Тёмный

"WATU WASIOJULIKANA" WANATAFUTA NINI TENA? TUTAANGAMIA, NANYI HAMTASALIMIKA 

SK Media Online TV
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Taarifa za ndani zinasema kikosi cha watu wasiojulikana kinajiundaunda upya "kufanya siasa" kwa niaba ya CCM.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@thomasmmoka4884
@thomasmmoka4884 Год назад
Kweli kabisa mtaalamu."Hao hao waliowakamata Dr.Slaa,Mwabukusi na Mdude na kutangaza Uhaini ndiyo wanapanga Uhaini,kumpindua SSH!""
@muddyso1953
@muddyso1953 Год назад
Mwenyezi Mungu atujalie na kutulinda Daima hii ni nyakati ngumu saana ila kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu atatuongoa na kutujalia kuishinda kaumu ya Makafiri ila Afrika sisi ndie wateule wa Mwenyezi Mungu tusimamie na kukomesha maasi Maana Mwenyezi Mungu atatuokoa tuangalie Dunia ilipo kutokana na uasi Mwenyezi Mungu ataleta Adhabu kuu, huu ni wakati tusimame pamoja hakuna Uongo tena hakuna Vitisho tena maana saa ya Ukombozi ndie sasa tusimamie kweli ya Mungu mkuu
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 Год назад
Kaka unaongea vizuri sana lakin nakuonea huluma maana hawa majangiri wanaweza kukuchukua na wewe.
@makibadatela7865
@makibadatela7865 Год назад
Nachokiona kibaya ni kuwa Uchumi unapoelekea ni mbaya zaidi ya miaka ya 80, Idadi ya wasio na ajiri inazidi kuwa kubwa, Uchumi unakuwa polepole sana tena kwa wawekezaji wachache ambao wengi ni wageni, Wimbi la mwaka 80 tulilivuka salama wakati Jamii ya Watanzania hawakuwa na taarifa za kutosha (Habari zilikuwa zinadhibitiwa ,Hakuna magazeti, Redio ni Moja tu RTD na hakuna Upinzani wa kusema ), Mikopo ya ( Ujenzi wa Reli ya SGR, Bwawa la Rufiji, Ununuzi wa Ndege za ATC,Daraja la Busisi na Tanzanite, Barabara za Mwendokasi ,na Ujenzi wa Mji wa Dodoma na Uhamaji wa Wafanyakazi ) hatuwezi toka salama kwenye Marejesho ya Madeni.
@piuskatunzi7112
@piuskatunzi7112 Год назад
Remember Mw. Nyerere once told MPs who wanted him to imprison Dar University students who were involved a strike/ demonstration. He asked them to read the placard and discuss the message. Instead, he advised them that : “ ideas are never crushed by rungus but by superior ideas!
@user-cf7yo3il6g
@user-cf7yo3il6g Год назад
How
@user-cf7yo3il6g
@user-cf7yo3il6g Год назад
Jko😅.lno😊
@piuskatunzi7112
@piuskatunzi7112 Год назад
What don’t you understand? You counter an argument with an argument and not by suppressing it. That is it in simple terms!
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 Год назад
Fact kaka
@annapeter4994
@annapeter4994 Год назад
Hongera sana kwa maneno kuntu. Ngoja ni share
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 Год назад
In every action there's equal and opposite reaction.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Hatari
@msafirimatingo6065
@msafirimatingo6065 Год назад
Saf sana mesege send,uko vzr sn umeeleweka
@makibadatela7865
@makibadatela7865 Год назад
Nigumu sana kwa CCM kukubali upinzani kuwepo, kwani tokea Zamani kikiwa TANU zama za Nyerere 1965 hawakupenda kuishi maisha ya Ushindani wa hoja bali walitaka watawale wenyewe hata wa kikosea wajitatue, Mwaka 1992 tulilazimika kuingia kwenye Mfumo wa Vyama vingi na ( Uhuru wa Habari,Kumiliki Biashara au Mitaji n.k) ilikuwa ni mkwamo tu wa uchumi wanatafuta pa kutokea bila kujua walipo kosea.
@frbm1729
@frbm1729 Год назад
Hiyo kesi inalenga kumchafua SSH ,ili aonekane hawezi kuongoza,Mama shituka mapema achana na genge la wahuni na kiongozi wao
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 Год назад
Ee Mungu saidia kukomesha Wahuni Wasiojulikana, is too much.
@nelsonmafie7516
@nelsonmafie7516 Год назад
Inaumiza sana. Lakini kwani wakati wa kesi ya ugaidi aliyozushiwa Mbowe waliofanya ile kazi siyo huyu igp wa sasa na dci wa sasa? Hivi si inaweza kuwa kwamba aliyewateua alitumia kigezo cha uzoefu wao katika mambo ya namna hii?
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Год назад
Kwa nini ccm wametoka majukwaani tunawaomba warudi majukwaani kuendelea na siasa majukwaani
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Год назад
Correct
@mwanahamisimombeki6872
@mwanahamisimombeki6872 Год назад
Kweli umeongea baba
@killiankingDr
@killiankingDr Год назад
Kila neno linalotamkwa iko roho nyuma yake. Usishangae kuwa hilo neno walilolitamka wameliumba linaweza likawa
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Год назад
Nimekuelewa sanaa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Год назад
Uvunjwaji wa katiba na sheria za nchi umekua tishio kwa wananchi,kila mtu anakimbia wala hajui anakoelekea kwa kuogopa adhabu ya kesi za uhaini ambapo adhabu yake ni kifo! Je,watakaokamatwa na kuuawa ni wangapi?! Watoa amri wakinyamaza, wasiojulikana wanapotea, Watoa amri wakiongea wasiojulikana wanaibuka upya! Mheshimiwa Rais tuliyekupa dhamana,una uhakika na tamko la IGP kwamba MDUDE, MWABUKUSI,SLAA,NA MADELEKA,na NSHALA sio wanaharakati bali ni Wahaini wenye vitendea kazi,silaha,na majeshi hivyo wanatosha kuwa WAHAINI wakae ndani na kisha wamyongwe?!!
@MeryNaaly-ip4un
@MeryNaaly-ip4un Год назад
Hakika nakuelewa sana ndugu, yaani makala zako zimejaa ukweli mtupu
@hubman6780
@hubman6780 Год назад
Good articulation brother
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Год назад
Ni kweli CCM wanasomba watu kwenye mikutano yao Kuna sehemu huku geita mtu alipewa laki mbili kusomba watu lakini akapata watu saba tu
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb Год назад
Hao polisi hawana uhuru wa kukataa wakiagizwa na CCM ni kutii tu sio kukataa wakiagizwa na kutekelezwa sasa sisi wananchi tunawalaumu polisi buree3eee tatizo juu na huo ndio udikteta
@thomasmmoka4884
@thomasmmoka4884 Год назад
Chama cha Mapinduzi( Uhaini)!!!
@juliusndossa201
@juliusndossa201 Год назад
Mtukufu chukua hiyo.
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 Год назад
Kweri kabisa wambura nn a cheo sio dhamana asijifanye kuwa watu wote tz hawaakili
@mountoftransfigurationchur2879
🙏🏿✌️
@kenedyrocky4641
@kenedyrocky4641 Год назад
ASIE KUELEWA BASI
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Год назад
Ngurumo una pwenti kubwa hapa. Kimsingi, wanakamata mbuzi mwisho wa siku watajikamata. kumbuka mchezo wa kuigiza wa vitimbi wa nchi jirani. Mzee mmoja alipenda kufukuza wafanyakazi wake. Siku moja alifukuza wote. Alishangaa kujikuta yuko peke yake, alimua kujifukuza mwenyewe akisema "na mimi nitoke' akajifukuza.
@aphonceedward6784
@aphonceedward6784 Год назад
Mtumishi unachokisema ni Sawa kabisa CCM itafika sehemu itamkusanya mwananchi Kwa garama sana, na itatumia nguvu ya pesa ambayo ni kodi ya wananchi wake pasipo mafanikio bali hasara tupu
@lembrismoringelaizerlaizer8741
Bwana uko makini sana lakini nchii hii tusipobadili katiba hakuna namna tembo wasipatikane
@mkingajuliuas9673
@mkingajuliuas9673 Год назад
Sisi hatutakubali kuonewa na jeshi la polisi
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj Год назад
Very true
@lifeisgood4841
@lifeisgood4841 Год назад
watakaopindua ni wale wale waliommaliza magufuli. magufuli aliwatuamia na badaye akawatisha nao wakafanyia kweli
@hugholinemmasi1671
@hugholinemmasi1671 Год назад
ASANTE KWA KUWAWEKA WAZI.INAWEZEKANA WATIMIZE WAJIBU WAO KWA UMMA MZIMA WAWATANZANIA.WAWAACHIE HURU,KWANI TANZANIA NI YETU SOTE NAKUILINDA NI JUKUMU LETU SITE KWA MANUFAA YETU NA VIZAZI VYOTE VIJAVYO.
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Год назад
Je Zanzibar ilifanya mapinduzi je? Mbona hapakuepo na kesi ya uhaini kwa wahusika mbona walisifiwa kwa matendo yao yakaitwa mapinduzi matakatifu nini maana yake
@seanmurray6516
@seanmurray6516 Год назад
Kama kupindua serikali ni neno la kisiasa jee unaposema vituo vya polisi vitiwe moto na office za ccm zichomwe moto pia maneno hayo ni kisiasa??? What the hell are you talking
@andrewassey5108
@andrewassey5108 Год назад
Amewaamini watanlinda kwa uongo wao
@pira7439
@pira7439 10 месяцев назад
ngurumo umesahau, hasa sh farid na mwenziwe pia alibandikwa kesi ya uhaini
@mwakinyagatv711
@mwakinyagatv711 Год назад
Sema baba nakuamini
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 Год назад
Kweli hii ni SAUTI KUU. Wafute iyo kesi ya mchongo haraka iwezekanyo na wawa ashie wazalendo wetu BILA masharti yoyote .
@lifeisgood4841
@lifeisgood4841 Год назад
waache wafanye. kitaeleweka hapo baadaye. ni suala la muda
@noahbeatus7294
@noahbeatus7294 Год назад
Tunakushuru sana
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Год назад
Ooh labda anampa raisi wetu ujumbe?😮😮😮
@twarikmuditwarikmudi7091
@twarikmuditwarikmudi7091 Год назад
Gudi
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Год назад
Nakuuliza Albert,kwani wakamataji hawajatumwa na wakubwa hao waliowateua na kuwaapisha?
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Год назад
Wanatumwa. That's my point. Polisi huwa hawajitumi. Wanaishi kwa amri. Lakini wakati mwingine wakubwa wa polisi wanajiongeza kwa kujiongezea majukumu. Mwenye amri asipowazuia, maana yake amewaruhusu; wanaendelea.
@twarikmuditwarikmudi7091
@twarikmuditwarikmudi7091 Год назад
Kaka hawa wauni siyo watu waziri
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s Год назад
Selikali ndio inayoleta vurugu. Sio wanaichi. Baba mungu akutumie tena kutoa ushauri.mwingine.
@seanmurray6516
@seanmurray6516 Год назад
Nilikua nakuheshimu sana kumbe Huna lolote wewe ni walewale chuki zako zote kumbe ni wazanzibari
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Год назад
Kwa akili yako unaamini Dr Slaa kama angelikuwa bado ni balozi wetu huko ng'ambo ananeemeka kwa mishahara, posho na "heshima" ya ukuu hayo mambo ya bandari angeyesema au kuyakosoa???
@nestor384
@nestor384 Год назад
Wee bwana hatutaki siasa kwenye bandari zetu please!.. Wewe ni mnafiki na kwa kutumiwa na WAHUNI na hii maelezo yako kuna kundi huwa unalitumikia.. Kwani chanzo cha hizi kesi si ni mkataba? Kwanini husemi wafute mkataba?!! Mpaka unafika hatua unawaita ‘mbuzi’ na hivyo kuna ‘swala’ na ‘tembo’ yaani ionically unawadogosha!
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Год назад
We nawe! 😄 🤣 😂 Uwe unafanya utafiti kwanza. Sikiliza zilizotangulia. Halafu utafakari kabla hujajibu.
@hassanmagoda2263
@hassanmagoda2263 Год назад
Tatizo ni DOGO SANA akili ndogo inapo iongoza akili kubwa mwenye akili ndogo atatumia nguvu ccm wameishiwa mbinu kwakifupi zambi inawatesa mateso maisha magumu ya watanzania ni matunda ya chama Chao hicho tutajuana huko tuendako
@almasisalehe8164
@almasisalehe8164 Год назад
Ni uchambuzi/ analysis yenye busara. Haingii akilini kuwa kupinga IGA ni uhaini. Tutafakari.
@richardboaz-mashagospel2346
Una maneno mengi sana mzee, lakini huna action, huna hatua yenye matunda ZAIDI ya propaganda za hapa kwenye channel yako. Pole sana mzee, nameombea mpambanaji wa kweli (Bony Mwabukusi) huyo namwombea kwa mungu maana hana chuki na mtu Bali ana mawazo chanya na watanzania.
@michaelmaterego2489
@michaelmaterego2489 Год назад
Tumia akili
@yunasulaiman4722
@yunasulaiman4722 Год назад
Acha kupotosha wote mnataka kupewa hifadhi nje acha kuongelea nje rudi nchini
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Год назад
Sasa na wewe si ungesubiri nirudi nchini ndo unijibu? Tuliza akili. Filkiri. Au na wewe u miongoni mwao?
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 Год назад
​@@AnsbertNgurumoUnapandikiza mbegu za mfarakano tu. Mambo yakiharibika hapa kwa sumu unayopandiliza, hutakuwepo. Njoo uyaongelee huku kama alivyo Lisu, Slaa, Lema na mimi.
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 Год назад
​@@johannesishengoma1232 😂😂😂😂😂😂Wewe Ishengoma 😂😂😂😂😂 Ishengoma huna level hizo za mtu kama Dr .Slaa , Lema , Hon. Lissu na Ndg Ansbert Ngurumo Mwanahabari Nguli
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 Год назад
​@@AnsbertNgurumoansbert tunakusikiliza sana na unatusaidia pia kusamaraiz mengi ya kiwiki kimiezi kuwa habari fupi yenye kuweza kuelewa sisi wananchi ambao muda wote kuwa ktk mitandao on line au kusech habari nishida bando ni ghali sana tunakushukuru watu wakawaida na wananchi wa kawaida.kaza buti twende mzee wetu
@sweetbertkikarugaa8814
@sweetbertkikarugaa8814 Год назад
Tushawacho hawa wauni wa ccm ila bc tu
@allykigatta7564
@allykigatta7564 Год назад
Huyu msemaji hapa HUWA SIMUELEWI KABISA NA CHUKI ZAKE KWA AWAMU YA 5...NAMUONAGA CHOKO TU HATA ASEME NINI...
@alexandermalima610
@alexandermalima610 Год назад
Kama wewe tunavyokuona choko
@richardboaz-mashagospel2346
Mzee habari yako? Mimi mzalendo, mwanaharakati, naona wanaharakati wenzangu wamekamatwa sasa wewe unayemchukia JPM badala ya wahalifu mbona sijakuona ukitoka mstari wa mbele kutetea au kushawishi watu waingie mtaani? Au na wewe ni lioga pia? 😂😂
@saheedali7467
@saheedali7467 Год назад
Hatujui unamkemea Nani kwa kweli wanaojulikana au wasiojulikana.
@richardboaz-mashagospel2346
@@saheedali7467 MWENYE CHANNEL. ANAOGOPA KUITWA MHAINI🤣🤣🤣. HUYU JAMAA NI SAWA NA KUSEMA (MBAYA LAKINI MZURI). ANAYOLILIA NDIO MAMBO AMBAYO JPM ALIYAPIGA VITA... SIO WATU ALIPIGA VITA WIZI WA MALI ZA WATANZANIA, ALITETEA MTANZANIA WA CHINI KUFAIDIKA NA MALI ZA NCHI... AKAWAPIGA VITA WABAYA WOOTE WA WATANZANIA KUANZIA NDANI YA TANZANIA HADI NJE... LAKINI HILI JITU HAPA LINAMTUKANAGA KILA SIKU... MANENO YAKE UTASIKIA CHATO CHATO... RISASI RISASI... SASA HUA NASEMA JE BORA CHATO AU BORA KUPELEKA UARABUNI AU BANK ZA ULAYA AU WABEBE WAKAFUNGUE BIASHARA KENYA AU RWANDA? CHATO NI TANZANIA... HILI JAMAA LINA WIVU MBAYA NDIO HUO UNATUFIKISHA HAPA, WANAANZA KULIA TUMEUZWA, TUNAIBIWA... LAKINI TUNAUZWA NA KUIBIWA SIO SABABU YA HAWA WANAOWALAUMU YANATUPATA YOOTE HAYO SABABU YA WATU KAMA HAWA... HUA WANAMISLEAD WATU, YAKIGUNDUA YALIKOSEA HAYAOMBI RADHI... HAWA WASINGEMTUKANA JPM CHUKULIA MANENO YAO YA UKWELI LABDA ALIUA KWELI, JE ANGEWAUA KAMA WANGEKUBARI KUFANYA NAYE KAZI MOJA YA KUJENGA NCHI HII? WALIKUA WANAPINGA KILA KITU, SASA TUNATEMBELEA MOTO YANALIA TENA, BADALA YA KUOMBA RADHI WATANZANIA KWANZA WANABAKI KUPIGA KELELE NA KUENDELEZA MATUSI, CHUKI, WIVU, NA KUKOSA MAONO YA NCHI. KAMA MIMI NAWEZA KUJUA CHATO NI TANZANIA NA HAINA SHIDA IKIENDELEA NA MIMI MAKAZI YANGU SI CHATO... HILI LINASHINDWA NINI KUELEWA KAMA NI LIZALENDO?.MPINZANI LABDA TUSEME, KUWA MPINZANI SIO KUPINGA KILA KITU, MIMI SINA CHAMA NINI CHAGUA WATU BILA ITIKADI YA CHAMA CHOCHOTE, NAENDESHWA NA MAAMUZI YANGU SIO ITIKADI.. NINATAZAMA MTAZAMO WA KITAIFA SIO WA KIKANDA AU WA WIZI WIZI... MZEE KWANZA WAOMBENI RADHI WATANZANIA KWA KUTUTUKANIA JPM WETU, MMEMTUKANA SANA NA MIMI BADO NAUMIA SANA NIKISIKIA MNAMTUKANA KWA KOSA LA KARANGA NA FAIDA YA BILLION HUIONI UNAONA HASARA YA KARANGA. KUKOSA AKILI HUKO
@RichardJailo-pp7kj
@RichardJailo-pp7kj Год назад
Sisi hatutaki Tena kushilikians na hao wanao kamata kamata watu
@omarytexesunauwababa4587
@omarytexesunauwababa4587 Год назад
Piga kelele tena unasubiri nchi iharibike ndo mje mseme jeshi la polisi lilikuwa wapi polisi fanyeni hini kazi zenu msisubiri nchi iharibike
@yunasulaiman4722
@yunasulaiman4722 Год назад
Hapa kwetu walikosa watu kabisa CCM oyeee
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Год назад
Acha Upumbavu.. Sisi tuko Clubhouse kila siku na tunasikia Mipango yote ya Wahaini hao. Sasa wewe Huna Akili unafikiri Usalama wa Taifa ni kama wewe
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Год назад
Unacho kisema ni kweli kabisa. Lakini yale wanayo yapanda hakika siku moja watayavuna....
Далее
Maelezo kutoka kwa watu wasiojulikana : SIO HABARI
2:07
DOTTO BITEKO ALIPITIWA AU ALIPUUZA KAULI YA MAASKOFU?
15:58
MINECRAFT CREPPER EXPLODES SHARK PUPPET!
00:15
Просмотров 8 млн
WANAOTAFUTWA WAANGAMIZWE NI MBOWE, LISSU, NA MNYIKA
5:42
KIMYA MAKABURINI HAKILETI AMANI
14:30
Просмотров 17 тыс.