Тёмный
No video :(

HISTORIA YA BI: MARYAM MAMA YAKE YESU || YESU KAZALIWA BEACH MAENEO HAYA || ALHAJJ DR. SULLE 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 424 тыс.
Просмотров 610 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 872   
@PriscaManonAman-nq9ir
@PriscaManonAman-nq9ir 10 месяцев назад
Hapa wakatoliki tu, ndio tutaelewa anachokisema huyu mzee mungu akubariki sana sheikh❤️❤️
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 Год назад
Mimi ni mkristo mkatoliki, kwa ufafanuzi wa Mheshimiwa Sheikh, nimekukubali baba. Mungu akubariki sana.
@leonceuwandameno760
@leonceuwandameno760 Год назад
HII haijalishi. shekh atuambie.. uilsmau ulianziswa lini. kwa nini sinagoga iitwe msikitiki? kwa nini hekalu liitwe msikiti. tunataniana?.
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Uislamu na Ukatoriki ni kitu kimoja.
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
​@@leonceuwandameno760 Sinagogi siyo msikiti, hekalu siyo misikiti weka hiyo kichwani brother.
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Год назад
@@frankmpembu Please be serious! tangu line kikawa kitu kimoja?
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Год назад
@@frankmpembu Ni kweli sinagogi siyo msikiti, wala hekalu siyo msikiti ... shekk anapobainisha kuwa Mariamu aliingia msikitini... anamaanisha nini?
@nobertkamugisha5177
@nobertkamugisha5177 10 месяцев назад
Duh! Mimi Mkatoliki mwenye msimamo mkali sana, Dr. Umetisha sana. Naanza kufatilia hotuba zako!
@emilykivunja1280
@emilykivunja1280 10 месяцев назад
Kiukweri Dr. Sulley Mwenyezi Mungu akupe kila lenye kheri hapa duniani mpaka ahera.
@jumamgandi-wi1cp
@jumamgandi-wi1cp Год назад
Axalam alyqum warahmatullah wabaraqatu shekh...mbna hufiki mombasa sehumu za mariakani ju wa2 wanatamani xna kukuona....inxhallah twakuombea ufike kwa neema ya Allah.
@nemeskiwali3248
@nemeskiwali3248 Год назад
Wallahi shehe umenigusa mno na Hotuba yako Mungu akubariki sana!
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 11 месяцев назад
Sheikh, hongera sana sana hii ndiyo hotuba iliyoenda shule. Natamani utunge kitabu cha maneno haya haya. Kiletwe hata makanisani kwetu tutanunua sana.
@jumamshana9868
@jumamshana9868 10 месяцев назад
Mashsllahh
@josephosborne3072
@josephosborne3072 10 месяцев назад
Safi sana Ustadhi Dr Sule, Ni hadthi tamu sana, tumeenda sawa, utofauti upo mazngra alipozaliwa Yesu, chini ya mtende/ Hori la kulishia ng'ombe, but kla mtu afuate alichofundshwa vyote tumeletewa but hongera sana wewe ni mwl.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Mashallah Mashallah kwa uhakika Uislam ni muongozo. Shukrani kwa elimu Dr Sule Allah akuweke.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 10 месяцев назад
Hayo hata kwenye Biblia yapo, hivyo muongozo upo kwenye Biblia
@EduwardPatrick-ux8dq
@EduwardPatrick-ux8dq 10 месяцев назад
Hakika tunastahili waislam kuyakemea mabaya sema shiekh wangu mwenyezi Mungu akupebaraka
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Год назад
Jazzak Allahu Khair,shukran sheikh Wang kwa elimu
@stevendavid8054
@stevendavid8054 Год назад
Amina shehe,,tuangalie majina ya kuwapa watoto,mimi ni mwinjilisti nimekupenda sana barikiwa
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Wewe ni mwinjilisti wa uongo, yani hujui kuwa anaongea uongo
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
Mungu akubariki nawe pia ndugu
@stevendavid8054
@stevendavid8054 Год назад
@@frankmpembu wewe ndo mungo na mnafiki,hapo sasa alizungumza uongo, kusema tuchague majina ya kuwapa watoto,acha ushenzi wako
@stevendavid8054
@stevendavid8054 Год назад
@@saidbakari2408 Amina Asante
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
@@stevendavid8054 Utamsilizaje na kumuunga mkono mtu ambaye anaongea uongo, tena anatumia neno la Mungu kutetea uongo wake na wewe humkemei, wewe ni mwinjilisti wa mchongo na muongo, maana mtu muongo hawezi kumpinga muongo mwenzake Yohana 8:44-45 44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo. 45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
@martinsntonyo8537
@martinsntonyo8537 Год назад
Fundisho nzuri sana Sheikh ubarikiwe inshallah
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Mungu akibariki sheh nimependa mahubili yako mungu akujaze
@FordinaMpangala
@FordinaMpangala Год назад
Nimependa mahubiri sana, mm ni mkristo
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
Ahsante sheikh Alhaj Doctor Sule kwa Elimu .
@fatmakombo6639
@fatmakombo6639 Год назад
Mashalah shekh Alhah akubariki
@abdulrahimowino1235
@abdulrahimowino1235 Год назад
Allahu Akbar. Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza Sheikh. Hongera kutoka Kenya.
@mohamedkibwana7558
@mohamedkibwana7558 Год назад
MashaAllah jazakAllah khair Sheikh Dr Suley
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Год назад
Kweli kabisa shekh hitoria ya Maryam unaijua,nashanga waislam wengi hawataki kujua hilo
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Ulijenga mjengo southninyi viongozi wa dini zote mna maisha bora kwa zaka za waumini
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Kumbe zaka robo tatu iende kwa wahitaji siku hiyohiyo ijumaa na j'mapili, mnabadili magari na hiyo pepo mtaionaje ?
@mahunduinnocent8027
@mahunduinnocent8027 Год назад
Hotuba mzuri
@Ashsultana
@Ashsultana Год назад
@@godfreyobadiah7892 😂😂😂😂🤣
@SWEETGALKHAN_001
@SWEETGALKHAN_001 Год назад
😢MASHAALLAH WALAHI VERY TRUE MAY ALLAH BLESS YOU AND ME ,AND GRANT US JANNATUL FIRDOWS 🕋🙏###ISLAM IS THE BEST DEEN FOREVER
@aishanassor1757
@aishanassor1757 Год назад
I am Muslim I love it please give me your number for know ing each other
@ipyanamwasampeta653
@ipyanamwasampeta653 10 месяцев назад
Only zombies and mentally ill people can believe in this cult known as islam religion. Your god called al lah is an imaginary statue with two hands both are on the right side and a leg, hence is not Spirit and anything without Spirit is a dead thing therefore has no divine powers, is powerless, is dhaifu. The God of Abraham, Isaac and Jacob is Spirit and this God is worshiped by Christians and Jews. Your god a stone called blackstone is in city called mecca and this stone is found at the corner of a cube called kaaba, muslims believe that once you kiss this blackstone all your sins are forgiven. Even the shetani of cult is also found in the same city called mecca, this shetani is punished by muslims by throwing stones in the building of this shetani and building has been built by muslims not shetani himself. Only fools can believe in this cult. Immediately after taking shahada know that your brain is gone so you become zombie. Even scholars of this cult known as islam religion they say that muslims are supposed to believe without understanding and are forbidden to question anything concerning their cult. It's said that 99.8% of muslims do not understand what is written in their book called quran because their god called al lah uses only one language that is arabic language and it's a must to pray in arabic language. Internet is killing islam.
@ahmedabdi3262
@ahmedabdi3262 Год назад
Allhamdullh shukrani kwa mungu ametuzalia masheik wenye wakona elimu
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 10 месяцев назад
Kuzaliwa kwa Yesu ni mpango wa Mungu, alizaliwa bila baba kimiujiza. Acha wote tumfuate Yesu
@marymule1678
@marymule1678 10 месяцев назад
Nakubaliana na ww maana kitabu Cha historia ya Mama Bikira Maria katoliki inafanana na hii Yako Mungu ni mwema
@silvanuschiwalanga46
@silvanuschiwalanga46 11 месяцев назад
Unaitwa Dr haki unastahili kwamaana unajua kujua kufafanua watu wa mungu waweze kuelewa tena kiuwepesi
@galusbenomillinga
@galusbenomillinga Год назад
Nimependa mahubiri yako Shekhe Sullen.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 11 месяцев назад
Mashalllah ❤nimependa mafundisho ubarikiwe Allah akupe mema ya nchi
@anodsimbeye9093
@anodsimbeye9093 Год назад
Kanisa la Mungu katoliki liki wafundisha juya mama bikira maria mnawajiajuu na kuwa tukana ndipo mumeanza kuku mbuka Amini.
@RehemaMassana-gm5ir
@RehemaMassana-gm5ir Год назад
Asante kwa somo zuri Mungu akubariki
@ahmedkamalmuhammad475
@ahmedkamalmuhammad475 Год назад
بسم الله الرحمن الرحيم السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Baada ya assalaam Naomba sheikh Atuletee mawaidha ya janga jipya linatusumbuwa na mashetani wa sasa. Masaala ya mume kuowa mume. Masaala ya me kuowa mke. Adhubilahi minaal sheitani alrajeem. Inshaallaaah. Barakallahu kheiran.
@fatumakambi960
@fatumakambi960 Год назад
Masshallah
@user-gs1to5lj9x
@user-gs1to5lj9x 11 месяцев назад
Hongera sana doctor
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz Год назад
MashaAllah mungu akulipe heri Kwa kutuelekeza yalio ya kweli
@bettyjimmy9007
@bettyjimmy9007 11 месяцев назад
Natamani kama vile uebdelee nimefarijika sana japo mimi mkristo mkatoliki
@adijamuke8590
@adijamuke8590 Год назад
Allah akulipe kilalakheri fidunia wali
@Mbumbuko
@Mbumbuko Год назад
Allah Kareem akufanyie wepesi Kwa kila Jambo maashaa Allah
@JidayiMpagulwa-r6i
@JidayiMpagulwa-r6i 9 дней назад
Shekh Mungu akubariki me mkatoriki kwa mawaiza haya pamoja sana
@piustombili9921
@piustombili9921 Год назад
Mawaidha ambayo hata mkristu akisikiliza anaelewa safi sana Sheikh
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Anaongea uongo, Waislamu zindukeni
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
​@@frankmpembukakojoe ulale mpinga kristo
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 5 месяцев назад
Allahou Akbar cheikh sule acha allaha azidi kukupa umri marefu cheikh wangu nakukubali sana
@lameckmadeni
@lameckmadeni Год назад
Inshallah mwenyezi Mungu akubariki sheikh
@HazlaKhamis-xw6se
@HazlaKhamis-xw6se Год назад
Mashallah Allah akufanyie kila la kheri sheikh SULE inshaallah
@mariamjuma8580
@mariamjuma8580 Год назад
Mashallah ostazi 🙏🙏🙏🙏
@augustinematwe2797
@augustinematwe2797 11 месяцев назад
Sheikh Allah akubariki.mimi ni mkristo.
@nassirlugunda1544
@nassirlugunda1544 Год назад
YOU DID IT DR SULE YO ARE REAL DOCTOOR
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Doctor wa uongo
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
​@@frankmpembukaa kwa kutulia mpinga kristo wewe
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
@@saidbakari2408 Mimi siyo mpina Kristo Kwasababu naamini Yesu ni mwana wa Mungu kama alivyosema yeye mwenyewe. Yohana 9:35-37, 35 Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu? 36 Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? 37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Wewe ndiyo mpinga Kristo, kama hutaki kuwa mpinga Kristo, amini leo kuwa yeye ni Mwana wa Mungu kama alivyokuambia apo kwenye Yohana 9:35-37
@rajabomar3981
@rajabomar3981 10 месяцев назад
Mashallah, mwnyz mungu akubari shekh Suleiman
@SimonKaleko-n9u
@SimonKaleko-n9u 15 дней назад
Me hua nakukubali sana Shekh dr.Sule..lakin ukipindishaga neno kidogo haswa in napokua kwenye baadhi ya mihadhara..hua nakereka lakini ukiskmama katika kueleza kweli kama hivi walah tuombe Mungu huenda nikaja kuwa muislam one day maana no mwaka wa 20 nakufuatilia.
@malcomg1004
@malcomg1004 Год назад
Shekhe sikia,uislam umekuja miaka mia sita baada ya kifo cha Yesu Kristo,japo unawadanganya wa Islam ila hongera maana unasambaza neno la Mungu wetu,Hongera Shekh kwa kumuongelea Bi Mariam mama wa Yesu,utabarikiwa sana
@samxx411
@samxx411 Год назад
Mama yake mariam anaitwa nani?? Maryam kabla ya kumzaa yesu alikuwa dini gani?? Yesu alizaliwa baada ya miaka mia sita baada ya mussa mbona hamfati dini ya Mussa
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 Год назад
Muhammad hakua mtume pekee alietumwa kwa ajili ya Uislam. Yani yeye alikuja kufanya kazi ilioanza kufanya miaka mingi kabla yake, kwaio Yeye sio wa kwanza kutumwa kwa ajili ya Uislam hapa duniani. Ila ni wa mwisho
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 11 месяцев назад
Mungu mwema atujalie mwisho mwema ❤
@AndreKanyama
@AndreKanyama 6 месяцев назад
Mashaallah mungu akuwekeye wepesi katka mambo Yako yote duniani na akhera shkrani sn shekh😍😍😍
@JosephSila-tc2dw
@JosephSila-tc2dw Год назад
Nimefurahi sana unapohubiri habari za bikira Maria. Asante
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Sheh unafaa kwa dini zote asante mungu akubariki
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Hafai kwa dini zote, nenda kasome. Anaongea uongo tu apo
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
​@@frankmpembuukikata mkojo kakojoe ulale AZAZIL
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
@@saidbakari2408 Kama inakuuma chomoa, ukweli umeshakuingia toka huko.
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
@@frankmpembu 😁😁😁 Pole saana kondoo uliyepote
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
@@saidbakari2408 Wewe ndiye umepotea kwa kuamini Qur'an ni ukweli kumbe ni uongo wa shetani aliyempa Muhammadi kwenye pango la Hira. Kitabu=Upanga mkali, Ukurasa wa 22, inasema "Tulikuwa na mtume usiku Mmoja, Mara tukamkosa, tukamtafuta katika jangwa na mabonde, tukasema;ameuawa, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu. Kulipopambazuka mara tuka mwona anakuja akitokea upande wa hira, tukamwambia, tumekukosa, na tumekutafuta wala hatukukupata, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu; Akasema Muhammadi nilijiwa na muhitaji wa majini Bosi wa majini nikaenda naye nikawasomea Qur'an
@jumannekambi232
@jumannekambi232 Год назад
Barakallah fiika
@asteriashios1852
@asteriashios1852 10 месяцев назад
Mimi ni mkristo shekhe umenifurahisha sana maana unaongea ukweli mtupu mungu akubariki sana
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Shekhe Mrisho Ibni jumaa Ibni Mrisho wa Ibni Kipindura Amerithi jina la Babu Shekhe wangu.
@StellaSamsoni
@StellaSamsoni 4 месяца назад
Yean wewe ndio unajua dini naona katika waislam wewe pekeako ndio hauna unaguzi wa dini na umekubaliana na wa kristo wengine wanawaita MAKAFIRI HAWANA HOFU YA MUNGU ALLAH aendelee kukutunza🙏
@saumbliz8983
@saumbliz8983 4 месяца назад
Makafiri sio wakristo eleweni kafiri ni yule asiejua Kuna mungu ,kufa na kufufuliwa na siku ya mwisho
@drmwitagogwani3636
@drmwitagogwani3636 Год назад
Mashallah Allah jambo la khery
@eliufoombise7889
@eliufoombise7889 Год назад
Takbiiir
@MrCay2co
@MrCay2co Год назад
Masha Allah Al Hajji - Hussein Kaituko, Bungoma, Kenya
@eunicengendo1446
@eunicengendo1446 Год назад
I would like the nxt content of dr to be how joseph become the father of jesus
@shaninjenje5004
@shaninjenje5004 Год назад
Ma sha Allah napenda sana kusikiliza mawaidha yake Allah amlipe ujira mwema
@manenondege543
@manenondege543 Год назад
Shukrani sana
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Год назад
Mwamba Yesu anawapasua vichwa .
@georgehajji9790
@georgehajji9790 Год назад
Kivipi labda?
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 Год назад
Ni kwel lzm atupasue vichwa sababu tunampenda sn,tuna muheshim sn huyu ni Mtume wetu hvyo lzm tumfuatilie sn
@aminasalmin6058
@aminasalmin6058 Год назад
Sadakta
@aminasalmin6058
@aminasalmin6058 Год назад
Dr.anamzungumzia nabii Issa sio Yesu wako. Weka kichwa chako sawa.
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Год назад
Sababu Ni mtukufu, kwa Nini asingiziwe mlaaniwa wakati Qur'an sura ya Maryam(Mary) aya ya 31 "yeye na mama Ni wabarikiwa..." Pia hata Biblia inasema angikwae amelaaniwa Wagalatia 3: 13 sasa hapa tunapoumia na masingizio ya mtu huyu mtukufu dhidi ya laana lakin kwa Hali ya ajabu watu hawa wakidai wanamsifu .
@user-km6lu2lu9m
@user-km6lu2lu9m 10 месяцев назад
Shekh wangu endelea kutoa mawaidha Mungu akubariki Sana Wakatoliki tunakufagilia
@zawadithomas1008
@zawadithomas1008 Год назад
mungu akutunze sheikh am Christian lakin napenda mafundisho yako🙏🙏
@kelvinkapinga4781
@kelvinkapinga4781 Год назад
Hàihitajiki nguvu nyingi kuyaelewa mafundisho yako. Ubarikiwe
@minafadhil3837
@minafadhil3837 Год назад
Naaam
@suweidkhamis722
@suweidkhamis722 Год назад
Kuwa muislam
@msafirikushama2193
@msafirikushama2193 10 месяцев назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.
@emertonmwakina8593
@emertonmwakina8593 8 месяцев назад
Anglicans pia tuko hapo mafundisho mazuri sana Barikiwa sheikh.
@SimonHombo-kl8rr
@SimonHombo-kl8rr Год назад
Mungu akutie nguvu shekhe
@ahmedabdi3262
@ahmedabdi3262 Год назад
Ma Sha Allah sheik
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Bismillah MashaAllah ❤❤❤
@benedictkiteji3627
@benedictkiteji3627 Год назад
Barikiwa shekhe hunaga unafki
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Год назад
Mashaalllah, M/mungu akupe umri mrefu sheikh vizaz vijavyo vifaidike zaid na darasa zako
@RubenMassawe
@RubenMassawe 11 месяцев назад
😅 by
@issakawaya8315
@issakawaya8315 10 месяцев назад
AllAh atuongoze
@eliudjrkim-sm6ru
@eliudjrkim-sm6ru Год назад
Mungu akubaliki shehe
@martinsntonyo8537
@martinsntonyo8537 11 месяцев назад
Mahubiri mazuri sana ubarikiwe mno
@user-fk5pc3md8h
@user-fk5pc3md8h 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂Dr Sulle,,,,nmecheka xnaaaaa leo,,, ujumbe mzito na maneno ya kufurahisha,,,, Allah akulinde Inshallah
@joasgeorge9648
@joasgeorge9648 Год назад
Bwana YESU Asifiwe Suleiman Alijenga Hekalu na sio Msikiti wowote
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 11 месяцев назад
Nenda kasome yesu alikuwa akifanya ibada ktk masinagogi sasa katafute maana ya masinagogi utagundua kuwa ni msikiti kwasababu maana ya masinagogi ni masikiti wa wayahudi. Usikalilishwe kama kuna kitu hupaswi kuridhi ni dini fanya uchunguzi wa dini utagundua wapi sahihi ufate.
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Год назад
Safi sana Dr, sule
@addymsola4625
@addymsola4625 Год назад
Nimekukubali shehe ubarikiwe sana
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 Год назад
Masha Allah very history
@patrickcharokatana1873
@patrickcharokatana1873 Год назад
Uislam unatosheleza historia zote uongofu. Ndio maana nkaingia katka uislam. Mombasani Pwani mwa Kenya nawafatilia saana
@user-yz2xm6jn8l
@user-yz2xm6jn8l Год назад
Allah akujalie kaka kurudi katika dini ya haki
@OmarRama987
@OmarRama987 5 месяцев назад
Mashallah
@christinakayela1161
@christinakayela1161 Год назад
Kwawakatoliki hongereni sana kumpa heshima huyu mama kumbe wengi wanatambua uwepo wake tutazidi kumuheshimu hata kama wengine watamtukana huyu baba kafafanua vzr sana
@masigoraphael9288
@masigoraphael9288 Год назад
🙏🙏🙏
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Год назад
Barikiwa saaana
@samxx411
@samxx411 Год назад
Waislam tunamjua hadi familia yake, nyie hata baba ake hamumjuwi anaitwa nani
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
​@@samxx411 Mariam dada yake Arun tofauti na wakwenye biblia Mariam wa Muhammad Quruan aripata mimba siku hiyohiyo na akazaa wakati anasikia uchungu sauti ikatoka chini ya aridhi na mtoto akaongea siku hiyohiyo ISSA Mariam
@samxx411
@samxx411 Год назад
@@prochesernest5439 sasa huyo maryam wa biblia baba ake nani
@magrethkauki2224
@magrethkauki2224 10 месяцев назад
Asante Shehe nimelewa sn leo
@charlessiwale3858
@charlessiwale3858 5 месяцев назад
Waisram wanamariam wao munyazi mungu wao kwaujumla tuendelee kuwaombea waje kwa Jesus
@rahmamusa4484
@rahmamusa4484 Год назад
Hadithi nzuri sana mashallar
@FaustineAssenga-wu2lb
@FaustineAssenga-wu2lb 11 месяцев назад
Nimepata kitu kutoka kwako Shekhe Mungu akupe nguvu ya kuinjilisha. Neno
@user-wx2oz8dp7d
@user-wx2oz8dp7d 10 месяцев назад
Inshallah shekh Allah akpe kher
@damianosikapili2917
@damianosikapili2917 Год назад
Tumsifu yesu kristo Mimi nimesikia mwanzo mpaka mwisho Sheikh
@stephenmnkande8192
@stephenmnkande8192 Год назад
Maelezo ni mazuri sana japokuwa mengine kama ni tofauti na ninavyofahamu na pia hayaendani na Historia. Mfano kusema kwamba Mariam mama yake Yesu alisali Msikitini ilhali sote tunafahamu kwamba Mariam alikuwa ni Myahudi na Wayahudi wanasali kwenye Masinagogi hapo ndipo ninapotofautiana naye. Kumbuka Mariam aliishi miaka takriban 600 kabla ya Muhammad (S.A.W). Hata kwenye Quran 22:40 inathibitisha kwamba Wayahudi walikuwa wanasali kwenye Masinagogi (SWALATUN) na sio misikiti.
@mystrocell2
@mystrocell2 Год назад
Yesu aliwaambia wanafunzi wake yakuwa, mjihathari na mafundisho ya waandishi na mafarisayo
@samxx411
@samxx411 Год назад
Mwandishi alosema yesu ni huyu:- matendo ya mitume 1:1 "Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, Theofilo, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha" 23:6 Matendo ya mitume "Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"
@user-il7pd9et7d
@user-il7pd9et7d 10 месяцев назад
Amene
@baysadam235
@baysadam235 Год назад
Assalamam aleikum Mungu akujaze kheri shekh 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mrsab303
@mrsab303 Год назад
MashaAllah 💕💕💕💕💕💕💕💕
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 Год назад
mpumbavu wewe wamusikiliza huyu mwongo .kweli wajinga hawawezi kuisha dunia hii
@jumamsangi6048
@jumamsangi6048 Год назад
Masha'Allah
@JazalaRachideMohamede
@JazalaRachideMohamede 17 дней назад
Hostadh ninakubali sana mahubiri yako
@mohamedshaban4854
@mohamedshaban4854 10 месяцев назад
Hongera mtaalam Doctor Suley
@jameskitheka5791
@jameskitheka5791 Год назад
Mashallah hii Dini ya kiislamu ni tamu,,Enyi watoto na watu wazima mlio zaliwa kwa ukristo..mkatae hau mkubali Dini kiislamu Ukiiskiliza na kuisoma imenyooka sio kama ukristo
@trisiamnyazikwanya4273
@trisiamnyazikwanya4273 11 месяцев назад
Endelea na imani yako na wakristo waendelee na imani yao 🙏
@strong8534
@strong8534 Год назад
Jazakallah
@salumsalumu741
@salumsalumu741 Год назад
Mungu akupe umli mlefu
@rashidihabutwaha7636
@rashidihabutwaha7636 Год назад
Maashaanllaah anlaah akuzidishie
@guyogalora-gl2lu
@guyogalora-gl2lu 4 месяца назад
Barak Allahu feek Dr sule
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 10 месяцев назад
Barikiwa zaidi mtumishi kwa maneno mazuri.
@junedkipande3694
@junedkipande3694 6 месяцев назад
Mashaah mungu akubaliki
@user-nf6ft3ir5e
@user-nf6ft3ir5e 9 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana she
@MaishaMahukualimas-vi8gm
@MaishaMahukualimas-vi8gm Год назад
Nakufata vizuri sheh
@alipoedwinmwankemwa7982
@alipoedwinmwankemwa7982 10 месяцев назад
YESU anaokoa. Ukitaka atakuokoa kweli. Ukikataa, baki ulivyo lakini Jehanam utaenda lazima endapo Yesu hakupata nafasi maishani mwako.
@user-rv1po9or6j
@user-rv1po9or6j 11 месяцев назад
Sheih. Ubarikiwe. Nimekuelewa
@kamikazigenerose7882
@kamikazigenerose7882 Год назад
Asalam aleikum warahmatudhahi wabarakatuh.Umesema kweli
@evelynensabiyumva2999
@evelynensabiyumva2999 Год назад
Sheikh mungu akubarik sana
@PatriciaAkena
@PatriciaAkena 7 месяцев назад
Mungu akubariki jamani sheehee..amuna tumepingwa vita wakatoliki alibarikiwa kuliko wanawake wote
@charlottemageza5380
@charlottemageza5380 Год назад
Sheih barikiwa sana
@sh4138
@sh4138 Год назад
Mansh Allah Alhamdulillah
@yakoubmasesa4462
@yakoubmasesa4462 Год назад
Maashallah
@maryjohn2580
@maryjohn2580 Год назад
Asanteee
Далее
Surah Al Baqarah 27-29 LOOP🛑LIVE سورۃالبقرہ
3:03:32
Музыкальные пародии
00:28
Просмотров 22 тыс.
СЕРЕГА ПИРАТ - TEAM SPIRIT
02:37
Просмотров 292 тыс.
what will you choose? #tiktok
00:14
Просмотров 1,5 млн
KUNA MAISHA BAADA YA KIFO //SHEKH OTHMAN MAALIM
1:03:16