Тёмный

Wali Wa Kukaanga Na Mbogamboga Ni Mzuri Kwa Watu Wanaotaka Kupunguza Unene 

Bariki Karoli
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine!💕
Leo nimetengeneza wali wa mboga mboga ambao unafaa sana kama Mtu unataka kula mboga Za majani kwenye vyakula vyako.
Ni Nzuri pia kama Upo unafanya diet kwasababu kuna mboga za majani kwa wingi.
Video ya vyakula navyokula kwa siku kuwa na afya nzuri 👇🏽👇🏽
• Vyakula navyokula ili ...
Video ya chia seeds na faida zake 👇🏽👇🏽
• Punguza Uzito Kwa Kutu...
Video ya kusafisha ngozi iliyopita 👇🏽👇🏽
• Kuondoa Makovu Usoni N...
Unaweza kunipata kwa:
Instagram: bariki.k
Email adress for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@stellasimon8306
@stellasimon8306 4 года назад
Hii ni nzuri sana aisee natumaini nitamu na nzuri kwa afya bora kwa sababu wanga ni kidogo umepungua. Mimi nimeipenda sana. Hongera sana my baby 💕💕♥️ kazi nzuri hiyo 👍
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
Asante sana 💕💕💕💕💕💕❤️❤️❤️
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 4 года назад
Nimependa sku mja ntaupik! In Sha Allah shukran bariki
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
Sawa dear Asante
@kibouttv7148
@kibouttv7148 4 года назад
Mimi napenda sana huu wali wa kuchanganya na mbogamboga ila huwa siwekagi Brocoli ngoja nitaanza kuweka na brocoli
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
Asante mama Louis jaribu 💕
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 4 года назад
Napenda Sana chakula hiki
@lynalyna3968
@lynalyna3968 4 года назад
Awe tamu 😋😋😋
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
💕💕
@GlowCharls
@GlowCharls 4 года назад
Nitajaribu hii
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
💕💕
@pendopendo7427
@pendopendo7427 4 года назад
Hongera nimeupenda ntajaribu na mim
@zarunajumanne2737
@zarunajumanne2737 4 года назад
Waooo nice mamy
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
Thanks 😊
@MercyKyando
@MercyKyando 4 года назад
Mi napenda sana huu wali ila iwe na nyama aise hahahahaha
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
😂😂 Yea unaweza kuweka nyama dear Usijali Asante
@neemahamisi4302
@neemahamisi4302 4 года назад
Sawa Bariki nitajaribu
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
💕
@ashanaftali893
@ashanaftali893 4 года назад
Sijawai kula wali wa mboga nitajalibu
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 года назад
Jaribu dear ni Nzuri
@mwaminintakwinja1342
@mwaminintakwinja1342 4 года назад
😋😋
Далее
CHEMSHA HIVI MAHARAGE YAWE MATAMU KILA WAKATI
1:00
Просмотров 994 тыс.
vifaa vya usafi
4:47
Просмотров 709
mapishi ya wali wa nazi
0:14
Просмотров 1,9 тыс.
WEEKLY VLOGMAS|  harusi, tanzanian youtuber
10:05
Просмотров 2,7 тыс.