Тёмный

WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM 

arkas online tv
Подписаться 127 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Waliazimia kumuua MTUME tokea siku hizo

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@AmishLuumiLuumi
@AmishLuumiLuumi 10 месяцев назад
Masha Allah sheikh wetu Allah akupe umri mrefu wa kuzidi kutuilimisha
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 10 месяцев назад
MASHA ALLAH 💚💚💚
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 месяцев назад
Shekhe wangu Allah akulipe kher inshallah, Duniani na kesho akhera, Nakupenda kwaajili ya Allah 🙏Allah akupe umri mrefu na Afya NJEMA shekhe Othman Maalim 👏
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 10 месяцев назад
🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻❤❤❤❤❤
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 10 месяцев назад
Napenda anavyosoma quru ani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 10 месяцев назад
Hichi nikitab hakina shak nahic raha🥰🥰🥰
@ShomiKalunde-zb8gx
@ShomiKalunde-zb8gx 10 месяцев назад
Shehe Allah akujaze her na akuingize peponi
@MustafshukriTamuje-hv6bz
@MustafshukriTamuje-hv6bz 10 месяцев назад
🎉Masha Allah
@aishamwachi7854
@aishamwachi7854 9 месяцев назад
Shukran shekhe,,Allah akujalie kila la khery na uzidi kutuelimisha inshaallah,,,,kuhusu hii sala je kama uko nyumbn pk yako napia ukiwa mwanamke inasaliwaje
@ShomiKalunde-zb8gx
@ShomiKalunde-zb8gx 10 месяцев назад
Allah akbar
@siriyangu4724
@siriyangu4724 5 месяцев назад
Allah humma mamiin shukran sheikh jazzaka Allah khery
@KarenzoKhalidiIbnSaidi
@KarenzoKhalidiIbnSaidi 10 месяцев назад
Allah akuzishieni elimu na alipe jana
@umahmed8273
@umahmed8273 8 месяцев назад
SubhanaLlah AllahuAkbar
@MbaroukAli-r6k
@MbaroukAli-r6k 7 месяцев назад
Mwenyezimungu akulipe wema na sisi wasikilizaji
@AsmaHoney-jy8fg
@AsmaHoney-jy8fg 10 месяцев назад
Shekh uliwahi kuniombea dua mwanangu ukampa jina mariam ulikuwa na juma mmanga sio mchezo yuko vizuri kiafya ya akili muelewa mno dua zako zilikubaliwa Allah akbariki sana kigamboni dar es salaam
@antonioraulbuanaussebuanausse
@antonioraulbuanaussebuanausse 9 месяцев назад
DFqq
@RashidSalum-sw7pc
@RashidSalum-sw7pc 4 месяца назад
amen
@Putin331
@Putin331 9 месяцев назад
Mashallah sauti nzuri. Inshallah siku moja Allah anijaalie na mimi niwe miongoni mwa wasomi wakiislamu
@umahmed8273
@umahmed8273 8 месяцев назад
Ameen
@umahmed8273
@umahmed8273 8 месяцев назад
Ameen
@ShomiKalunde-zb8gx
@ShomiKalunde-zb8gx 10 месяцев назад
Shehe mm binafsi loo inanimate sana siku ukifariki
@LucyMashinga-ns8pj
@LucyMashinga-ns8pj 8 месяцев назад
Shee pw
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 9 месяцев назад
Tizama leo zanzibar Hospital zinajengwa Madawa yanaletwa CLINC Mashamba Majumba yaloanguka Barabara kotoka Airport Magari ya kuzima moto Ambulance Bado hamna shukurani Mfanyiwe nini hata mukinai
@aishaarusha894
@aishaarusha894 9 месяцев назад
Wewe unayo iyo shukurani
@aliseif2691
@aliseif2691 10 месяцев назад
Israil 🐖🦧
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 9 месяцев назад
Hizo hadisi unazozema kwa sasa Umuhimu kupinga maYahudi kuwau wa Palestin wa Islam7 na wa kristo Ma Yahudi hwamini ukrito wala uislamu Kwa nini mnaogopa kuandamanleo mnashindwa na South Africa ambao sio waiSLAMU MANENO YENU YA UNAF8K HAYANA FAIDA KESHO MUTAMJIBU ALLAH MUNALINDA MASLAH NA VEO VENU MUNAOGOPA NINI SEMENI UKWELI
@aishaarusha894
@aishaarusha894 9 месяцев назад
Nawewe inakuhusu apa sema tutamjibu allah nini
@azizayassin3623
@azizayassin3623 9 месяцев назад
Lkn wayahud walisha sio wle wavamizi wa palestine 🇵🇸 wle ni watu wametoka Germany 🇩🇪 pia wmekataa kufanya DNA sababu wnajijua sio wayahud oG😢
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 месяцев назад
Ongelea pia mauaji yanayofanywa na waarabu darfur Sudan dhidi ya ndugu zetu waafrika weus
@user-pc8wo1hh9l
@user-pc8wo1hh9l 10 месяцев назад
Usichanganye Mambo Bila Kuwa na Elimu yoyote. Watu wote wanaoishi Sudan ni Waafrika. Sudan Ni taifa kubwa na kuna Mchanganyiko wa makabila mbalimbali sawa na Nchi yeyote katika Dunia. Kaskazini mwa Sudan kuna Waislamu wengi zaidi ya Kusini. Ukristo umeenea sana Kusini mwa Sudan. Vita baina ya Kusini na Kaskazini inahusiana na Ardhi na siyo Dini. Wananchi wa Kusini walidai Kuigawa Sudan ili sehemu wanayoishi itengane na Kaskazini na ijitawale. Kwa kifupi walitaka Sudan igawanywe. Sasa kwa nini unamwuuliza Sheikh Maalim aelezee Siasa? Sheikh wetu anaelezea Historia ya Mayahudi na Waislamu katika wakati wa Mtume alipokuwa Madina na wewe unataka Sheikh aelezee Vita vya hivi karibuni vinavyohusiana na Siasa. Mbona Unachanganya Mambo?. Uislamu haufundishi Ubaguzi wa Rangi. Uislamu ni Dini ile ile ya Nabii Isa (Yesu), Musa na Mitume wengineo waliotangulia. Usichuklue habari hovyo hovyo katika Mitandao bila utafiti au Uchambuzi. Ndugu lazima tusome sana. Wananchi wa Sudan ni Waafrika na wote ni watu wenye Rangi mbalimbali pia. Mwenyeezi Mungu ameumba Rangi mbalimbali katika kila kitu na siyo binaadamu tu peke yake. Mimea, Wanyama, Na hata sehemu za ardhi. Tofauti ya rangi ni marembo ya dunia. Na watu wameumbwa tofauti ili wapate kujuana na kutambuana. Huyu Mchina, Huyu Mwarabu, Huyu Mwafrika, Huyu Mzungu na hivyo hivyo Kila mfano. Hakuna aliye bora mbele ya Mwenyeezi Mungu isipokuwa kwa Kumcha Mungu tu. Watu wote ni sawa sawa. Kwa hiyo usisikilize watu wapuzi wasiokuwa na elimu. Kuruani na Hadithi za Mtume Mohamad zimeelezea habari hizi vizuri sana kwa hiyo usome vitabu hivi. Maneno ya Fitina yana hatari sana.
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 месяцев назад
@@user-pc8wo1hh9l we mpumbav kabisa, mi naongelea mauaji yanayofanywa na waarabu darfur Sudan dhidi ya ndugu zetu waafrika weus, wewe unaleta dini zako hapa!!!! Kwan hao waafrika weus wa darfur sio waislam? Halafu wap mi nmeongelea mambo ya kugawanyika kwa Sudan? Shenzi kabisa wewe
@jamesmwangi9153
@jamesmwangi9153 10 месяцев назад
Fungua channel yako then ongelelea kuhusu Sudan tukuskiza
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 10 месяцев назад
@@jamesmwangi9153 wewe ni walewale watumwa
@ShomiKalunde-zb8gx
@ShomiKalunde-zb8gx 10 месяцев назад
Allah akbar
Далее
How to Build a Homemade Bike Using a Barrel
00:21
Просмотров 890 тыс.
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:26
Просмотров 510 тыс.
KISA CHA NGOME ILIYOYEYUKA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:18:08
ISRAA NA MIRAJI OTHMAN MAALIM
2:23:23
Просмотров 165 тыс.
WAYAHUDI KWA NINI WANASEMA NABII IBRAHIM NI WAKWAO.?
1:02:07
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55
OTHMAN MAALIM   UMUHIMU WA SURATUL YASIN
1:05:46
Просмотров 135 тыс.
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
Просмотров 131 тыс.
041 2 OTHMAN MAALIM MARADHI YA NAFSI
1:09:22
Просмотров 35 тыс.