwa Dar namuelewa Sana🙏🙏🙏🙏
@abdallahhamad4499
@abdallahhamad4499 4 года назад
Kama umesikia vumbi la 🇨🇩 congo gonga like 🤓
@hopeedgar558
@hopeedgar558 5 лет назад
Abiola kajua kunichekesha, Hongera sana R.C kwa kuwa mpatanishi maana utaitwa mwana wa Mungu.
@zuziaziza6531
@zuziaziza6531 5 лет назад
Wewe kaka mungu Akulinde unabusara sana kwakweli unasuluhisha watu vizuri sana
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 года назад
Watoto Saba, Kila mtoto na mama yake, abiola 😂😂😂
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 5 лет назад
mkuuuu wamkoa ali wanifulahicha sana hongera kwa kazi yako mkuuu upo vizuli
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 5 лет назад
Wanawake wa kihehe ni wa vumilivu sana wako vzr sana aisee wanajua maisha ukishindwana na mwanamke wa kihehe aaah bac ww una matatizo...
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Aisee sikudanganyi.. huyu mama nimemmaindi kinoma.. lazima nimzidi Abiola kete.. Ni lazima nimkamate mke wa Abiola ..! teheee..!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
@@felicianmapunda2328 LMAO..! Nitambembeleza..! teheeee!
@MrLogalaa
@MrLogalaa 5 лет назад
Kweli kaka
@haimahaima9135
@haimahaima9135 5 лет назад
@@josephgomalo41 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂waniua
@tz5454
@tz5454 5 лет назад
Umeonaeeeee
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 5 лет назад
Jaman mwenye bahat habatishi jaman kapata mke masha Allah hodari. Tulia kaka yangu kubar kubarilika hao wanao kuzuzua wanakuharibia kwa mkeo
@amour5535
@amour5535 5 лет назад
Hakika
@herimallya3385
@herimallya3385 4 года назад
Hapi ni kiongozi...hongera!
@aidanndanzi5854
@aidanndanzi5854 4 года назад
mkuu wa mkoa nakukubali sana upo vizuri baba, piga kazi
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 лет назад
Mkuu wa mkoa uko vzr Sana ,Safi sana
@mamyrahima6913
@mamyrahima6913 5 лет назад
Maskinii mwanamke mzurii mungu akuongoze kwenye kherii
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Ongera sana Rc mungu akujalie sana.
@mwajumakweli7931
@mwajumakweli7931 4 года назад
Mkewe nnzuri sana masha Allah
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 года назад
Huyu mama nimpole sanaa mungu atakusimamiaa hongera sana mkuu wa mkowa happy mungu akubariki
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 лет назад
Mcheki abiola ,yupo vizuri sana
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 лет назад
Yaani nafurahishwaga na maneno ya ali happy sana ana busara na hekima sana kazi nzuri kwa kweli hawa ndo watu tunaowahitaji tanzania
@Hustlerfrr
@Hustlerfrr 5 лет назад
Beautiful mama don't cry ❤️❤️❤️
@epifaniamponda4491
@epifaniamponda4491 5 лет назад
Wanawake mungu atusaidie mbona tunapitia magum et
@suleimankombo8760
@suleimankombo8760 4 года назад
Mkuu wa mkowa muungu akujaalie kazinjem maan upo makin na kazi zako
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 5 лет назад
Akapimwe Akili huyo Baba.. Huyo mama ajihadhari naye!. Hongera Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Iringa Kwa kumsikiliza huyo Mama..
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 лет назад
Sepa achana na abiola chapa kazi upate hela sura ya abiola inatisha tuu yaani ningekuwa mimi ningemkimbia mtu ana watt 7 kila mtm ana mama yake sasa wa nini?
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂 Abiola ana sura ya kazi.
@gillbertmapesa1559
@gillbertmapesa1559 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@herimallya3385
@herimallya3385 4 года назад
😀😀
@hashemsaef1516
@hashemsaef1516 4 года назад
😂😂😂😂
@samwelrobeth7763
@samwelrobeth7763 3 года назад
😀😀😀😀
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 лет назад
Abiola unapendwa alafu unaichezea bahati, wenzako tunatafuta wanawake wavumilivu kama huyo.
@wbairi79
@wbairi79 5 лет назад
Kweli kabisa....penye miti hapana wajenzi
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
Jaman mbona tupo🤜🤛
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 лет назад
@@jasmineshechambo3401 Tanga au?
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
@@ibnahmad607 ndio tanga
@ibnahmad607
@ibnahmad607 5 лет назад
@@jasmineshechambo3401 😂😂😂😂😂😂😂😂. Huko c mnasifika kwa limbwata? Au cku hizi hakuna limbwata.
@isayakilangi5888
@isayakilangi5888 5 лет назад
Nampenda Sana mkuu wangu wa mkoa unafanya kazi ya bwana
@marmon1076
@marmon1076 5 лет назад
Kwel we mama ni shujaa,, hongera nyingi zije kwako kwa ushujaa huo!! kwel kinamama tunapitia mambo magumu na ya kikatil but tusichoke tujipe moyo tutashinda!!! big up kwa akinamama wooooooote kwan nimashujaa!!!!!
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 лет назад
Wasamawaat wamaafil ardh ( mbona hawa watu wapo tofauti sana kama mbingu na aridhi ) pole mama ila huku ulipotea njia
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 5 лет назад
Nakupenda sana Mh Hapi
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Abiola Jamani, Sura Katili Kweli,Pole Mama Vumila Ki Mpango.Asije Kutoa roho kisa Wavumilia.
@furahamwikombo4670
@furahamwikombo4670 4 года назад
Mkuu uko vzuri saaana. Penye mazuri lazima tukusifie....
@suzanmgaya4323
@suzanmgaya4323 5 лет назад
Mungu akubariki mku
@silviakihaka9795
@silviakihaka9795 5 лет назад
kwakweli hiki kilio cha wengi maisha yako kama yangu lkn hivi kunawakat inabidi serikali itutazame wanawake tunasababishiwa maisha magumu lkn namshaur huyu mama mungu antulipa hapahap dunian
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 лет назад
Watoto saba wanawake tofauti ,hongera kwa kuijaza Dunia
@subiramohd885
@subiramohd885 5 лет назад
huyu mama kweli anampenda huyu Mume ingekuwa mimi zaman ningesepa.janaume lenyewe sura bovuuu
@mariamsaid1093
@mariamsaid1093 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣
@samonlinetv6106
@samonlinetv6106 5 лет назад
Subira nitakuchapa wewe
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 лет назад
😃😃😃😃
@sigorijoseph4977
@sigorijoseph4977 5 лет назад
Subira Mohd haaa haaa umenichekesha
@gloriousn6425
@gloriousn6425 5 лет назад
Abiola ana sura ya kazi kazi yenyewe KUZALISHA we mtu watoto 7 kila mtu na mamake😢😢😢😢 Ila dah wanawake tunapitia mengi 🙏🙏🙏
@wilsonmoses2761
@wilsonmoses2761 4 года назад
Hapi nimekupenda bure kaka yangu unahekima sana kweli wewe nikiongozi wa watu
@abdalahkumbota1012
@abdalahkumbota1012 2 года назад
Huyu anafaa kuwa kiongozi mungu ambaliki
@judithaporinal452
@judithaporinal452 5 лет назад
Kwanza achukuliwe atua kumtishia mtu asa mke wake
@Boaz22
@Boaz22 5 лет назад
Gonga like kwaajili ya Abiolaaaa😂😂😂😂😂
@jemawiston3521
@jemawiston3521 5 лет назад
hongera mkuu wa mkoa piah kaka angu wa Nzega tabora
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 5 лет назад
Hakika nikirudi Iringa.Nitakuletea zawadi mkuu wa mkoa wetu wa Iringa.
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 5 лет назад
Afungwe uyu maana anazaa.kama kiwanda
@mcrootsav7712
@mcrootsav7712 4 года назад
Ila watu wairinga nyie ni noumaaa...duu.mshukuruni mungu kwa kumlata Mh.Ally Hapi
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 Abiolaaa oyeee
@winfridagama2042
@winfridagama2042 4 года назад
Mkuu wa mkoa poawa
@priscamwamlima505
@priscamwamlima505 5 лет назад
Abiola njoo kwangu 😀😀😀😀😀😀😀
@neemamoshi1908
@neemamoshi1908 4 года назад
Yan mkuu wa mkoa kaz yako unaitendea hak nataman miaka ijayo uwe Rais 😙
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 2 года назад
Nakupendaka sana Happy.mimi ni Murundi
@eusebiamasoi6069
@eusebiamasoi6069 5 лет назад
Hapy hongera sana mkuu. Please you are the President to come
@mosesnyamhanga449
@mosesnyamhanga449 2 года назад
Ila samia hujafanya poa kumtoa huyu mwamba kazini yupo vizuri mno! Mpe kazi huyu ally hapi !
@anniemtambo5549
@anniemtambo5549 5 лет назад
Haswa mkuu wa mkoa mwambie huyo👍
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 лет назад
Napenda tu vituko vya Abiola ,yaan mkuu jembe yaan
@samueljr9105
@samueljr9105 5 лет назад
Waaah
@radhiyaoman2543
@radhiyaoman2543 5 лет назад
Abiola mbona anajibu kama ana lake moyoni mh.kuweni makini na abiola
@cpasalma1532
@cpasalma1532 4 года назад
Nimecheka
@fatumakeche6027
@fatumakeche6027 3 года назад
😂😂😂😂
@msusachalamanda7218
@msusachalamanda7218 5 лет назад
Apo ndio ninapo mmiss mzee wangu agrey mwanry
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 года назад
DC wangu kipenzi nakupenda sana
@tinagorges3741
@tinagorges3741 5 лет назад
Bidada uwe macho nahuyo bwana maana mmhhh polesana
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Mhe Mkuu wa mkoa Hapi nakukubali sana tena nakupenda mno; nadhani ana chembechembe za wokovu;
@rosemarymashauri8628
@rosemarymashauri8628 5 лет назад
Yaani nipo dar lkn clip za RC hapi hazinichoshi kuangalia
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
Hahahaaaa mama Mpe talaka kumbe mke anatoa talaka ningeandika hata kumi Kwa abiola
@andrewmongi7395
@andrewmongi7395 5 лет назад
abiola nampata huyo jamaa wa ilula Iringa mtata Leo mbele ya mkuu wa mkoa kanywea balaa.
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 лет назад
Vituko vyote Abiola breki kwa mkuu wa mkoa yy c kidume?sukuma ndani huyo 😄😃😃😃 Abiola umeskia?
@carinamatt1031
@carinamatt1031 2 года назад
Mungu akutunze muheshimiwa ally happy
@jacklinejosephat5988
@jacklinejosephat5988 5 лет назад
Haya bana Abiola, sawa
@wisperfect3860
@wisperfect3860 5 лет назад
Uko wp
@elizabwakila2548
@elizabwakila2548 2 года назад
Abiola mwenyewe Sasa sura kichwa Kama konzi. Atakuwa anawapata kwa madawa ya kienyeji.
@majudadykid5281
@majudadykid5281 4 года назад
Alie Muona Abiola Anavyoangalia Watu jicho la Kigaidi
@paulrundi8581
@paulrundi8581 5 лет назад
Bona la Ngombe nakumbuka sana Iringa...kamwene ...😄
@kenethmsigwa7464
@kenethmsigwa7464 4 года назад
Kama umemwona mwenyekiti wa ccm kilolo ndugu kiliani myenze gonga like
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 2 года назад
Uyo abiola mwenyewe Sasa uwiiii lakini bac
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 года назад
Abiola...anatoa macho tu
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 5 лет назад
Mheshimiwa Happy nimeamua nicheke kwakweli abiola kajifanya wabaridii kumbu jeuri
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 лет назад
Kwa namna ninavyopata tabu kwa mke wangu nashangaa kuwa wapo wanawake wavumilivu kama Hawa. Maisha ya ndoa ni rahisi mkisikilizana.
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 лет назад
Poole sana
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 лет назад
Ipo siku utapata wa kukufurahisha
@alexmanase981
@alexmanase981 5 лет назад
Dah! Umeongea kauli zito sana inagusa mioyo mingi tu ya kiume
@mathewlive77
@mathewlive77 5 лет назад
Pole, Mungu akupe njia
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
@@wahidawahida6675 mmnhhhh
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
KATIKA KESI 100 ZA WANANDOA WANAWAKE 99 WANASHINDA MAHAKAMANI.AU.MABALAZA YA KATA.
@peacemollel2347
@peacemollel2347 3 года назад
Thanks happy
@how9833
@how9833 2 года назад
Mama beauty Abiola Mwenyewe sasa sijui ni fundi wa matanuru ya kuchoka mkaa Sijui hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@oyay2821
@oyay2821 5 лет назад
Abiola ana mke mzuri lakini hajui tuu
@tulinavemgeni3523
@tulinavemgeni3523 2 года назад
Ukipendwa ringa Ila usimringie anaekupenda. Sasa huyu abiola anamringia anaempenda
@mcrootsav7712
@mcrootsav7712 4 года назад
Ukweli Nimekuvulia kofia....na sina chakukoments kwako...nimefikia mwisho...hongera mmno Mh..kumbe hadi ndoa za wananchi wazishuluhisha kwa wekedi hivyooo...ila naomba wakati mwingine..ukiwa kwenye utatuzi kma huo huyo mpendwa kiongozi (m mama) hapo pembeni yako usiandamane nae...maana wewe unaongea point yeye anacheka tuu...dah.sijafurahishwa naye jamni.
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 2 года назад
Mimi sijaelewa nifamisheni ana lala chumba cha watoto ana maana gani
@salmahillu
@salmahillu 2 месяца назад
Ujumbe kwa wanaume wote
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 года назад
Abiola akijirekibisha anaonyesha ni mpambanaji. Ila upwards unamsumbua.
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 года назад
Magonjwa yooote haya now anatembeza tu 1200 zake kila mahali c kujifharirisha mwili huko.mama kinachomkalisha hapa watoto na asikubali kumpa penzi hadi wapime Ngoma kwanza maana abiola mwenyewe akashashupaaa mashavu.mke mzure be mnyarukoro
@philipomofuga3511
@philipomofuga3511 5 лет назад
Duh jamaa sio poa. Huwez kushinda na mwanamke mwanamke anafanya kosa akiwa na jibu tofaut na mwanaume ndio maana kes nyingi za mwanaume na mwanamke hawawez kushindana.Mungu tu asaidie ndoa zidumu.
@MohamedSaid-jx3df
@MohamedSaid-jx3df 4 года назад
Abiola alianza kutengwa baada ya mke kuhamia chumba cha watoto
@shadrackkayuni5382
@shadrackkayuni5382 5 лет назад
mwanamke anayekushitaki ndo huwa ana upendo zaidi
@mariamelias1915
@mariamelias1915 4 года назад
Jmn Abiola alikua handsome Ujana wake
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 2 года назад
Abiola muhongaji mzuri😅
@amourhasaan7242
@amourhasaan7242 5 лет назад
Hapaa pazurii kiongozii
@princesssalmahtz4531
@princesssalmahtz4531 5 лет назад
Me ningeshatimua kitambo 😂😂😂😂😂😂kajitu kenyew kasumbufu kwani mama hapo unang'ang'ana nini
@musatbobius5472
@musatbobius5472 5 лет назад
Aondok km hapend saw ataondok
@sonymusa5333
@sonymusa5333 5 лет назад
Umri umeenda sasa atamchukua nan
@michaelmwandosya2232
@michaelmwandosya2232 5 лет назад
Nikikukamata abiola utanitambua sura baya unamsumbua mama na mkuu wa mkoa usifanye watu wajinga nyambafu
@imamuhemedi4387
@imamuhemedi4387 4 года назад
mkuu Wa mkoa una hekima na busara sio kama wengine mzee baba
@chandadascout39
@chandadascout39 5 лет назад
nampenda uyu mkuu wa mkoa natamani hata kuonana nae yani maapa kwa mungu lazima nije ñionane nae
@mudymaliki3835
@mudymaliki3835 4 года назад
Safi sana kiongozi
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 года назад
Hapana huyu abiola c mbaya,Ila watu wakimuangalia sura yake watu waiyogopa hiyo sura ni ngumu Ila jamani kapewa na muumba
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 5 лет назад
Siri ya ndoa wanao jua ni wawili tu ila njee anae sikilizwa ni mwanmke nini chanzo mwanume akaanza kuzingua wasovu kotekotee
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 5 лет назад
Abiola katrend 😂😂😂😂😂
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 года назад
Lijitu lenyewe sula mbaya tabia mbaya,,uhni mwingi linazaa nje ya ndoa jmn ww abiola unapepo au ??
@patiencekelvin4453
@patiencekelvin4453 5 лет назад
Here,RC smart.
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 4 года назад
Bwana mwenyewe zura mbovu
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 Год назад
Abiola hana cha kupoteza show show tuu
@adrianomsungu2935
@adrianomsungu2935 5 лет назад
Da abiola alikuwa na hela Sana pale ilula zilipotea ghafla tu
@vijanafurniture1810
@vijanafurniture1810 5 лет назад
Kwa aina ya maisha yake hela hazikai.. Mungu humpa mwanaume riziki ya familia mzima mikononi mwake na mwanaume anapoisahau familia hela hupotea
@emmanuelsimon8507
@emmanuelsimon8507 5 лет назад
Duh dunia bhana
@izackbrianpatrick
@izackbrianpatrick 4 года назад
Asante mkuu wa mkoa
Далее
PART 2: RC HAPI ALIVYOPATANISHA NDOA YA ABIOLA
10:04
Просмотров 222 тыс.
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 95 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 148 тыс.
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 95 тыс.