Good afternoon wanahabari kwa unumla Nawatakia Amani teletele Tu naomba haki itendeke kwa kila Mwana Habari kupata uhuru wakati Tunapo kua katika kazi zetu katika Taifa hili pamoja na Ma Taifa mengine Mbona wanahabari wapigwe risasi? Haki iko wapi Tupewe haki zaetu Wanafanya hinyo kwa sababu wanajua wataoneka katika Mataifa mengine kuua watu God bless you kila Mwanahabari
Ruto online watu wameshapiga Kura wewe tumeshakukataa,,ongoza inch ya kenya Kwa mapezi yako hila sio Kwa sababu za wana nchi wa kenya,, Mungu ameuzunika kukuweka Kwa icho kiti,,,,,,