Mungu akuweke mahali pema peponi sheikh ilunga kiukweli unaijuwa sana zanzibar na unaiyelewa vizuri sana zanzibar hakikia mungu akulipe kile unachotakiwa kulipwa ila hakuna lenye mwanzo lika kosa mwisho mungu na ipo siku itafika mwisho
Ninachowapendea masheikh wabara wanaongea ukweli na kuisifia Zanzibar kiudhati, Ila hujawahi kumsikia padri ktk kanisa kutoa hadithi kama hizi, hkk znz tumedhulumiwa dhulma kubwa Sana na Mungu analipa Kwa haya maisha magumu yanayoendelea
Mnayo haki ya kusema yaliyomo moyoni mwenu kwani mu wenyeji wa himayaghafi, na jambo moja li wazi kuwa mnajua msilolijua na mnateta mateto yaliyotetwa na watetaji mahili. Hakuna jipya chini ya mbingu. Heri yao wamfuasaye aliyesamehe yote kuliko aliyeishia kulaani malimwengu. Mbarikiwe.
Kwel mm nahisi c karume yote aliyoyasababisha ni nyerere na m/mungu ammiminie mawe ya moto inatuuma wa znz ila fainna maaliyusri yusra inna maghali yusri yusra
Huu ni ukweli mtupuu nakumbuka kipindi kile hata TV hamna Tanzania Bara 1996 tunapeleka kuuza TV Dar es Salaam na Arusha sisi ni watu wa mwanzo kuuza TV Arusha ndio kwanza ITV zinaingia ingia,tunatoa Muzammil kwenda Arusha dahh huu ni ukweli mtupuuu
Kweli kabsa uislamu haupo zanzibar tanganyika wameharibu kila kitu kiukweli nyerere mungu amzidishie adhabu uko alipo na karume laana tu wallah kutuunganisha na tanganyika ndo kutumaliza wazanzibar
kama wazanzibari wanazurumiwa na wewe na uislamu wako si uvunjwe huo mwungano kaa na hao waarabu wako mafirauni hufai wewe uislamu umepoteaje mshamba wewe hufai mchochezi wa dini wewe
Kakudanganya nani?! We unajuaje historia ya znz huku c mwanza mwanaharamu we nyie wenyewe ukame mkali huko hamjielewi mkamtajirishe m2 wakat nyie wenyewe mmeshindwa kujitajirisha labda mmetutajirisha kwa ukimwi.....
Naamini wewe ciyo Shehe ni shetani " Ila Mungu muweza wa kila kitu kakupumzisha Motoni Nathubutu kusema haki ya Mwenyezi Mungu uko Motoni unachomwa" shwetani bora
Dua yako haifiki kaka.. shekhe anaongea kweli kabisa ..sema kosa gani aloongea ..acha chuki na ndio maana shee alisema mwanzo waislam wanatakiwa kujiuliza kwann mkiristo hapendi kuelezewa mfumo.kristo na muungano sasa ndio nimeamini baada ya kuona koment yako hakika huyi mzee kasema kweli..