Тёмный

WATU HAWANA AIBU KUHAMASISHA NDOA ZA JINSIA MOJA HAYA NI MAAFA KATIKA DUNIA | SHK MSELEM 

Adil TV
Подписаться 187 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

#AdilTV #sheikhmselembinaly
• WATU HAWANA AIBU KUHAM...

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@bakariawadh4838
@bakariawadh4838 Год назад
ALLAH AKUPE UMRI MREFU SHEIKH MSELEM,KWA KWELI HUWA NAKUELEWA SANAA
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 Год назад
Subhannallah, Allah awashinde na awaangamize walionzisha na kueneza hayo mambo kun faya kun dua takabal yarab amiin.
@abassomarabass8661
@abassomarabass8661 Год назад
Subhannallah Allah awashinde na kuwaangamiza wale wote wenye kuchangia kuendelea kwa laana hizi
@AbdiHussen-f7p
@AbdiHussen-f7p 16 дней назад
Kabisa 😭
@hassanlewa5317
@hassanlewa5317 Год назад
Allah akubarki na akuhifadhi na akunusuru shekh pia akujazie kheri duniani na ahera
@shufaahamza847
@shufaahamza847 Год назад
Subuhanallah !!!! Utakasifu niwako Allah twakuomba molawetu ulie mzuri na unaopenda vitendo vizuri washushe chini zaidi ya vilivyo chin wote na wotewa hamasishao wafanyao Tabia hizi chafu 😭😭😭😭😭🤭
@hilalikaumo3470
@hilalikaumo3470 Год назад
Allah akuhifadh sheikh mselem
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 Год назад
Shukuran sana shekh wangu kwa kweli kabisa huu ndio ule wakati tulio ambia doh kwani watu watakikana kujichunga sana maana mwenyezi mungu akikasirika tushaumia in shaallah mwenyezi mungu awangamize
@twemeremunguzacharie6395
@twemeremunguzacharie6395 Год назад
Alhamudull'Allah ! Sheikh Nakupenda.. Sina Mengi!
@bizozmohamed9783
@bizozmohamed9783 Год назад
Subhannallah Allah is one
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Год назад
Papa yy Kasema live et mwenyez mungu anawapenda mashoga na wasagaj mtihan mkubwa
@mussafoum6562
@mussafoum6562 Год назад
Mashallah Mmung Akubariki
@daud405
@daud405 Год назад
Ameen
@AshaHassan-fl8tw
@AshaHassan-fl8tw Год назад
Mashaalah kipindi kiZuri
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Год назад
Mashallah ♡♡♡
@mohamedhassani4410
@mohamedhassani4410 Год назад
Tumuegope mungu
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 Год назад
Kwani awa wangu ndio mashetani wa kubwa sana yani wao kila Jambo mwenyezi mungu alio kikataza wao waona kwao ni sawa tu in shaallah mwenyezi mungu awalani
@jawahiriaelmy
@jawahiriaelmy Год назад
Sasa frimason wamekuja na mbinu mpya tuwe macho
@waziriboy9941
@waziriboy9941 Год назад
Allah Akbar
@ahmednadhiru3725
@ahmednadhiru3725 Год назад
Hii darasa ni live ama
@askofkibwe6106
@askofkibwe6106 Год назад
Shekhe msellem ww master
@angelsulle7177
@angelsulle7177 5 месяцев назад
Mlaaniwe sana kwa michoro yenu ya mnayoipenda lkn Kwa Wakatoliki mtabakia kuchora chora ninyi matahira
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 7 месяцев назад
Mkubwa wao wao amebariki ndoa za jinsia moja, na bado hawaelelewi, kana kwamba wametiwa pamba ktk masikio yao
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 Год назад
Hiyo picha ya Sheikh sio ya kweli
@kamembano4119
@kamembano4119 Год назад
Ni hatari Sana,umakini wahitajika kwa kweli.
@ahmednadhiru3725
@ahmednadhiru3725 Год назад
Ni hvi sasa
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 Год назад
Kwa kweli kabisa mambo kama aya yatakikana Kwanza raisi ndio mtu atowee sheria Kali sana mfano mzuri ni raisi wa Uganda
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Год назад
Nidalili tosha kwa wenye akili kujua hawa watu wanaamrishana wanaume kwa wanaume waowane bado tuu hamjatambua kuwa hawa hawana dini ya haki
@FatmaMsemakweli-ws2jr
@FatmaMsemakweli-ws2jr Год назад
Eee mwenyez mung tunusu na Hilo janga
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Alaikum salam wabarakatu usishangae nahao mashetani wamaframason mana papa alisema eti mahanithi niwana wamungu wakati ambao kaumu luthi imelaaniwa namungu hâta ndani ya biblia mstari huo upo Léo shehi feki anabusu papa hadharani Sisi waisilamu tusindanganyike hakuna shehi ambae amesoma kuruani hafidhu l'kuruani ambao atasubuti kufanya kitende kama hile shehi feki shetani aliovaa nkanzu na kofia tu
@raphaelrespiciusi1127
@raphaelrespiciusi1127 Год назад
Udini unakusumbua shehi na maustadhi mbona wengi wanafanya mambo ya hivyo,Cha msingi nikukemea bila kuangalia dhehebu maana hao ni binadamu tu,kukengeuka kupo
@marthasomi
@marthasomi Год назад
Washenzi
@muslimayussuf
@muslimayussuf Год назад
Hakika pepo imeumbiwa majini na wanadamu na moto imeumbiwa majini na wanadamu.Ushindi unatokana na Allah na hakika tutawashinda (mashoga) kwa nguvu za Allah .
@koberomizambwa7446
@koberomizambwa7446 Год назад
Kashfa kwa dini za wenzenu ni ushenzi. Mmezoea ugomvi.
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
Mwambieni Fatuma Karume kutetea mashoga ni kinyume cha maagizo ya Mwenyezi Mungu. Mbona anatangaza waziwazi, na ninyi Mashehe hamumwonyi hali ya kuwa ni binti yenu wa Kiislamu? Kabla ya kurukia mbali hebu tuanze na wale wanaotuzunguka, tukianzia familia zetu wenyewe.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Hapa kuna mgongano wa sintofahamu ndio dunia inagawanyika ktk hili, hawa wamezaliwa nyeti 2, wapewe uhuru au wateketezwe ?
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
AIBU YA KOFIA KUONEKANA KTK HALI HIO,KOFIA PICHA YAKE NI MSIKITINI !
@jifunzemengi1620
@jifunzemengi1620 Год назад
Adil tv hio picha hapo ni ya kweli kama si ya kweli basi ujue na wewe unahamasisha hayo mambo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
NENDENI KUMPOSA HUYO POP KWANZA
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Год назад
Shee has explain what god creat on this world woman and men have different body structure nectur seem sexeuly ,seem creator from God is lmposible creating nectur. Structure thing done by god let leave to god cicreat between god and what god creat on this world people have to follow it what god creat
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Usiweke picha za kishenzi wa wewe ah! Mada hapo ilitosha. Karibu nitakua sifuatilii TV yako.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Hivi mkuu wa wakristo ameshakua hivo ??? basi tusishangae ikiwa watoto wetu wanaharibiwa makanisani na maskofu namapadri katika nchi zaulaa
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 Год назад
Na yule ustazi mbona hujamtaja au unafikiri yanayofanya na mashekh na maustazi hatuyajui
@hassanlewa5317
@hassanlewa5317 Год назад
Huu ni uchafu ushoga una sababisha dhiki kwa walimwengu wote na hukmu ya ushoga ni sawa na mauaji . Laana zimufikia kila mwenye kukubali kufanywa kwa kitendo cha kaumu lut.
@raphaelrespiciusi1127
@raphaelrespiciusi1127 Год назад
Ujitambui ikiwa linaongelewa jambo kubwa la kidunia na la kutisha wewe unaleta udini,maustadhi,mashehe hata juzi mmeona askari kutokea Zanzibar mtoto wa kiislamu anafanya uchafu mmmmmmmm
@johnohms-jk4dt
@johnohms-jk4dt Год назад
Kuna watu wanachonganisha sijui lengo lao Nini....
Далее
Hivi ndivyo wanavyofanya wanasiasa SHEKHE MSELEMU ALLY
54:49
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
SHEEKH MUSTAFA | QISOOYIN OO UGU SAAMEYNTA BADAN_XUL 2024
2:44:02