Tafadhali ndaro nakaka stivu shikamoo natumai my salama alimini ni damage mweusi naomba kuungana nanyi katika comedy zenu tafadhali ndaro Nazi nzuri hiyo from Kenya
Yote tisa kumi hao wadada wakikosa kidawa na mwenzake tutapungua wengine..😂😂najua wako wengi tu hapa hawataki kufungua roho nishawasemea nipeni like zangu tafadhali