Тёмный

WALIOTAKA KUMUUA MTOTO WA MIAKA SITA WABURUTWA KORTINI, WOTE WA GOBA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@robbemanase9051
@robbemanase9051 26 дней назад
News haieleweki huyo mama ham Jaeleza husikaje , mme Concentrste kututajia kesi number na sheria na vifungu number Wakati Mlipaswa tuelewa , mtuhimiwa sme husikaje.
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul 26 дней назад
Huyo mama aseme wenzie mbagala Jana wameua mwanafnzi ee Mungu baba wafedheheshe Hawa wauaji wakamatwe wote
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Huyo mtt kamsingizia Eliza acha kuongea usichokijua
@AishaMwarabu
@AishaMwarabu 26 дней назад
Mmi naisi uyu mtumzma ndoali mshawishi uyu Binti uwenda daaa jmni mungu tunusulu naizo lohozaifu😢😢
@HappyCaptainHat-ce7ku
@HappyCaptainHat-ce7ku 26 дней назад
Andika jina vizur la MUNGU
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 26 дней назад
Huyo mama na yy siamezaa sasa kwa nn awe mkatilia kias hicho siangejarub kwa mtoto wakepumbavu watu kama hawa azabu zao ni nn jMani
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 26 дней назад
Huyo hakuna kuachiwa atauwa zaidi lazima iwe fundisho uk7tenda kosa ajue kuna adhabu kwelivkweli ukamchinje kweli aaaa mama samia fanya kazi ya halali
@josephfrank4446
@josephfrank4446 26 дней назад
Walio baka mpaka saiv siwaon😢😢
@user-qm1vw9xw2b
@user-qm1vw9xw2b 26 дней назад
Hilo neno sasa
@leokamil6284
@leokamil6284 26 дней назад
Hata mimi nimewaza wabakaji hawaonyeshwi sura sjui ubakaji,Ulawiti ni ruksa kisheria nchi hii ?
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 26 дней назад
Wanasubiri wahusika wote watimie ndio wafunguliwe mashtaka
@Zuu673
@Zuu673 26 дней назад
Dah mtihani kweli nae katoto,walio baka mahakamani hawajapandishwa na sura zao zinafichwa
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 26 дней назад
Nilisema yule bint wa kaz sio pekeake lazima kuna mtu mwengine
@josephineokama2200
@josephineokama2200 25 дней назад
kabisa ndo maana familia ilisema imemsamehe manake alikua na upendo hawaelew kakumbwa na nini
@joysekiza3944
@joysekiza3944 26 дней назад
Jamani uyu mama nae mungu atamlipa kwa kumtia hatiani binti mdogo
@HappyCaptainHat-ce7ku
@HappyCaptainHat-ce7ku 26 дней назад
Andika jina la MUNGU vizur Ili uyatofautishe na majina mengne sio mungu kama ulivyoandika joyce
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 26 дней назад
Huyo binti mwenyew ni mkatili kwakweli
@HappyMnyawami
@HappyMnyawami 25 дней назад
Kamaanisha huyo mshitakiwa wa pili ndo kamshawishi mtoto wa watu
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 25 дней назад
Hv uyu mama alikua na wivu wa maisha ya mwenzake anavyo ishi na mme wake nn Meogopa sana...ni dhahili kabisa uyo mama ndio alimshawishi uyu Dada duuh
@merypaul4035
@merypaul4035 26 дней назад
jmn 😭😭
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 26 дней назад
Duh
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 26 дней назад
Mhuuuu jamani Hilo jitu Zima limemuua mtoto wa mwenzie duh harari
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 26 дней назад
Hakufa alipona ila walikata koromelo nahisi huyu mama alimshawishi duh huzuni Kwa kweli
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
@@claudiangowi9628 hivi unajua km huyo mtt ni Jiran tu na huyo unaemwita mama ni kamsingizia tu
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Acheni kuhukumu msichokijua
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 25 дней назад
@@DoreenVerifier sijakusoma nieleweshe vizuri mpenzi
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 24 дня назад
​@@claudiangowi9628atueleweshe vzr aiseee kwahyo yule mtoto kamsingizia huyu dd wa kazi mmmmh
@GraceMadondola
@GraceMadondola 26 дней назад
Huyu mtumzma aliekomaaa usoni ma krimu za afu tatu miatano mtoto wawatu alimfanya kitu gani mpka atake kumuua dah😂😂😂😂😂😂
@user-gl5mn2qs1r
@user-gl5mn2qs1r 26 дней назад
Nimecheka eti krimu za afu tatu
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j 26 дней назад
Waliolawiti mbona hamuwaonyeshi ,this is not fair at all.
@leokamil6284
@leokamil6284 26 дней назад
Nadhani wao hawana kesi kwa kweli inasikitisha sana haki hakuna
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 26 дней назад
Binti mdogo sana kiumri kwa kweli yaani
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 26 дней назад
Mambo makubwa na hiyo sura yake ngumu😢
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 День назад
Bora wakafungwe
@Kabwela776
@Kabwela776 26 дней назад
Mbona wengine uwa hamuonyeshi sura zao
@emaneez
@emaneez 26 дней назад
Nimaamuamuzi binanfsi ya mstakiwa .
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 День назад
Wakiachiwa watafanya tena
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 26 дней назад
ALLAH ALLAH JIRANI.LAKINI SI KWA JIRANI HUYO.
@juliusdonard933
@juliusdonard933 26 дней назад
Hiyo mfanya kaz msamehen bwana , wafanyakaz wa nyumbn wanaonewa sanaaa
@chikujuma18
@chikujuma18 26 дней назад
😢😢 masikin mm namuonea huyo Binti huruma jaman kwanza sura yenyewe inaonekana mpole mweeee yote hayo ni yule mama ndo amesababisha bint matatizo
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 25 дней назад
Huyu mama msaidizi wa shetani kamatia binti kwenye maisha magumu yenye maumivu sana
@user-xq6rg2pb1x
@user-xq6rg2pb1x 26 дней назад
Ugomvi na uadui watu wazima malizaneni mwenyewe hasila zako kummalizia mtt sio kweri
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Hakuna ata ugomvi huyo binti kachanganyikiwa kamtaja Jiran
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 24 дня назад
​@@DoreenVerifierDuuh kwahyo kafanya tukio alafu kamsingizia wengne htr
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec 26 дней назад
Duniani Kuna mambo jamaniiii duuuh😢😢😢
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 25 дней назад
Dah dada wa watu mrembo mpaka raha.. 😢😢
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 24 дня назад
Kwa nn asimchinje Brian?
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Kwa pamoja ulikuwepo?Acha kureport kitu usichokuwa na uhakika nacho,,Msichana kapagawa anataja watu wasiokuwepo na ata mazoea nao Hana kisa ni Jiran?
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 23 дня назад
ivi huy mama anahat hurum itakuw yeye ndie aliemshawish bint wakaz
@petermhagama9952
@petermhagama9952 26 дней назад
Asamehewe tuuu huyo dogo
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 25 дней назад
Nyoko
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 24 дня назад
Sura ya ya huyo dadaa huwez kudhania
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 26 дней назад
Huyu binti anaroho ngumu na huyu mama😢
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 26 дней назад
Kwann walikuwa wanamuua mtoto bado najiuliza😢
@rehemasalim6062
@rehemasalim6062 25 дней назад
Yani kwa yanayoendelea duniani akika ni dakika za mwisho yani ata mume wako au boyfriend wako anaweza kukufanyia ukatili akuna kumwamini mtu ovyo karne aswa aya wenyewe wana ita mambo ya kileo utandawaz umeharibu watu vby turudi kwa muumba wetu anusuru vizazi vyetu
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 25 дней назад
Mtoto wa watu aluwakosea nini au ndo zinaitwa roho za kisasi kwa mama yake.ndo Yale Yale tunayosemaga ,ugomvi wa marafiki anaadhibiwa mtoto.
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Hakuna ugomvi huyo mtt anasingizia huyo Eliza ni Jiran ata mazoea Hawana ata jina hamjui
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 26 дней назад
Uyu mtoto asamehewe
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 26 дней назад
mbona wamenenepa hivi hao wauwaji ?
@goodluckmoses2256
@goodluckmoses2256 26 дней назад
Na ndio maana huyo binti hakutaka kukimbilia mbali ,kumbe kuna jishetani mkuu ndie mhusika
@MaryNdondole
@MaryNdondole 25 дней назад
Kabinti kazur jmn..uyo mama ndi shetetani
@ramadhanmakiya9061
@ramadhanmakiya9061 26 дней назад
Katoto kazur dah!
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q 25 дней назад
Kujalibu kuua kwa lengo gani maan habari bado haijakamilika
@ClaraLumala
@ClaraLumala 26 дней назад
Jamn tunaomba taarifa ya bint aliyebakwa na watu watano mbna kimy hatuon mrejesho
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 26 дней назад
Huyu binti alishikizwa na huyo mtu mzima ovyo mana hata sura yake haina hofu ila mdogo apewe nafasi nyingine
@Nuraida-r8x
@Nuraida-r8x 25 дней назад
2:32
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 26 дней назад
Sasa uyu mama nae kausika vip mbona ukakasi
@SelinaChares
@SelinaChares 26 дней назад
Heeeee kumbe wa wili
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 26 дней назад
Alishawishiwa na huyo mama ila jamani
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 25 дней назад
Subhannallah kumbe nyuma alikuwepo mtu mzima tena ni mama duuu .kisa nina sasa mbon ilinipita hii
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 26 дней назад
Jaani mbona mnanichisha auwawe na yeye au akatwe koromelo aone uchungu na yeye mb9na maswali mengi
@JacklineJames-i5o
@JacklineJames-i5o 26 дней назад
Huyu mama braya wa goba nani anaemjua
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 25 дней назад
Shenzi kabisa hao inatakiwa wafungwe gereza la wanaume
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 26 дней назад
Wekenda nda wote kwanini huyu msichana wakazi hakusema akaficha na akak7mbia au kwa nini jirani akwambie kitu na unafanya siri yoga wote hao wamefanya mtoto wa mwezao anapumulia nje na sauti halitosis vizuri why ukamchinje mtoto wa mwezio roho ngumu
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 26 дней назад
M8e sielewi..mara kasamehewa. Mara.kashtakiwa.hatuelewi
@felixhaule
@felixhaule 26 дней назад
Traffic yupo wapi na wewe acha UCHOKO
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 26 дней назад
Kwanini wali taka kuwaa mtoto
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 26 дней назад
Sizani kama walikusudia Nawaombea kwa Mungu wachiwe
@JohnMetivani
@JohnMetivani 26 дней назад
Kumbe Ile Sheria ya kutopiga picha mahakamani imefutwa? Nijuzeni jamani. Mie nilikuwa France Kwa zaidi ya miaka 25 ndio nimerudi tu juzi.
@happymrema7487
@happymrema7487 26 дней назад
Karib tanzania
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui 26 дней назад
Kisichana kirembo kumbe kina roho ya kishetani
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 26 дней назад
Kumbe alikuwa na mtu mwingine ila jamani
@salomewandya7257
@salomewandya7257 26 дней назад
Mfanyakazi maskn alidanganywa na huyo mwanamke 😢😢😢
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Hapana Msichana hajatumwa kamsingizia tu Eliza
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 26 дней назад
Dah sina mke naombeni huyu binti nikaishi nae
@esterrobart9750
@esterrobart9750 26 дней назад
We mwanamke mtu mzima hovyo hujazaa wewe
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 26 дней назад
Mchepuko wa mume huyo coz how atake kuua mtoto?
@DoreenVerifier
@DoreenVerifier 25 дней назад
Sio kweli Eliza Ana mume wake na ata mazoea Hawana ni ujiran ule ambao Hata Hamko karibu kihiivyo
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 24 дня назад
Ss Kwann atajwe yy lkn
@rodgerushindi85
@rodgerushindi85 26 дней назад
Traffic anafanya Nn Mahakaman?
@lifeonearth94
@lifeonearth94 26 дней назад
Wanonko tu, wanatafta pa kupiga
@rasvegas8991
@rasvegas8991 26 дней назад
Huyo mama ameingiaje hapo tenaa
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 26 дней назад
​@@lifeonearth94duu
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 26 дней назад
😂😂😂😂analinda magar
@HappyCaptainHat-ce7ku
@HappyCaptainHat-ce7ku 26 дней назад
😂😂😂😂
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00