Тёмный

Watuhumiwa wa Ubakaji Wakana mashtaka, wanyimwa dhamana, kesi kusikilizwa wiki hii yote hadi Ijumaa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 112   
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 23 дня назад
Alie watuma,alie rekodi video waliofanya huo unyama,haki itendeke wakamatwe wooote,iwe fundisho kwa watu wa hovyo kwenye nchi yetu 🇹🇿
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 23 дня назад
Hii kesi haipatikani ushaghidi ujuwe kwanza qliewatuma ni afande yaonekana nikubwa kwaiyo kesi haitofikia sehemu stahiki
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 23 дня назад
😢​@@shaviercharvinho18
@Saidiamiri-s8i
@Saidiamiri-s8i 23 дня назад
Hakuna watu ninao wachukia kama polisi,huwa wanatabiq ya kuteteana na kuwabambikia watu makosa ebu ona ile kauli ya RPC eti ni kama alikuwa anajiuza hata kama anajiuza ndo afanyiwe vile hadharani,hawa watu wanaona kama dunia ni yao ila ipo siku ssi hatuna uwezo wa kuwa fanya kitu MUNGU atawawajibisha polisi kwa haya yote muyatendayo.INAUMA SANA KWASABABU HAUWEZI KUJIBU KAULI KAMA ILE WEW UKIWA UNAFANYA KAZI YA KUSIMAMIA SHERIA JESHI LA POLISI LIJITAFAKARI.YULE MAMA ALITAKIWA KUONDOLEWA MOJA KWA MOJA NA SI KUAMISHWA NA KUBADILISHIWA KAZI HUKU NDO KUBEBANA KWENYEWE.
@Agath45
@Agath45 23 дня назад
Hata mm nilitarajia atafutwa kazi kwa hiyo kauli aliyoitowa
@mvukamto
@mvukamto 23 дня назад
Ukiskia neno kama hili nje ya familia yako unaweza ukaona kama ni kituko au story,ndio maana ameonge upuuzi huo likimkuta kama hili utamuona anavyotumia vyeo vyake kutafuta haki yake na huku akilialia...
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 23 дня назад
Hao wote walio husika inafaa wanyongwe na nitashangaa sana hawa watu wakipewa dhamana hakuna dhamana na inavaa wanyongwe maana hawa ni wanyama
@reginaedward4883
@reginaedward4883 23 дня назад
Let be the lessons kwa wengine,Na wafungwe maisha
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 22 дня назад
Mbona Kama unaifokea mahakama ..
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv 23 дня назад
Apo safi kabisaa tume waona adabu washikishwe wa one nyuso zao😢😢😢
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 23 дня назад
Sisi tunamtaka na alie watuma
@Ogtydan
@Ogtydan 23 дня назад
Yule alie mnyima Maji Yeye asipewe mpaka chakula
@Mobileglover
@Mobileglover 23 дня назад
🤣🤣🤣
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 22 дня назад
Mlioiona video mnaraha, mnawajua Hadi walionyimwa maji .. mkumbusheni wakili basi
@user-ht8kf3rx5w
@user-ht8kf3rx5w 23 дня назад
Masela Mavi hAo
@ainessmbise1009
@ainessmbise1009 23 дня назад
Wanajeshi wangepimwa wote'baadhi yao ni wavuta bangi;
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 23 дня назад
Mbona hamsemi kama wao ni police au ndio kamchezo flani mambo yakudanganyana
@user-jz7bn2kx9o
@user-jz7bn2kx9o 23 дня назад
Kungekua Kuna sheria ya mtu akibaka abakwe mm ningefurah Sana nap wabakwe vizur
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 23 дня назад
Hii kesi ilitakiwa iwe imeshaisha.. aliyewatuma yuko wapi..!??
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 23 дня назад
Swali unalo jiuliza ndilo swali ninalo jiuliza
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 22 дня назад
Afande na mume wake vp sasa ?
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 23 дня назад
Asiye funzwa na Mamae hufunzwa na ulimwengu yani hapo wakumiwe kinyongo tu wallahy
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 23 дня назад
Hakuna kitu hapo wanazuga tu Utaona mwisho wa kesi wataachiwa au watapewa hukumu ndogo
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 23 дня назад
mbona walirecord au walijua ni kawaida tu ???
@reginaedward4883
@reginaedward4883 23 дня назад
Na huyu mama ameongea mbaya sana akwende na huko
@beautyandfashiontipsforbot4524
@beautyandfashiontipsforbot4524 23 дня назад
Watafutiyeni wa name nawenyewe wafanyiwe unama waliyo mufanyiya uyo dada
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 23 дня назад
Wanakataaa nini
@MgishaFerd
@MgishaFerd 22 дня назад
Yaani kweli selikali ye2 yakichoko police wenyewe hawajui kaz yao. Kwa hiyo mpk tuwafundishe sheria ss raia. Tunaomba hao watuhumiwa wafungwe maisha au kunyongwa ili iwe fundisho....
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 23 дня назад
Akamatwe hadi yule aliyeweka wimbo wa jaiva 😂😂😂 wote jela imeishahiyo
@user-do8fe2od4i
@user-do8fe2od4i 22 дня назад
mnajifanya mnaumia kwani alitumwa atembee na mume wa mtu kubabakee..
@hamidayahaya2304
@hamidayahaya2304 23 дня назад
Safi sana
@bestpriceafrica
@bestpriceafrica 23 дня назад
Afande ni yupi mbona mnaficha
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 23 дня назад
Sasa wanakataa wakati aliomba maji na hawakumpa😂😂
@user-zk5yi3hu4t
@user-zk5yi3hu4t 23 дня назад
Hatari
@user-sw2id5wc6g
@user-sw2id5wc6g 22 дня назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢mungu atusaidie dunia imeharibika
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 23 дня назад
Wanakana na video ipo?🤔😳 Makubwa
@martinisadru9899
@martinisadru9899 23 дня назад
Hivi huyo RPC malya bado yupo hapo kazini anasubili nini? anaingia makanisani kuhubili neno la MUNGU, kumbe ni umbwa mwitu,, kauli zake chafu sana,, hata kama yule binti anajiuza,, hakupaswa kumnenea vibaya,, sisi wakristo! Tunapaswa kuwaombea watu waache mabaya, na si kuwa hukumu kwa fedheha. Na hata kama, yule binti anajiuza! Hakupaswa kutendewa unyama vile
@surusuru1994
@surusuru1994 23 дня назад
Namkiwacha msije laum wanaichi
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 23 дня назад
Binafsi nashukuru sana jeshi la police na wananchi kupaza saut mbarikiwe sana mana hwa watu wasingekamatwa wangeendelea kufanya unyama kila siku kw kujua hajuna haki duniani * hawa sio binadam n wanyama na wengine wajifunze kupitia wao
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 5 дней назад
Angefanyiwa mwanawe haya au nduguye
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 23 дня назад
Watuhumiwa wote nisawa hakuna uheshimiwa kwenye uchafu mfano wa hu tunamtaka nahuyo mwanamke aliewatuma
@rehemahamadi3382
@rehemahamadi3382 22 дня назад
Kama Tanzania ni nchi ya haki tunasubiri nini hukumu ya hawa waliofanya unyama huku na wao Wana wazee na wanafamilia wanawake😢
@annamussa185
@annamussa185 23 дня назад
Tena huyo wa pili mrefu ndo alikuwa akisema zamu yake ikifika anataka mavi😢
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 23 дня назад
😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 23 дня назад
😂😂😂😂
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv 23 дня назад
Watu wanajirekodi wakitenda kosa la ubakaji. Cjui akili ya wapi..Kweli kosa mali pata akili leo nimeamini.
@vibetz9991
@vibetz9991 23 дня назад
😂wana kana na videos zipo
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m 23 дня назад
Tupeni sisi raia hao wabakaji tutoe hukumu yetu yaaani hao jamaa mi naona mnachelewa jamani, hao walitakiwa wawe kuzimu.
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 23 дня назад
Ivi angekua mwanaume ndokafanyiwa hu ukatili iliswala lingekua nauzito kama ivi? Ni swali tu.
@user-wn3zb5xv6v
@user-wn3zb5xv6v 23 дня назад
Hawa kunaitajika ushahidi wanini Hawa ilikuwa nikuwafunga tu siku hiyo hiyo mbwa hawa
@drallicemugasa3086
@drallicemugasa3086 23 дня назад
Hawa wanastahili wabakane wenyewe kwa wenyewe kwanza watatu watatu na huyo aliye watuma inawezekana ,maana wao niwatalam kutoa hukumu zakinyama kwa raia basi nao wabakane wajiharibu visaidio vyoa(mikundu yao nawalishane shahawa zao iliwaone utamuwake )
@user-qd5qp3dd2x
@user-qd5qp3dd2x 23 дня назад
Vijana wadogo mnawapeleka kama majambazisugu muhusika yukowapi aliewatuma
@user-wo2ye5vh4q
@user-wo2ye5vh4q 23 дня назад
Wanaudogo gani haooo
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 23 дня назад
Mi naona wanawabembeleza walitakuwa wapelekwe kwa rungu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 23 дня назад
Wanakanaje sasa jmn😂😂😂😂😂
@happymrema7487
@happymrema7487 23 дня назад
Aliyewatum ni nani
@dianaleo6067
@dianaleo6067 23 дня назад
Mbona anafichwa??? Na yeye ni muhalifu namba moja
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 23 дня назад
Wabakaji tu km wabakaji wengine lock them up and tupa funguo
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 23 дня назад
mlikuwa mnaona laah wenyewe Wacha mjilie wenyewe mtajuta mtamtaja tuu uyo afande
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 23 дня назад
Askari walioua mtwara kesi inaendeleaje?
@Keniihooks
@Keniihooks 23 дня назад
Hawa walikuwa jela hawanyolewi?
@ommimg2467
@ommimg2467 22 дня назад
Kaz hakuna hadi askari anabaka🤔🇹🇿
@JosephKingwere
@JosephKingwere 23 дня назад
Bora ametilewa mshezi kabxa nilimumin sana
@dismasdonathmunishi3987
@dismasdonathmunishi3987 23 дня назад
Mwanamke asiyelinda haki za mwanamke mwenzake,huyo sio malkia wa nguvu.Kisaikology ukimwngalia usoni utagundua moyoni kaficha kitu(katili),Huwezi kuongea ujinga kama huu ukiwa unatabasamu ili kutulainisha tuwe na roho kama yako.Toka ofisini mama kuntu naenda jogging hayo mashavu sio afya ni laana za haki ulizokula mpaka Leo sio Siri tena.Kwa heshima kubwa nampongeza mkuu wa jeshi la polisi,hiki kichwa kipo imara,ndani ya masaa 24 kanyoosha Mambo na mahamani tumeona,tuna imani na haki kwa dada😢 yetu.Hatuwezi kupoteza imani kwa polisi na jeshi,tumeona weledi wenu na ujali pia,Hiyo ndo TZ iliyodumishwa tangu enzi za Babu,lazima tujihisi salama tukiwa ndani ya hii ardhi.We love each other and we'll stand for each other ❤
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 23 дня назад
Ila bado mmoja kibushuti mchukua video wabakiji wanne so niwa tano bado mmoja
@user-zd9hy1yd7c
@user-zd9hy1yd7c 23 дня назад
Aliye tumana mbona hakamatwi?
@JosephKingwere
@JosephKingwere 23 дня назад
I wsh magu angekuwepo angetolewa kazin uyo
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 23 дня назад
Vp hii ya kurikodi na kusambaza si kosa kisheria?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 23 дня назад
Hao mbuzi wa Katara Tu mwenye Ngoma yupo wapi😂
@mercydirisha8903
@mercydirisha8903 23 дня назад
Kusambaza huo uovu mtandaoni sio kosa?
@JosephKingwere
@JosephKingwere 23 дня назад
Ole wenu muwape zamana MUNGU atawahukum mchana kweupe yani unyma walio uganya😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 23 дня назад
Bado moja paka mweus aliewatuma Nae tumuone hadhar
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 23 дня назад
Eti wanajeshi,ni wanajeshi gani hao wanaolidhalilisha jeshi na nchi.Hata kule Congo baadhi ya wanajeshi wetu walipata shutuma za ubakaji wakaridishwa.eti wanabaka huku wakirekodi,hovyo sana.
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 23 дня назад
Hii mfumo wakutengexa tu hamna kitu hapo Eti mashtaka mawili mmmm na alie watuma yupo wapi ?
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 23 дня назад
Eti wamekaa mashitaka kwa maana hiyo hawajafanya wameshapangwa na huyo afande ni sawa waendelee kukana ili waachiwe adhabu yao wataipata kwa wananchi na itakua mbayaaa sana sisi tulio nje ya nchi tunawategemea wananchi kwa hili 😏
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 23 дня назад
Sasa ushaidi upo wanakana Nini wanyongwe tu
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 23 дня назад
Aliewatuma yukowapi? Wanyongwe
@KareemDully
@KareemDully 23 дня назад
Nnachokifkiria na wasi wasi wangu ni kwmba huyu binti atashurutishwa kutoa maelezo kwa mujibu wanavyotaka watu fulani ili mwisho wa sku tuaminishwe kwamba kitendo kile ni makubaliano. Hatuombi litokee hilo na ndugu waandish wa habari mtusibitishie uko kua yule bint huko mahakamani ndie alieonekana kwenye video
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 23 дня назад
Tanzania ni watu wa pwampwa vitendo zero
@ShadyAbdallah-vu7iu
@ShadyAbdallah-vu7iu 23 дня назад
Sasa wanakana nn wakati ushahidi upo na unaonekana
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 23 дня назад
Kwakufanya hivo mtatufariji wananchi vinginevyo tutaandamana Kama Kenya Bora mtuue tuishe kuliko kufumbia macho upumbavu wawatu wenye dhamana kuwa chanzo Cha uvunjaji wa Sheria za nchi
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 23 дня назад
HAO HAWAWEZ KUFUNGWA MAISHA,,,,ILA MIAKA 20 30 WATAKUWA NAYO,,,WABONGO WAMEKOMAA UKO
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 23 дня назад
Yule alimnyma maj na hata akakataa acpew mate na msela,yey acpew hata chakul co dhamana2 😂
@user-vr5fy7hb7w
@user-vr5fy7hb7w 23 дня назад
Wanyogwe hao
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 23 дня назад
Vipimbi vina tabia mbaya sana kama binyi hujaolewa usithubutu kuolewa na pimbi aisee
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 23 дня назад
😂😂😂 sasa itakuwaje 😎
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 23 дня назад
@@vincentcharles4385 itategemeana umependa wapi?
@SumaMusa-y5m
@SumaMusa-y5m 22 дня назад
Wafungwe tu
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 23 дня назад
Yaan wanakana vp kwa mfano mmbwa hao tutaendelea kupaza sauti haki itendeke
@tatutatu1570
@tatutatu1570 23 дня назад
kesi ya bangi sijaiskia hapo zipo 2 kubaka na kulawiti bangi je au harali🤔
@storytime1204
@storytime1204 23 дня назад
Sasa kesi inasikilizwa nini? wakati ushahidi upo, hao wasomewe tu kifungo, sio mashtaka
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 23 дня назад
Sas wanakataa nn hawa wabakaji kwanz walitakiw wapew hukumu leo leo
@KarimSaidi-pn8nw
@KarimSaidi-pn8nw 23 дня назад
Tanzania kwanini ukumu isitoke ushaidii umekamikika mbona mnalea upuuzi nyie
@JosephKingwere
@JosephKingwere 23 дня назад
Yani anatetea ujinga nawakti vdeo inajizirisha kila kitu yani bora ameondolewa kaongea utopole sana
@AmadiIssa-iw8sy
@AmadiIssa-iw8sy 23 дня назад
iyojezi muimvue uyo bwege
@sonnyr1899
@sonnyr1899 23 дня назад
WAMEKANA 😳😳😳 AMA KWELI HATARE
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 23 дня назад
Mbn weng wanafanyiwa ivyo wanaume weng wamefirwa kila wakifumaniwa na wake za watu
@user-wo2ye5vh4q
@user-wo2ye5vh4q 23 дня назад
Wangerekodiwa na wao wangekamatwa
@ZekaniS
@ZekaniS 23 дня назад
Hakuna kuwapa zamana pumbavuzao
@azizahasan2851
@azizahasan2851 23 дня назад
Et wamekana kukana iyo vepeeee tutafatilia mpaka kiereweke mnataka kumualibia uchaguzi wake samia tuu
@salumjawadu1520
@salumjawadu1520 23 дня назад
Alikua ana rekodi huku anavuta tuuuu xx na hapo avute
@mwalitv4555
@mwalitv4555 23 дня назад
Theopista malya ni mpuuzi apuuzwe na bora kaondolewa....hana msaada kwa dada na mamazetu kumamake...
@wadantz123
@wadantz123 23 дня назад
Ngoja kwanza uyu mbn mfupi
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 23 дня назад
Waachieni tuwashughulikie uraini,tairi mbovu zinaleta uchafu mitaani wakati kazi za kufanyia zipo 😂
@EvaGlow-r3e
@EvaGlow-r3e 23 дня назад
Wamekana😳😳 he
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 23 дня назад
Namuona yule aliekua anatukana etianataka jokeri sasa achukue
@dianaleo6067
@dianaleo6067 23 дня назад
Mkanyongwe kabisa nyie mifalaa! Haya sasa bosi wenu yuko wapi? 😂😂😂imekula kwenu mijinga nyie! Hamstahili kuwa binadamu
@mvukamto
@mvukamto 23 дня назад
Kwa iyo wanakwenda kula bure gerezani hawa, kwa nini isitungwe sheria ya kwamba ukifanya ushenzi kama huu na wewe ufanyiwe tu wapo mbwa, punda hawa tukiwatumia kulipa ushenzi kama huu itakuwa njema
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 23 дня назад
Tena km hyo mrefu na mavi aliyataka ,alitamka mwenyewe zamu yke ikifika wasituone wajinga
@mathnaasaa2166
@mathnaasaa2166 23 дня назад
Wanakana??? Wanakanaje sasa huh wajinga awa
@ibvisions4321
@ibvisions4321 22 дня назад
Dogo kavaa jersey ya Ajax ndiyomana inafungwa fungwa kizembe
Далее
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32