Mwenyezi mungu utupe mwisho mwema na tuwe wenye kupokea kitabu chako kwa mkono wakulia kitabu kitukufu Quran, n utuepushe na adhabu za Dunia na akhera na umueke sheikh wetu Nyundo mahali Pema pepo na walio tangulia na uwafanyie wepesi wa kabri na uwape nuru katika makaburi Yao nasi siku yetu ikifika utufanyi wepesi nautupe husnaallfatma Amin Amin.