Тёмный

WANAUME LALENI NA KANGA WANAWAKE TUSIANDAMANE 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 100 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@zainabnoor2278
@zainabnoor2278 8 месяцев назад
Shukran kwa kutuletea somo mwenye madini yake MashaAllah...Allah awahifandi
@SadiNassib
@SadiNassib 8 месяцев назад
Somo pambe na nusu Mashallah Allah awabariki
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 8 месяцев назад
Asante Madam kwa Darsa Nzuri Tunapata kujua yaliyojificha Naangalia kutoka Oman
@muhammadMwinyikombo
@muhammadMwinyikombo 7 месяцев назад
Kwakweli ilmu ni faradh ❤
@RahmaRashid-lc6nw
@RahmaRashid-lc6nw 8 месяцев назад
Mashallah Mashallah somo bado uko mdogo lkn una madini unaokoa ndoa za wengi mafunzo yamejaa staha nakusikiliza kutoka Uk
@soamShs-cp4dl
@soamShs-cp4dl 7 месяцев назад
Msikilize vizur sababu sababu waume zenu wakija Tanzania mara nyingi wanaowa unachezea mambo ya kanga haha
@RahmaRashid-lc6nw
@RahmaRashid-lc6nw 7 месяцев назад
Ndo weye nn umeiba mume wa watu hahahhaha
@danielshauri6390
@danielshauri6390 8 месяцев назад
Asante sana dada
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer 8 месяцев назад
Najoto hili ni bora uvae kanga
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 7 месяцев назад
Mashaallah tabarakallah
@generosennko8343
@generosennko8343 7 месяцев назад
Asante sana. Kipindi safi sana. Natamani kanga. Ila sijui ntazipataje
@zainabuali9915
@zainabuali9915 7 месяцев назад
Mtafute somo kwa no iliyopo japo kweny kioo utapat kanga pambe tu
@atfatabdul5414
@atfatabdul5414 7 месяцев назад
Masha Allah ❤❤❤
@abuufarheenfarid9320
@abuufarheenfarid9320 7 месяцев назад
Sio kisiwa ni visits vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
@aishabarua6857
@aishabarua6857 7 месяцев назад
Shukuran daa Hatia,kwa mafunzo ya kanga
@saidhamad7504
@saidhamad7504 7 месяцев назад
A: Unajua ukiwa somo unakutana na vitu vingi B: Bila shaka!
@danielshauri6390
@danielshauri6390 8 месяцев назад
Nimepata somo kubwa sana , maana halisi ya khanga
@zainabuali9915
@zainabuali9915 7 месяцев назад
Yaan raha sana😂😂😂😂😂😂😂
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 2 месяца назад
Mcheni mola wenu mwanaume haifai kuvaa kanga anajifananisha na mwanamke dini imekataza
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 7 месяцев назад
makosa jamani kusema maneno hayo kila mzanzibar anajua
@NelsonMuindee
@NelsonMuindee 7 месяцев назад
Somo inamalezi ndani yake.
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 7 месяцев назад
aibu jamani umwambia mwanamm e maneno huyo makosa jamani hiyo ni siri yako na mumeo tu
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 7 месяцев назад
Khanga imaongeza nguvu😂 we mwana utazifanya ziadimike😅
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto 7 месяцев назад
Haziwezi kuadimika 😂
@AshaMakame-dc4nz
@AshaMakame-dc4nz 5 месяцев назад
Madam, kanga ya shingo hata kwa mwanamke alieolewa, has Kwa mwanamke mwenye kibuno
@abuufarheenfarid9320
@abuufarheenfarid9320 7 месяцев назад
Visiwa
@AbdullahAli-o8z
@AbdullahAli-o8z 8 месяцев назад
Hahahaha jamaani hadimpunguze uwazii wengine wanao tazama ni watoto
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto 8 месяцев назад
Mtoto kafika youtube? 😂
@bintiyusuf9
@bintiyusuf9 8 месяцев назад
Dada attiya naomba no yako please
@kulthum8335
@kulthum8335 8 месяцев назад
Mashallah ​@@AttiyaHassan_somomtoto
@AbdullahAli-o8z
@AbdullahAli-o8z 8 месяцев назад
@@AttiyaHassan_somomtoto hahahahkqhq watoto wengine wa kimaumbile yaani bachela na bachelati wakiskia hivo mnawatia mawazo hawana wa kuwavalia hahah 😆 😂
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto 8 месяцев назад
@@AbdullahAli-o8z basi wana hashuo kutaka mambo si saizi yao muhim walengwa ujumbe uwafikie
@wardawarda6535
@wardawarda6535 8 месяцев назад
Nitavaa kanga iloandikwa *ukisusa wenzio wala*😂😂😂😂
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 7 месяцев назад
🤣🤣🤣
@ttss3712
@ttss3712 7 месяцев назад
😂😂😂😂Jmni mbn kumtishia mwenzio😂😂
@zainabuali9915
@zainabuali9915 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@maryammaryam7773
@maryammaryam7773 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 7 месяцев назад
Mmekosa adabu . Washenzi mlokosa haya. Mbwa kasoro mikia nyie . Mambo hayo yana wenyewe wala wasingejianika hapo kuongea . Mambo ya wakubwa yana ngariba. Mmekaa hamna tafauti na mashoga ama malaya wa kizungu kuongea uouuzi hawana sehemu wala mafundisho kutoka kwa waalimu. Nyie mkifanyiwa kazi na kama nyie basi hatuna haja ya ushenzi na ubaradhuli wenu.
@Allybinamour
@Allybinamour 7 месяцев назад
subhanallah, ni vizuri ungewaambia kwa lugha nzur kuliko kuwamalizia matusi kama ivo,kumbuka hawa ni binaadamu si wakamilifu. kama kila anaekosea anatukanwa uislamu usingepata mtu.
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto 7 месяцев назад
Kwa kosa gani haswa kwenye hiyo mada ilojadiliwa? Allah amsameh yy na sisi​@@Allybinamour
Далее
HII NDIO DAWA YA MWANAUME MWENYE GUBU (HUBBUL HALAL)
23:22
новое испытание
00:40
Просмотров 85 тыс.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)
29:25
Просмотров 21 тыс.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
Просмотров 75 тыс.
KUMNYIMA HAKI YA NDOA NI UKATILI PIA (HUBBUL HALAL)
29:07