Тёмный

WAMEANZA KUELEWA NA KUSILIMU 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Please subscribe to STRAIGHT PATH DAWAH channel for more videos and please support Dawah by donating through mpesa number +254722600533 or Lipa na mpesa till number 558297

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
Nawpenda wakiristo wallah Sanaa hua wanapenda kusikiliza maneno ya mungu Ila wamedanganywa snaa na mapastor ndio wamewapoteza masikini mungu awaongoze
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Amin
@nooroman2535
@nooroman2535 Год назад
Inshaallah Allah hatawaogoza wataiona haki
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Wakirsto Allah awaogoze waona haki n kujislimisha
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Год назад
Sheykh Ramadhan kapendeza ماشاءالله❤️
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Shukran jazeelan Allah akuhifadhi
@saidjumannembaruku4771
@saidjumannembaruku4771 Год назад
Jamani wadada msimpe mtihani shekh wetu!👍
@hiimbinaimmuslim3041
@hiimbinaimmuslim3041 Год назад
Asalamu alekum mashallah ramazan umeifanza kazi vizur sana leo ulikuwa uwaoneshe hasa kwenye kitabu chao kama kofia ni vazi takatifu ila wameelewa ukweli wameujuwa mengi umewambia leo Mungu akulipe kher na umri wa afya uzidi kuwasilimisha wengi
@khadijaali2173
@khadijaali2173 Год назад
amin
@hamidharoon3918
@hamidharoon3918 Год назад
Takbir Allahu Akbar masha Allah mungu awabariki ma shk wetu Ameen
@mosmart4718
@mosmart4718 Год назад
Mzee hayuko sawa
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Takbiriii Takbiriii Allah Akbar
@lailasworld.1276
@lailasworld.1276 Год назад
Ujumbe umefika. Jazak Allah Kheiran Ustadh!
@fumoshee2524
@fumoshee2524 Год назад
Allah akuhifadhi akuzidishie ilmu na akupe nguvu na uwezo wakuendeleza daawa na akujaalie IKHLASW...amiin
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@nooroman2535
@nooroman2535 Год назад
MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah uzidi kumtangaza Allah nahakupe pepo ya fildas lnshaallah pamoja na Mashelhk yote Mungu hawape maisha marefu na afya njema
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 Год назад
JazakAllahu kheyran akhy
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Naima ubarikiwe mh amevaa miwani kwa furaha kwa sababu meseji yake Kuna Wengine wamesha yikubali alhamdullilah mgu kamzidishie Imani na nguvu yamshe wakristo waingie kwenye dini yausilamu ishallah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Huyu jamaa wa yellow mzuri sana 😂
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Masha Allah sheikh Ramadan kwa ulinganiaji mzuri
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Yani shekhe Ramadan Leo umetupigia miwani mpk wanawake wamesogea karibu 😂😂😎 umekua hensamu ss ila ni utani t
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
🤣🤣🤣 namie nimeona nikasema shekh wetu leo katinga mawani
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
Fikira zenu mbaya wallah wanawake hivi hamuoni sipo pahalipe hapa jamani ndugu zangu kama mwanataka tumwambie aongeze sunnah inshaa llah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Hahahaaaa....hatari sana
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 Год назад
Kkkkkkkkkkk
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Год назад
ههههههه😄
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 Год назад
Masha'Allah. Allahu Akbar . Sheikh Ramadhan Mwenyezi Mungu akubariki .
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@abdikeirjimale8620
@abdikeirjimale8620 Год назад
MashaAllah! Mwenyezi Mungu atiye baraka Juhudi Zenu Ameen! Tafadhali andikeni manukuu ya mistari ya Biblia katika Kiingereza ili lugha zingine ziweze kufaidika pia
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
insha'Allah, Shukran jazeelan
@isseamin2017
@isseamin2017 Год назад
Straight path daawah i appreciate
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Maashallah tabarakallah mashezetu kwa kuwaelimisha wasiokua waislam Allha Awape umri wenye heri nanyi na Awaepushe na maladhi na Awape mwisho mwema🤲
@jumamwandoro8586
@jumamwandoro8586 Год назад
Wooow woow congratulations 🎉 👏 to spread da wah
@ramadhankisingile6539
@ramadhankisingile6539 Год назад
MashaAllah wajina nakupend kwa ajil ya Allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Jazak Allahu kheiran
@mosmart4718
@mosmart4718 Год назад
Luck of knowledge ati Ibrahim Nabii wa mungu amezini kama yeye amezini. Reality has been realised sheikh wangu
@muminaroba9122
@muminaroba9122 Год назад
Masha Allah
@salmaminja9395
@salmaminja9395 Год назад
Subhanallah. Ustadh Ramadhani Allah akuhifadh Akupe wepec ktk kazi ya da'wah akujalie mwsho mwema( pepo yake tukufu Biidhinilah insha'Allah) nac pia. Allahumma Amiiiyn Yaarab
@jumwamohammed4223
@jumwamohammed4223 Год назад
MASHA ALLAH SHEIKH UNAFANYA KAZI NZURI ALLAH ATAKULIPA
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
MashaAllah, what a massive effort from Ustad Rama! TabarakAllah Team! Ku SUJUDU ni hivi: Matthew 26:39 ► King James Bible And he went a little further, and fell on his FACE, and prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt! THE FACE must touch the ground in total SUBMISSION to the ONE who created you. Beautiful point from Ustad about the BARAKA on ISMAIL as compared to ISSAQ, whose 'baraka' is confined to a TINY corner, SMALLER than Marasabit County! Hawa Bible writers hawa adabu, wamem fanya BI HAJRA Maid? Ibrahim na Sar'a walikuwa na Sufuria na Mwiko moja au mbili, MAID ata kuwa niwa kazi gani kwa IBRAHIM? Ujinga tupu from the Writers!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Kweli kabisa. Great point ya Ustad.
@ggv866
@ggv866 Год назад
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh sheikh Ramadan
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Allah wakabar
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
Verily, you (O Muhammad) guide not whom you like, but Allah guides whom He wills. And He knows best those who are the guided.” (Glorious Qur'an 28:56)
@samxx411
@samxx411 Год назад
Mashallah sheikh kwa daawa
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
Mungu akujaze kheri shekh ramadhan kwa kazi nzuri na kuwa na hekma kwa ulinganizi ulio wa haki
@omarshaban4735
@omarshaban4735 Год назад
Masha Allah sheikh ramadhan
@faridahkavochi8079
@faridahkavochi8079 Год назад
Mashaallah tabarak Allah
@halimaomar3280
@halimaomar3280 Год назад
MashaAllah TabarakaAllah
@omarkash4099
@omarkash4099 Год назад
Doh! Sheikh Naona ilibidi uvae miwani kujistri🤣🤣🤣 Lakini MashaAllah, kwa muda mrefu sana sijaona mkristo ameshindwa na kutafsiri bibilia yake, yaani wengine kiazi kilishindwa kupita koo😁😁😁...Mola akuzidishie kwa kazi njema munayo fanya
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 Год назад
Yaani mada tamu sana😀😀😀😀wabishi bawo
@hafsakirao398
@hafsakirao398 Год назад
JazakAllah Kheir ❤
@ianhassan1116
@ianhassan1116 Год назад
Masha Allah masha Allah
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Kupitia daawa mitaani nimejua wakirsto hawasomi bblia nakuifahamu ila hubaki tu kuamini yesu nimwokozi wa maisha.na imani bila vitendo haufaulu kw Mungu
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Ni kweli kabisa Alie sema hivyo bibilia iewe unawasomea kwanza kasabubu Quran wengine hawamini
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Sheikh umependeza MashaAllah.
@suleymanali431
@suleymanali431 Год назад
masha allah mungu akuzidishe akhi, bali walikua wengi hapo nathani walikua wanatarajia kua waisilamu ila maswali yao ikazidi uka wacha hapo nyuma, kuna kijana mmoja hapo mwanzo mwanzo kwa video 24.13 alikuuliza akisilimika saa hii na alikua na imani nyingine tofauti akauliza nani atamuelekeza yaani atapata masomo ya kidini vipi ukamjibu vizurii bali hukumuuliza kaa labda ako tayari kua muisilamu, huyo jama anaonekana alikua na interest sana , bali shekhe wentu ulikwenda kwa wengine ukamsahau , lakini haina shida labda allah subhanahu wa taala hakumundikiaa awe muisilamu
@faridahussein4962
@faridahussein4962 Год назад
MashaAllah ustadh Ramadhan
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 9 месяцев назад
Mashallah mafunzo mazuri Asante sana
@mugishadjuma6617
@mugishadjuma6617 Год назад
Sheikh Ramadhan Allah akulipe kila la kheri pia miwani imekaa Safi sans😎
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Mashaallah
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Год назад
MashaAllah barakallahu fiiqum Allah awalipe kila la kheri na pepo iwe mashukio yenu
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Masikini huyo mzee mpk anatia huruma
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Год назад
Mashallah jazakallah kheir masheikh wetu dawaah kwa sana wataelewa tu
@munasayed8657
@munasayed8657 Год назад
Maa Shaa Allah Tabarakallah Allah akulinde shekh ramadan
@mutomubaya
@mutomubaya Год назад
Yule ameuliza kama anaweza kumtoa mwanamke kwa Uislamu ni vyema aelewe lengo la Uislamu ni kwamba Allah amewatuma Mitume wawatoe watu kwenye giza la kuishi kwenye uwongo wa kudai hakuna Mungu au kuna miungu au mtoto wa Mungu, wawapeleke kwenye nuru ya kuamini Mungu mmoja yaani njia ya Mitume wote.
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 Год назад
MA SHA ALLAH
@bahatikenia39
@bahatikenia39 Год назад
Mashaalah
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Mashaallah tabarakallah Allah akuzdshie akufanyie wepesi
@Blowcurlyhead
@Blowcurlyhead Год назад
Maths ya hawa jamaa iko funny 1+1+1=1 😂😂😂 Allah awaongozee ameen
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Sub'hanahllah
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 Год назад
Maashaallah, ambae hajasilimu hapo ni kiburi tu... Daawa ipo open kabsa
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Na Ustad ali sahau pia ku mention the fact that uzaa wa ISSAQA hawa kuwa na baraka kwa sababu, apart from being limited to a SMALL strip of land smaller than MARSABIT, kabila 8 out of 12, walio ASI MUNGU, led by Kabila la Judah na Reuben, wali GEUZWA na kuwa MaNYAANI na WaNguruwe, na MUNGU! KWA hivyo, ukila NGURUWE, basi jua hiyo, unam kula kabila la JUDAH na REUBENI
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Kweli, SIO dhihaka! KABILA karibu sita wali asi na waka geuzwa waka MaNYAANI! That is why scientists wana sema DNA ya APES is SAME as Humans LAKINI, LAKINI, hawa pati CONNECTION how that is possible! Ni kwa sababu ni MUIJIZA wa MUNGU ss a punishment to uzaa wa ISSAQ! SIMPLE!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
@@Sal.0 Well said bro! ☺☺
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 Год назад
We are not related with Isaac or Abraham.our genes as black people are not related.we have our forefathers and know and worshipped God creator of all even without these religions.
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
@@janaleokesho8374 True. But you need to explain these Facts to the African 'chriistian' , as for some strange reason, they think that they are related to Issaq! I think maybe they dont have Mirrors in their bathrooms! 🤔🤔
@SaidMgeni
@SaidMgeni 11 месяцев назад
Allah awajaze Kila lakheir
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Год назад
Mashaallah mashaallah
@mosmart4718
@mosmart4718 Год назад
Dada ameustuka
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Mkenya meusi hajui lugha yake ayibu Sana kwa wafrika
@Mtumwa-x5x
@Mtumwa-x5x 7 месяцев назад
Mashallah shekhe Ramadhan
@mansourhubby7398
@mansourhubby7398 Год назад
Sauti habyb
@njaginjeru7131
@njaginjeru7131 Год назад
STRAIGHT PATH DAWAH, NINGEPENDA KUELEZWA VILE QURAN ILISHUKA...
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Sawa karibu wasiliana nasi
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Na BA'ADA YA KU ELEZWA, uta DO NINI?
@AhmedMohamed-um8ox
@AhmedMohamed-um8ox Год назад
Mashallah so nice
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Wakuelewe sana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyew atakaporudi yesu
@mustafahlokol7338
@mustafahlokol7338 Год назад
Shekh wangu leo macho nne
@sakinahassani1455
@sakinahassani1455 Год назад
MashaAllah MashaAllah
@NimoJama-iw6tg
@NimoJama-iw6tg 7 месяцев назад
Allah Is power fully
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 Год назад
Mashaallah Allah akuongoze katika njia iliyonyooka InshaAllah
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Год назад
Zaburi 67. 2. Njia. Yake. Ijulikane duniani.kote.wokovu.wake mataifa yote. Mwamini yesu. Yohana14:. 6
@khadijanigogo698
@khadijanigogo698 Год назад
Mashallah tabarakAllah❤
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Год назад
Maasha allah sheikh wetu. Kazi yako nzuri, Allah atakulipa duniani na akhera. Hiyo point ya eid kidogo imenichanganya. Kiarabu eid ni sherehe yoyote ile, au sio? Inawezekana kwenye tafsiri ya bible wametumia neno eid kwa sababu hiyo. Hii ni tanbih tu, ili ujiandae vizuri utapokutana na wakristo wenye kujua kiarabu.
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
Huyu jamaa alie vaa t-shirt ya njano anataka afundishwe historia " Adolf Hitler aliwauwa wa Israel wengi sana hivyo baada ya vita ya 2 ya dunia wamarekani wakawachukuwa Israel kwa maslahi yao hivyo ukiwakuta Israel marekani historia iko hivyo" watching this from green and spice island (Zanzibar)
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Mim nilikua sijaelewa nilijua huyo mzee wa bahatimbaya kwamba sio yeye Alie weka mimba 😀 kumbe mwenyewe alafu anasema bahati mbaya Yani Bora ata asingesubutu kusema ivyo maana kajitia aibu t naona mm
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
MaashAllah Allahu akbar
@hamzamohamedabdi9105
@hamzamohamedabdi9105 Год назад
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar
@tojotv6414
@tojotv6414 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Tutaama tu kama Wana wa Izilaili.
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Masha Allah mungu atazidi kumuongoza huyo Alie silimu Amin
@khadijaali2173
@khadijaali2173 Год назад
amin
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Amiin afe akiwa muislam
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Год назад
Wakristo ebu kuweni na akili na utaratibu wa kusoma vitabu vya Mungu vyote utajua ukweli upo wapi msipende kudanganywa na wachungaji wenu na kuimba sana pasipo faida kwa MUNGU
@stevenmwema3339
@stevenmwema3339 Год назад
Sheikh mimi nilislim jana sijui jinsi ya kuswali Naomba mwongozo wako
@mariamfouziawairimu7991
@mariamfouziawairimu7991 Год назад
Masha'Allah! Mwenyezi Mungu akujaalie baraka tele kwa maamuzi yako ya busara kusilimu na kuifata dini ya haki. insha'Allah Ustadh atakuelekeza ... Hapo ulipo ukienda msikitini utasaidika. Jazak Allah khayran.
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 Год назад
Mashallah karibu kwenye dining ya haki
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Ma sha Allah tabaraka llah karbu ndugu ktka dini ya haki n uende msikiti ulio karbu naww
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Год назад
Jamaa huyo mlongo kweli, hapo aaje ujinga kutudanganya. Atio alio muislamu wapi. Hakuna
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Год назад
Mm nikisikia mtoto wa kike WA kislam kuenda kufanya upuzi kma huo tena mtu nje ya dini ya uislam na hata Kwa uislam yenyewe dhambi na Kwa hawa wasio kua waislam ndio madharau kma hya sasa wanajigamba mbele ya MTV mungu atuhifadhi na dada zetu wallah aibu hizi
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Yani ni kheri asingesubutu kusema ona ss Yani ndio km amemuowa halafu akaona mume wake anavyo mtangazia hio dhambi asige kubali hatakukaanae huyo mume maana katowa Siri ss
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 месяцев назад
Lazima tuwe n msimamo katika dini Allah alisema la takrabu Zina kwann ufanye? Allah atuepushie n machafu
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Год назад
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Huyu Wecliff Mapengo ni Nyoka! Wecliff ame ZINI, halafu amepata MTOTO wa ZINA(Child 🧒 has NO blame) AND then he has the Audacity to accuse Prophet IBRAHIM of doing what he, Weclife did!? What a Snake 🐍 and a Hypocrite! Na huyu mschana haku pata MWANAUME wa ki sawa sawa, a real Man, instead of this SNEAKY Mapengo!?
@banyankirubusamarc1727
@banyankirubusamarc1727 Год назад
Bini kaguu hao watu wuko anapotosha Siku yakiama utapigwa kuliko watu wengine, hizo sikukuu ulizo unawaeleza ukisema idi yiko ndani yabibliya , maneno hayo yiko kwa bibliya mulizo jicapiya nyie bibliya sahihi maneno hayo hayuko, pameandikwa utafulahiya siku kuu sio idi ni sikukuu, wa sio soma ndoo wanapotoshwa na kutumia ujanja wenu.
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Kumbe huyu Wekliff ame LAANIWA na Ibrahim!! Wekliff amekwenda kama PANYA aka Zini mwenyewe, halafu anafikiria ku zini ni khitu normal! Wekliff tema Uwongo kuhusu Ibrahim! Hawa WaJinga huwa hawa fikiriyi kabla yaku ongea? Common sence iko wapi kutoka hawa WaKristo!
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Год назад
Ako story mob. Hazina maana
@jokepenis2016
@jokepenis2016 Год назад
Wamelipwa pesa ngapi name niwe moja wao?❤️🙏🙏🙏
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Год назад
😂😂😂 ati kayombo tole 🤪
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Hatariii
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Bora mtu achague jina km hana mumpee jina baadhi achague.
@kimsi682
@kimsi682 Год назад
Ukweli, Ukweli,Ukweli. Ndugu zetu waislamu, Angalieni clip hii hapa-> (ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-P5aFppM13H4.html) INAYO USHUHUDA WA KWELI NA MUJIOKOENI KUTOKA HATARI KUMBWA MBAYA.
@njaginjeru7131
@njaginjeru7131 Год назад
QURAN ILISHUKA NA LUGHA YA KI ARABU!!🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂🤣😅..MAANAKE ALLAH HAWEZI ELEWA LUGHA INGINE, MAANAKE LAZIMA WAOMBE NA LUGHA YA KI ARABU!!😆😆😆😆
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Allah ameipendelea lugha ya kiarabu sababu aliona ndio itakua lugha nyepesi kwawatu nandio mana dunianzima husomwa Qur'an kwa kiarabu Ibadan zote huendeshwa kwa lugha ya kiarabu hataka ww ni mchina na kwa taarifa yako tu nakupa lugha yakiarabu ndio itakayo tumika kesho yaumul kiayama wewe ikatae Leo but kesho ukilia ikisaga Meno utalia kiarabu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Wewe unadhani injili alipewa yesu bila lugha spacial?
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 Год назад
We unafikr yesu alipewa injili Kwa kiswahili alfu mbn nyie WAKIRISTO ni km mazuzu kwaiyo yesu yy alikuwa mswahili au?, Muarabu au nan, tatzo LENU biblia anasoma mtu mmoja tu na nyie hata hamuwez jitambua pumbavuuuu kwaiyo yesu alishushiwa dini Kwa kiswahili wakt yy mwenywe alikuwa muarabu au hujui Ilo pia?
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭 andiko?
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Год назад
@@sharifuahmed8340 Yesu alikuwa mwarabu wa nchi gani maana mnapenda kuokoteza maneno Mungu wetu anasikia lugha yoyote maana yeye ndiye aliye ziweke kugha hizo sasa huyo Allah wako anae sikia Arabic peke yake ni Mungu wa wawapi?
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Masha Allah
Далее
WAKRISTO WAUPOKEA UISLAMU KWA ROHO SAFI HUKO CHEPNYOGAA
1:21:18
WACHUNGAJI WAPITIA WAKATI MGUMU
1:02:24
Просмотров 20 тыс.
Ромарио стал Ромой
00:46
Просмотров 89 тыс.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA
1:13:34
Просмотров 27 тыс.
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26
WAKRISTO WASILIMU KISUMU BAADA YA KUONA HAKI YA UISLAMU.
1:40:44
DAAWAH MITAANI KIBERA SHEIKH YAHYA AND PASTAR ODARE
34:22
MCHEZAJI WA LITUNGU AIKIMBIA BIBLIA KAKAMEGA
1:54:51
Просмотров 15 тыс.