Тёмный

MAELEZO ya MASHAHIDI YADAI PADRI ALIMUAMBIA BABA ASIMWE AMUUE ASIMWE- ATAMPELEKA DAR-KUMNUNULIA GARI 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

MAELEZO ya MASHAHIDI YADAI PADRI ALIMUAMBIA BABA ASIMWE AMUUE ASIMWE- ATAMPELEKA DAR-KUMNUNULIA GARI
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@globaltv_online
@globaltv_online 9 дней назад
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 9 дней назад
Ujumbe muhimu ni mmoja tu. 'Tubuni maana ufalme wa Mungu umekaribia' !
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 дней назад
😢😢😢😢
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 9 дней назад
Amen
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 9 дней назад
Amen Amen 🙏🙏🙏
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 9 дней назад
Amina ❤❤❤❤❤
@NyotaBalolane.
@NyotaBalolane. 9 дней назад
Amina hiyo ni kwe waombe tu msamaha kwa Mungu na kwa mzazi hata wakifungwa Mungu awe alisha wasamehe
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 9 дней назад
Padri mchawi! Halafu baba mtoto alikua na tamaa ya fedha na maisha mazuri, ufahamu wake haukuwa na wazo jingine la kufikia ndoto alizonazo ila aliona fulsa ni mwanae tu mwenye ulemavu wa ngozi! Mungu awalipe sawa sawa na matendo yenu.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 дней назад
Aamina
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 9 дней назад
Padri anyongwe kabisa. Amegeuka mganga au yani unashauri mwanaume mwenzio amuue mtoto wake iliumnunulie gari??? Subhanallah 😢😢 mmevuna mlichopanda Mavi nyiy hata shetani anawaogopa
@omanoman2044
@omanoman2044 9 дней назад
Kabsa et mav nyie😂😂😂😂😂😂
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 9 дней назад
Math 3 : 2 tubuni kwa maana ufalme Wa mbinguni umekaribia
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 9 дней назад
Padri roho yake imejuta ameona heri kukiri dhambi mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu, apate Rehema kwa Mungu, kisha afungwe jela lakini roho yake isalimike mikononi mwa Mungu tu. Kama amekiri kwa kinywa chake kweli Mungu amrehemu Ampe amani moyoni maisha yake amwishie Mungu. Akifungwa aipokee adhabu maana sheria lazima ichukue mkondo wake. Na jamii tujifunze katika hili tukio
@mariammohamed6762
@mariammohamed6762 9 дней назад
Dini nyingine tuziangalie jamani ukichunguzavizur ndio zilezile zinazohamasisha ushoga😢😢😢
@luhanganokapole7759
@luhanganokapole7759 9 дней назад
Dini gani acha ushamb ww
@ellenirelli4912
@ellenirelli4912 9 дней назад
Sio dini ni akili yako tu
@neemataris3273
@neemataris3273 9 дней назад
Usihusishe dini na maisha ya Mtu binafsi, Pia ushoga hauko katika dini ni maisha ya mtu binafsi na kama wewe si wa imani inayohamasisha ushoga inakuwaje ukashawishika ikiwa unamhofia mwenyezi Mungu kwelikweli na je mashoga wote ni wa hiyo dini unayosema?
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 9 дней назад
Hapo nakataa kwanza mashoga wengi ni proud to be,pia hajafanya huo uovu Kwa kutumwa na dini yake.
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 9 дней назад
Unaropoka wew ee???
@Ushauri235
@Ushauri235 9 дней назад
Pole sana padri shetani Yuko kazini Mungu akusaidie
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 9 дней назад
pole hii inafaa umpen mama yake mtoto
@prezgal8869
@prezgal8869 9 дней назад
Serious unampa pole padri😢
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 9 дней назад
Uko sawa kweli wewe
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 9 дней назад
Comment ya hovyo kabisa,,yaan mtu ashiriki dhambi ya kumuua mtoto asiye na hatia halafu umwambie Mungu atamtia nguvu??? Aibu kubwa sana
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 8 дней назад
Labda pole yakukosa gari baada yakumuua Asimwe. Aliniliza huyu mtoto karibu haaaa aise
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 9 дней назад
Mungu naomba awakumbuke kwazambihii
@uniquefactsmediaufm6735
@uniquefactsmediaufm6735 9 дней назад
Mathayo 24:12-13 [12]Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold. [13]Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka. But he that shall endure unto the end, the same shall be saved.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 9 дней назад
Ila watanzani baadhi yetu toka tumejuwa hela imekuwa shida sana kwakweli wakati mimi nakuwa tulikuwa hatuna maisha mazuri kulikuwa hakuna haya mambo kabisa ila kwa sasa imekuwa shida sana maana tamaa ya maisha mazuri inatuletea ukatili kama huu na mengine mengi yaufisadi katika kuhudumia Jamii.kwakweli.Watanzania wenzangu baadhi yetu wanatuletea laana kwa Mungu kwa matende yao.
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 8 дней назад
Mungu amlaze mtoto asimwe mahali pema peponi amina
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 9 дней назад
Mh Wenzetu wakikosa wanakwenda kutubu kwa Padri, sasa Padri atakwenda kutubu wapi? AMKENI.
@user-ox4db5kz1i
@user-ox4db5kz1i 9 дней назад
Ww ndo uamke hujui vitu hujui padri anatubu wap
@user-gc2bk4rq9k
@user-gc2bk4rq9k 9 дней назад
Tafuta utakatifu wako binafsi sio kwa mtu...
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 8 дней назад
@user-ox4db5kz1i Usipandishe HASIRA, kupandisha Hasira kunaashiria kitu, na kilicho KUHEMSHA ni neno amkeni hiyo ni jibu tosha kuwa UMENIELEWA , Narudia tena, tena kwa herufi kubwa *AMKENIIIIII*
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 9 дней назад
Subhanallah
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 дней назад
Sasa mnataka ushahidi gani kupoteza mda tu wanyongeni au waacheni wakafanye mengine huko mitaani
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 9 дней назад
Tunaenda wapi mungu wangu
@fifo262
@fifo262 9 дней назад
Motoni
@omanoman2044
@omanoman2044 9 дней назад
Yan bab unakubali kuuw mtt kwa ajiri ya vituy vya dunia mungu wangu wakafugwe miaka yote duuh et na milion 30 sasa nipesa hizo huyo padir nayy asiachiwe kabsa
@gapserminja5215
@gapserminja5215 9 дней назад
Sijui niseme Nini🤚
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 9 дней назад
Umaskini mbayaa
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 9 дней назад
Hamna DINI MBELE ya Allah ila UISLAM KARIBUN NDUGU ZETU
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 9 дней назад
Hao ndio alshabab wanaua kweupe
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 9 дней назад
@@isaacmwaseba9972 na upande wa pili ndo wauwaji nchi za kiarabu na kutetea USHOGA
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 9 дней назад
😂😂😂😂😂
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 9 дней назад
Kwa sababu waisilam hawana Dham et e😃😃😃😃😃 dini c Kila kitu bila matendo mema
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 9 дней назад
Tena waisla ndo wauwaj htr wanachinja kama kuku
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 9 дней назад
Mapadri wengi wanakuwa mapadri sababu ya tamaa ya urahisi wa maisha kwani kila kitu wanahudumiwa bure.wengi wao hawana wito wa kimungu kabisa.Mungu ashughulike na mashetani kama haya
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 7 дней назад
Wote wanyongwe hawana faida yyt dunian
@emmanuelandrea9794
@emmanuelandrea9794 9 дней назад
Kesi za hovyo sana Kila siku kesi kesi si wanyongwe
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 дней назад
😂😂😂😂😂😂ndugu unarahisisha sanaaaa
@joycemlay5762
@joycemlay5762 9 дней назад
Duhh
@fifo262
@fifo262 9 дней назад
Huyo ni muuaji asili yake asimsingizie padri
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 9 дней назад
Nawaombea hakimu mtoe hukumu ,kweri kweri mashetani hao ,wametuulia mtoto wetu .
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 8 дней назад
Huyu padri auliwe nae hazarani aonyongwe ni gaidi mkubwa hafai kua nje na jamii ikawa na amani kwa nn asingemchukua muumini wake mmoja ambae wanawaita makondoo wao angechukua kondoo lake moja
@SafeWay-d4e
@SafeWay-d4e 9 дней назад
Daaah
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 9 дней назад
Unamuua mtoto wako kisa utajiri Subhanah
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 9 дней назад
Yachomwe moto hadharani,iwe fundisho,yackie utamu wa malaika alockia.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 дней назад
Patrick noma anarohombaya. Alitaka na.walouwa wajiuwe na sumu daa. Mtihani kunawatu wanarohongumu
@kashindesalha8107
@kashindesalha8107 9 дней назад
Heti apelekwe daa😮
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 9 дней назад
ee mungu tusamehe kwa umwagaji wa damu kiasi hiki taifa haliwez kuwa salama...hii damu bado inalia chini ya ardhi mmeingiwa na roho gn nyie watu mpaka kupata ujasiri ya kinyama namna hii
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 8 дней назад
Hovi hiyo ni padri au jambazi ti ,hawa wanyongwe tu
@kolumanialoyce4623
@kolumanialoyce4623 9 дней назад
sheria zifanye kazi yake kwa kishindo
@issakimvuli2099
@issakimvuli2099 9 дней назад
Padri mchawi😮tumekwsha!
@mariajames5558
@mariajames5558 8 дней назад
Jamna watu tumekuwa kama wanyama
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 9 дней назад
padri unashida gan jaman
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi 9 дней назад
Mmh
@MrossoBarth
@MrossoBarth 9 дней назад
Huyo Padre hovyo kabisa
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi 9 дней назад
Dunia imaisha
@JumanneThabiti
@JumanneThabiti 9 дней назад
Dah sasa padri si ndo huwa wenzetu wanaenda kutolewa dhambi zao padri ndo huwa anatoa sasa wataenda wapi tena jmn😮
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 9 дней назад
Aya mtoto amelala kapumzika naivi mbingu niyao wala atuna mashaka sasa imebaki nyinyi kusumbuka kwa uvivu wa kufikili nendeni mkatajilikie gelezani na magari mtaendesha ukouko
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 дней назад
Mungu wape adhabu kubwa leo hawa.
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 9 дней назад
Nacheka ka mazurii Sasa padrii afu Tena mganga Yani padri alitaka nguvu za miujiza?? Ndo maana alitaka viungo vya mtoto albino au?? Sasa padri na ushirikina wapi na wapi?? Jmnii Bora hata wasabato aisee
@SungiMahumbi-s8h
@SungiMahumbi-s8h 9 дней назад
Kwanza huyo si padre ni shetani anadhalilisha imani yetu Ee Mungu tuhurumie
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 9 дней назад
achen tumckie huyo padri akisema kwa kinywa chake kwamba yee ndio katamka hivyo....me mpaka nione huyo padri akitamka mwenyewe ndio nitaamini ila hapo umesema ww
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 9 дней назад
Ehee Mungu tunakuomba uturehemu. Hii kama angefanya mchungaji leo ingekuwa matarumbeta. Bila kujua kuwa hawa ni watumishi wa Mungu na wanaweza kufanya makosa kama wanadamu wengine. Kazi kwetu ni kuwaombea...lile andiko la watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ambalo wengi wamekuwa wakilitumia inapotokea mambo yametokea kwenye huduma za kiroho hapa napo linatakiwa kutumiwa kwani haya ni kukosa maarifa ya Kiungu😊
@user-pr5mz5cq9t
@user-pr5mz5cq9t 9 дней назад
Padr kabisa anatuhaibisha sana.huyo angenyongwa tumsahau kabisa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 дней назад
Mijitu kamahiyo wauwaji ndiyo wasiyojulikana wangewachukua. Wakawashuhulikie huko nasi kuwachukua watu wema
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 9 дней назад
mhhh v8 ihii au yakuchora
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 9 дней назад
Wanyongwe wote wachawi
@EvarineMdaki
@EvarineMdaki 8 дней назад
Shetani hana Urafiki.
@saidikilo5088
@saidikilo5088 9 дней назад
Viongozi wa dini au viongozi wa mashetani
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 9 дней назад
V8 yake hitakuwa ni mbo huko jela nikitenda Cha kinyama sana
@florangido202
@florangido202 9 дней назад
WANYONGWE HADHARANI BAHARINI DAR ILI IWE MWISHO WA MAMBO HAYO.
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju 9 дней назад
Majuto ni mjukuu"makuma ya mama zenu"mmelipwa mlichochuma
@chikujuma18
@chikujuma18 9 дней назад
Msione aibu mlichokifanya ni ushetan had padri duu hufai kabisa kafien jelambwa nyie kutoa uhai wa mtu mpate utajir mwenyezi mungu awalaan
@AllaudinMeghji
@AllaudinMeghji 9 дней назад
Wanyongwe hao sio binaadam
@EshaMichael-zw7zi
@EshaMichael-zw7zi 9 дней назад
M
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 9 дней назад
Wafe,mbwa,awo,wanyongwe
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 9 дней назад
Mapadri wote waanzwe kuchunguzwa ...!! Zc is madness mtu tunayemtegemea kuikumbusha jamii matendo matakatifu anakuwa na roho ya kishetani kiasi hcho, anawajua na kuwaamn waganga? Na sadaka tunatoa? Huku kwetu wananunuliwa magari na mafuta wanawekewa na waumin nafikiri kanisa katoliki lianzishe kikosi kazi kwaajl ya kuwachunguza mapadre wote.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 9 дней назад
.
Далее
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53