Тёмный

Watu watatu wafariki baada ya kuvamiwa na wahuni kwenye jumba la Sunbeam jijini Nairobi 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Imebainika Kuwa Watu Watatu Walipoteza Maisha Yao Siku Ya Jumanne Wiki Iliyopita Baada Ya Kuvamiwa Kwenye Jumba La Kibiashara La Sunbeam Jijini Nairobi. Uvamizi Huo Uliotekelezwa Na Wahuni Walioingilia Maandamano Ya Kupinga Mswada Wa Fedha Mwaka 2024, Ulisababisha Kuporwa Na Kuteketezwa Kwa Jumba La Sunbeam. Familia Ya Bernard Mungai, Mmoja Wa Wafanyibiashara Aliyepoteza Maisha Imezungumzia Machungu Na Masikitiko Ya Kumpoteza Mpendwa Wao.

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@Watt-er8or
@Watt-er8or 28 дней назад
Human Rights groups and LSK,, should also call press conference on this... If they don't then they are working with criminals
@imranbasy4022
@imranbasy4022 28 дней назад
Ruto alisema ni Criminals mkasema Ruto ni wazimu. Sasa ona
@danielsitati543
@danielsitati543 28 дней назад
Let the rights groups also come forward and condemn these hooligans. We hope that they'll not blame the police on this!
@mugishajeanclaude2949
@mugishajeanclaude2949 28 дней назад
Hii ni ujinga wanaiba alafu wanauwa
@wamytree8944
@wamytree8944 28 дней назад
kila mtu aliye onekana kwa kamera akifanya uhuni au kuvunja sheria hio tuesday ashtakiwe na ahukumiwe. hawa watu hawafai kukua huku nje na sisi tunao heshimu sheria za kenya
@DavidNyamongo-un1sc
@DavidNyamongo-un1sc 28 дней назад
Journalists,raila, human rights activists,the assmio LSK should condemn this
@derrickbiwott9393
@derrickbiwott9393 28 дней назад
Where's is this so called LSK AZIMIO BRANCH
@susanngigi1164
@susanngigi1164 28 дней назад
Mimi.after watching this episode I have no more support or sympathy for Gen Zees. Their cause could have been noble but after seeing that criminals were infiltrating their protests why did they insist on pressing on with the marches?! Ama wacha tu tuseme wao wenyewe bado ndio mikora?! ☹️☹️☹️
@wamytree8944
@wamytree8944 28 дней назад
wezi ndio wamejaa kenya. law abiding citizens tutaenda wapi sasa?
@charleswahome7721
@charleswahome7721 28 дней назад
endeleeni kusifu takataka eti gen zee nonsense
@thegratenjambinimurungah1219
@thegratenjambinimurungah1219 28 дней назад
Poleni mum and your children. May a good Samaritan visit you. It shall be well....
@danielsitati543
@danielsitati543 28 дней назад
Oh no. My God! Comfort the widow and the now orphan daughter!
@user-dd2ut8ef1z
@user-dd2ut8ef1z 21 день назад
Pole sana
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 28 дней назад
Jamani SS mwandamana ama waiba Mali za watu na kuwaa watu kuchoma Mali za umaa😢😢 jamani waizii wauliwe kabisa
@user-ti6dl5xv1l8
@user-ti6dl5xv1l8 28 дней назад
Polisi wangewakilisha hapo lakini bahati mbaya. Poleni sana familia. RIP
@abdiahaji5653
@abdiahaji5653 28 дней назад
When your leaders call it a spade don't cool it a spoon.😎.
@mmilly8952
@mmilly8952 28 дней назад
😢😢😢😢Pole kwa mjane aki Wooiye... Hao wahuni wa stakiwe aki. 😭😭
@user-dt6yw2qr8n
@user-dt6yw2qr8n 28 дней назад
Wah God help us
@user-sc8mp6tc3n
@user-sc8mp6tc3n 28 дней назад
Real shame to Kenyans mkimaliza haribu kesho msike kwetu
@josephmwaniki7171
@josephmwaniki7171 28 дней назад
sad, the goverment must not relent on these goons, despite what toothless LSK says
Далее
| DAY BREAK | New Cabinet's In-tray
23:37
Просмотров 5 тыс.
Heri Taifa (Live)
14:21
Просмотров 19 тыс.
The Rock
8:58
Просмотров 76 млн
| DAY BREAK | Finance Act 2023 Nullified
28:52
Просмотров 1,6 тыс.
TUNDU LISSU ALIVYOAGWA NAIROBI AKIPAA KWENDA UBELGIJI
11:53